Dkt. Kimei akiona cha moto Rombo

Dkt. Kimei akiona cha moto Rombo

Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .

Huko Rombo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !

Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
Safi sana, wexi wa kura sasa wanaanza kuuona ukweli. Weka picha kidogo
 
Uroho wa kishamba yaani unastaafu ukapewa gari ya million 800 ya kutembelea na hapo umetoka kwny salary ya zaidi ya 18m kwa mwezi then unarudi kupigania salary ya 12m plus uchawi na husuda kibao...

Tamaa mbaya ,
Very true amekaa CRDB miaka zaidi ya 15, as CEO na mshahara mkubwa na "wizi" hapo hapo, bado uroho wa madaraka anakwenda kuiba kura akisaidiwa na Maguyfuli, bladifaken
 
Very true amekaa CRDB miaka zaidi ya 15, as CEO na mshahara mkubwa na "wizi" hapo hapo, bado uroho wa madaraka anakwenda kuiba kura akisaidiwa na Maguyfuli, bladifaken
Kimei amekosa uungwana kwhy acha adharaulike ,,,CEO uliyestaafu kwny mamilioni unatamanije kazi za akina msukuma...hakuna mchaga sijui mpare shallow namna ile..umri wa kupumzika unarudije kutukanana na vijana uliowazaa..Ni kukosa hekima.
 
Uroho wa kishamba yaani unastaafu ukapewa gari ya million 800 ya kutembelea na hapo umetoka kwny salary ya zaidi ya 18m kwa mwezi then unarudi kupigania salary ya 12m plus uchawi na husuda kibao...

Tamaa mbaya ,
Tumekuwa mateka wa fedha, tunahangaishwa na fedha hata kufa. Tumelaaniwa! Hatuna kiasi. Kwa alipofikia Dr. Kimei sio wa kwenda tena kupigapiga meza bungeni.
 
Tumekuwa mateka wa fedha, tunahangaishwa na fedha hata kufa. Tumelaaniwa! Hatuna kiasi. Kwa alipofikia Dr. Kimei sio wa kwenda tena kupigapiga meza bungeni.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaambiwa eti hela haitoshi, kwa mshahara aliokuwa nao kwa kipindi chote cha U CEO na mitikasi yake sidhani kama account yake inapungua 40 billions in cash ila still anahangaika na ujinga
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaambiwa eti hela haitoshi, kwa mshahara aliokuwa nao kwa kipindi chote cha U CEO na mitikasi yake sidhani kama account yake inapungua 40 billions in cash ila still anahangaika na ujinga
Bunge lenyewe hili la akina "kwanza naitwa Dr. Taletale" sio la kwenda Dr. Kimei. Dr Kimei hawezi kusema ameenda bungeni kupambania wananchi wa jimbo lake, hapana ni tamaa ya fedha tu. Huwezi kusema ni heshima, bunge hili sio la kumheshimisha mtu.

Tujifunze kutosheka, ukifika wakati tukae na kulea wajukuu huku tukila tilivyochuma kwa jasho.
 
Tulionya mapema sana kwamba mikutano ya hadhara si kwa kila mtu .

Huko Vunjo Dr Kimei amekiona cha moto kwa wananchi kukosekana kwenye mkutano wake wa hadhara , ambao umeandaliwa kwa gharama kubwa , yaani hata vile viti 20 alivyoviandaa havikupata watu wa kuvikalia ! Noma sana !

Onyo : Mikutano ya hadhara siyo semina za CRDB .
We kuna kitu kinakuwasha Kimei siyo mbunge wa Rombo
 
Back
Top Bottom