Dkt Kigwangalla, Margaret Sitta, Emmanuel Adamson Mwakasaka na Mussa Rashid Ntimizi mmelala sana kwenye maendeleo ya jimboni kwenu

Hapo chini nimewaorodhesha wabunge na mkoa wa Tabora, wabunge wa kuchaguliwa na wabunge wa viti maalum, awali wabunge tegemezi wa mkoa wa Tabora walikuwa ni Dkt Hamis Andrea Kigwangala na Hussein Mohammed Bashe, Uhodari wao wa kusemea wananchi na kujitolea kidogo wanachokipata kugawana na wananchi kuliwafanya kuonekana viongozi imara na shupavu kwa maendeleo ya Tabora na Tanzania kwa ujumla, lakini kwa sasa amebaki Hussein Bashe tu ambaye anaonekana kuwa kiongozi mwenye maono na Maendeleo ya Tabora, Kingwangala naweza kusema amelisahau jimbo kwa sasa.

Dkt Kigwangala nakuita amka kaka, anza mchaka mchaka, oga maji ya baridi halafu uanze nguvu mpya kuiinua Tabora kulingana na dunia inavyotaka, Wabunge wafuatao wanahitaji kuamshwa na kupewa amsha amsha ili wafanye kazi kwa ajili ya wananchi kwani wamelala sana na hakuna wakuwapa changamoto, hawana mawazo mbadala ya kuleta maendeleo tofauti na mipango ya serikali kuu,

1. Mh. Margaret Simwanza Sitta mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki

2. Mhe. Emmanuel Adamson Mwakasaka Mbunge wa Jimbo la Tabora mjini

3. Mhe. Munde Abdallah Tambwe mbunge wa viti maalum mkoa wa Tabora

4. Mhe. Joseph George Kakunda Mbunge wa Jimbo la Sikonge

5.Mhe. Selemani Jumanne Zeddy mbunge wa jimbo la Bukene

6. Mhe. Mussa Rashid Ntimizi mbunge wa jimbo la Igalula

7. John Peter Kadutu mbunge wa jimbo la Ulyankulu

8. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali mbunge wa jimbo la Manonga

9. Mhe. Almas Athuman Maige Jimbo la Tabora Kaskazini

10 Mhe. Dkt Dalali Peter Kafumu Mbunge wa jimbo la Igunga

11. Mwanne Ismail Mchemba Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora

12. Mhe. Magdalena Hamis Sakaya mbunge wa jimbo la Kaliua

Ndugu wabunge niwakumbushe tu sisi warugaruga tunataka kwenda na kasi ya maendeleo ya Dkt John Pombe Magufuli, sisi warugaruga tunataka kwenda na maendeleo kutokana na dunia inavyotaka, hatujawachagua ili mpumzike, tumewachagua ili muwe chachu ya maendeleo, mpambane kutuonesha njia ya kuitambaua dunia inataka nini na tufanye nini, tunataka Tabora ya leo inayoendana na sayansi na teknolojia. Tusome kwa teknolojia, tulime kwa teknolojia, tufanye biashara kwa teknolojia, tutibiwe kwa teknolojia na tule kwa teknolojia.

Ujumbe uwafikie ndugu wabunge na viongozi wote kwa ujumla

Mwandishi wewe unaleta unywanywa wako wa kumpa kick za bure huyo H Bashe wakati Nzega mjini watu hawana maji? bora Mbunge Seleli alipokuwepo yeye aliweza kuleta maji toka bwawa la Kilimi na kuchanganya na bwawa la Uchama na kupeleka maji mjini akisaidiwa na Mgodi, leo hii mgodi umekufa na mmepiga fitina zenu na kufanikiwa kumtoa Seleli lakini maji yamewashindeni kuyaendeleza na kuyasambaza hapo mjini na ni juzijuzi tu tumeliona hili kwenye TV, Nzega Badooo sana mpaka pale akili zenu zitakaporudi.
 
Mkuu niliwahi kumsikia Bashe anasema mradi wa maji kutoka ziwa victoria unaopita kahama, na Nzega pia utafika, hilo ni jambo zuri sana, kama haujasikia ulizia huu mpango umefikia wapi,
 
Yaani mkoa wa Tabora una wabunge 13 halafu mkoa wamemuachia mzee Mwanri aubadilishe kuwa TORONTO? Tutabakia kuwaonea Kilimanjaro wivu kumbe ni ujinga wetu. Pelekeni nguvu kwenye local community. Charity begins at home.
hahahaaa! wabunge wamelala sasa mzee Mwanri atawezaje kuibadilisha Tabora kama Toronto
 
Hapo chini nimewaorodhesha wabunge na mkoa wa Tabora, wabunge wa kuchaguliwa na wabunge wa viti maalum, awali wabunge tegemezi wa mkoa wa Tabora walikuwa ni Dkt Hamis Andrea Kigwangala na Hussein Mohammed Bashe, Uhodari wao wa kusemea wananchi na kujitolea kidogo wanachokipata kugawana na wananchi kuliwafanya kuonekana viongozi imara na shupavu kwa maendeleo ya Tabora na Tanzania kwa ujumla, lakini kwa sasa amebaki Hussein Bashe tu ambaye anaonekana kuwa kiongozi mwenye maono na Maendeleo ya Tabora, Kingwangala naweza kusema amelisahau jimbo kwa sasa.

Dkt Kigwangala nakuita amka kaka, anza mchaka mchaka, oga maji ya baridi halafu uanze nguvu mpya kuiinua Tabora kulingana na dunia inavyotaka, Wabunge wafuatao wanahitaji kuamshwa na kupewa amsha amsha ili wafanye kazi kwa ajili ya wananchi kwani wamelala sana na hakuna wakuwapa changamoto, hawana mawazo mbadala ya kuleta maendeleo tofauti na mipango ya serikali kuu,

1. Mh. Margaret Simwanza Sitta mbunge wa jimbo la Urambo Mashariki

2. Mhe. Emmanuel Adamson Mwakasaka Mbunge wa Jimbo la Tabora mjini

3. Mhe. Munde Abdallah Tambwe mbunge wa viti maalum mkoa wa Tabora

4. Mhe. Joseph George Kakunda Mbunge wa Jimbo la Sikonge

5.Mhe. Selemani Jumanne Zeddy mbunge wa jimbo la Bukene

6. Mhe. Mussa Rashid Ntimizi mbunge wa jimbo la Igalula

7. John Peter Kadutu mbunge wa jimbo la Ulyankulu

8. Mhe. Seif Khamis Said Gulamali mbunge wa jimbo la Manonga

9. Mhe. Almas Athuman Maige Jimbo la Tabora Kaskazini

10 Mhe. Dkt Dalali Peter Kafumu Mbunge wa jimbo la Igunga

11. Mwanne Ismail Mchemba Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Tabora

12. Mhe. Magdalena Hamis Sakaya mbunge wa jimbo la Kaliua

Ndugu wabunge niwakumbushe tu sisi warugaruga tunataka kwenda na kasi ya maendeleo ya Dkt John Pombe Magufuli, sisi warugaruga tunataka kwenda na maendeleo kutokana na dunia inavyotaka, hatujawachagua ili mpumzike, tumewachagua ili muwe chachu ya maendeleo, mpambane kutuonesha njia ya kuitambaua dunia inataka nini na tufanye nini, tunataka Tabora ya leo inayoendana na sayansi na teknolojia. Tusome kwa teknolojia, tulime kwa teknolojia, tufanye biashara kwa teknolojia, tutibiwe kwa teknolojia na tule kwa teknolojia.

Ujumbe uwafikie ndugu wabunge na viongozi wote kwa ujumla
Kigwa mbunge wangu kwetu hoi huku hupainui..
 
Yaan mkoa wa Tabora tu una wabunge 12 ............!!?

Kuna haja ya kuangalia upya vipaumbele vyetu ..... Wabunge ni wengi mno hawalingani na uwezo wetu wa kifedha.
 
mkoa wa tabora ni mkubwa mkuu, labda waugawe mara 2, Nzega iwe mkoa na Tabora ibki kama mkoa
 
Mkuu niliwahi kumsikia Bashe anasema mradi wa maji kutoka ziwa victoria unaopita kahama, na Nzega pia utafika, hilo ni jambo zuri sana, kama haujasikia ulizia huu mpango umefikia wapi,

Mkuu huo mpango wa maji kuyatoa ziwa Victoria niliusikia 2005 ikiwa ni first birth year ya mwanangu na Lowassa akiwa waziri wa maji wakati huo...leo hii mwanangu yupo Secondary nikimweleza hiyo brabra unafikiri atanielewa? Bwawa la maji la Uchama ni only few meters hata kilometer moja haifiki unakutana na makazi ya watu kweli wanashindwa kuwapa wanainchi maji safi na salama?
 
Huyu dogo kigwangala amekalia kutukana watu twitter na kusifia ******** kila siku kama zezeta
 
Umemsahau Richard ndassa

Ova
Huyu jamaa natamani nichukue hata fomu tuchuane, juzi kaja hapa home center alikozaliwa kanikuta nimekaa, baadhi wakasimama mie nikatulia tu, eti linataka nisimame kama heshima. Nikamwambia sisimami we sio Mungu.
 
Mkuu huo mpango wa maji kuyatoa ziwa Victoria niliusikia 2005 ikiwa ni first birth year ya mwanangu na Lowassa akiwa waziri wa maji wakati huo...leo hii mwanangu yupo Secondary nikimweleza hiyo brabra unafikiri atanielewa? Bwawa la maji la Uchama ni only few meters hata kilometer moja haifiki unakutana na makazi ya watu kweli wanashindwa kuwapa wanainchi maji safi na salama?
Mhe: Bashe tuomba aje atutolee ufafanuzi wa hili + mhe Kigwangala
 
hakuna maendeleo na uwajibikaji bila kuwa na ushindani.

CCM wanajitapa kuua vyama vya upinzani na matokeo ya hilo ni wabunge wa CCM kubweteka kwasababu hakuna wa kuwashindanisha nao.
Kwani nani anapenda ushindani wa shetani? Shetani lazima aangamizwe. Ushindani watafanya ndani ya chama chao.
 
Back
Top Bottom