Dkt. Kigwangalla amlilia mwanafunzi Akwilina

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,145
Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla leo amezuru nyumbani kwa msichana Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Dr Kigwangalla amesema amesikitishwa sana na mauaji hayo ya kinyama kwa raia asiye na hatia.

Source ITV habari na BBC Dira ya Dunia!
 
magwangala ni boss wa ndalichako? ameenda ili eti ahakikishe ahadi zilizotilewa Na serikali zinatolewa. INA maana ameenda Chen ndalichko kama alipeleka umbea wake? subiri kesho wataniminika kuanzia bashite & co
 
Waziri wa maliasili na utalii Dr Kigwangala leo amezuru nyumbani kwa msichana Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Dr Kigwangala amesema amesikitishwa sana na mauaji hayo ya kinyama kwa raia asiye na hatia. Source ITV habari na BBC Dira ya Dunia!
Lakini mbona hawa wanaofika nyumbani kwa aliyeuawa kwa risasi hawajawahi kufika kwa aliyeponea chupuchupu kwa risasi 38 ili kumpa pole na kumfariji? Hakika wangefanya hivyo mapema haya yakiyomkuta binti huyu asiye na hatia yasingetokea maana wangekuwa wamesaidia kukemea na kulaani matendo haya ya kuua raia wasio na hatia.
 
Waziri wa maliasili na utalii Dr Kigwangala leo amezuru nyumbani kwa msichana Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Dr Kigwangala amesema amesikitishwa sana na mauaji hayo ya kinyama kwa raia asiye na hatia. Source ITV habari na BBC Dira ya Dunia!
Mnafiki angekua Bashe kweli
 
analia nini na chama chake ndio wamemuua. apeleke unafiki wake huko
napata shida sana kuelewa hilo tukio la kumpiga risasi huyo binti! Kwani huyo binti alikuwa akiandamana akidai haki au alikuwa anapita na risasi ikampiga kwa bahati mbaya hasa kutokana na uzembe wa polisi? Kama hivyo ndivyo, iweje kilaumiwe chama fulani kwasababu ya ushindi wake badala ya kulaumu huyo mfyatuaji wa risasi? Kama ni uzembe wa polisi kwanini upinzani ushikilie bango kuwa ilikuwa ni makusudi wakati binti alikuwa mpita nja tu? Je ni dalili ya upinzani kukosa uwezo wa kuchambua masuala na kutambua kuwa ilikuwa bahati mbaya? Hali hiyo ni inaweza kuwa inaashiria mwanzo wa mwisho wa upinzani tukielekea uchaguzi mkuu wa 2020?
 
...linafiki tu nalo...yote yale yale tu...kama yanaumia mbona hatuyasikii yakikemea??

Umenikumbusha kesi ya Ditopile pale lugalo na dereva wa daladala!
 
Mnafiki angekua Bashe kweli
"Nitaongoza mapambano nchi hii, nitaongoza mapambano nchi hii, hata kama watanzania (100) watakufa wataleta haki nchi hii ni wangapi wanasema tufanye kama Misri na Libya?!! , Watakao kufa hata wakiwa (200 ) tuko tayari kwa mapambano na wao wanafikiri ni kinondoni tu lakini Ilala itawaka pia nchi nzima iwataka moto'"

Mwisho wa kunukuu (Maneno ya Freeman Mbowe mbunge wa Hai-Katika mkutano wa kufunga kampeni wa 16/02/2018 uliofanyika viwanja vya Buibui, Mwananyamala Komakoma).

Kauli kama hizi ni mbaya sana kutolewa na viongozi wa vyama vya siasa.

R.I.P Akwilina
 
...linafiki tu nalo...yote yale yale tu...kama yanaumia mbona hatuyasikii yakikemea??
"Nitaongoza mapambano nchi hii, nitaongoza mapambano nchi hii, hata kama watanzania (100) watakufa wataleta haki nchi hii ni wangapi wanasema tufanye kama Misri na Libya?!! , Watakao kufa hata wakiwa (200 ) tuko tayari kwa mapambano na wao wanafikiri ni kinondoni tu lakini Ilala itawaka pia nchi nzima iwataka moto'"

Mwisho wa kunukuu (Maneno ya Freeman Mbowe mbunge wa Hai-Katika mkutano wa kufunga kampeni wa 16/02/2018 uliofanyika viwanja vya Buibui, Mwananyamala Komakoma).

Kauli kama hizi ni mbaya sana kutolewa na viongozi wa vyama vya siasa.

R.I.P Akwilina
 
..Na je kauli ya ' waandamane waone..watakiona cha mtema kuni'...hii ni kauli inayofaa kutolewa na mkuu wa nchi??...mnasahau kuwa kauli za hovyo mnapanda nyinyi!!

"Nitaongoza mapambano nchi hii, nitaongoza mapambano nchi hii, hata kama watanzania (100) watakufa wataleta haki nchi hii ni wangapi wanasema tufanye kama Misri na Libya?!! , Watakao kufa hata wakiwa (200 ) tuko tayari kwa mapambano na wao wanafikiri ni kinondoni tu lakini Ilala itawaka pia nchi nzima iwataka moto'"

Mwisho wa kunukuu (Maneno ya Freeman Mbowe mbunge wa Hai-Katika mkutano wa kufunga kampeni wa 16/02/2018 uliofanyika viwanja vya Buibui, Mwananyamala Komakoma).

Kauli kama hizi ni mbaya sana kutolewa na viongozi wa vyama vya siasa.

R.I.P Akwilina
 
Lazima upate shida kuelewa....as long as umeamua kujifanya chizi .

Back
Top Bottom