"Nitaongoza mapambano nchi hii, nitaongoza mapambano nchi hii, hata kama watanzania (100) watakufa wataleta haki nchi hii ni wangapi wanasema tufanye kama Misri na Libya?!! , Watakao kufa hata wakiwa (200 ) tuko tayari kwa mapambano na wao wanafikiri ni kinondoni tu lakini Ilala itawaka pia nchi nzima iwataka moto'"Lazima upate shida kuelewa....as long as umeamua kujifanya chizi .
Zidumu fikra za mwenyekitiWaziri wa maliasili na utalii Dr Kigwangala leo amezuru nyumbani kwa msichana Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Dr Kigwangala amesema amesikitishwa sana na mauaji hayo ya kinyama kwa raia asiye na hatia. Source ITV habari na BBC Dira ya Dunia!
ccm oyeeeeee"Nitaongoza mapambano nchi hii, nitaongoza mapambano nchi hii, hata kama watanzania (100) watakufa wataleta haki nchi hii ni wangapi wanasema tufanye kama Misri na Libya?!! , Watakao kufa hata wakiwa (200 ) tuko tayari kwa mapambano na wao wanafikiri ni kinondoni tu lakini Ilala itawaka pia nchi nzima iwataka moto'"
Mwisho wa kunukuu (Maneno ya Freeman Mbowe mbunge wa Hai-Katika mkutano wa kufunga kampeni wa 16/02/2018 uliofanyika viwanja vya Buibui, Mwananyamala Komakoma).
Kauli kama hizi ni mbaya sana kutolewa na viongozi wa vyama vya siasa.
R.I.P Akwilina
Unamzungumzia Mugabe wa Ufipa?!!Zidumu fikra za mwenyekiti
Yeye ameenda kuhani msiba siyo kutoa maagizo!Kigwangala hajatoa ULTIMATUM kwa polisi wampeleke muuaji ndani ya siku 7?
Hiyo ni albadir?!!منافق
Yule mura wa pale magogoni milele adumuUnamzungumzia Mugabe wa Ufipa?!!
Jamani mnyonge mnyongeni lakini........!!kifo cha mzungu kilimfanya akawapa policcm siku saba watuhumiwa wafikishwe mahakamani,cha mchaga huyu wa rombo kajifanya kasikitika,hawa jamaa uzuri wanajijua kwamba awamu hii strategy yao ni kusulubu ikibidi kuua kabisa so wanachofanya ni maigizo ya ki futuhi,machozi ya mamba
akili yako ni fupi ndio maana huwezi kuelewa. chadema waliandamana kwa sababu ya mawakala wao kunyimwa viapo na mkurugenzi wa uchgaguzi ambae ni kada wa ccm huku wao ccm wakipewa mapema. sasa hapa aliyesababisha mauaji ni nani? huyo mkurugenzi wa uchaguzi anatakiwa kujibu mashtaka. usiangalie ulipoangukia tuangalie tulipojikwaa.napata shida sana kuelewa hilo tukio la kumpiga risasi huyo binti! Kwani huyo binti alikuwa akiandamana akidai haki au alikuwa anapita na risasi ikampiga kwa bahati mbaya hasa kutokana na uzembe wa polisi? Kama hivyo ndivyo, iweje kilaumiwe chama fulani kwasababu ya ushindi wake badala ya kulaumu huyo mfyatuaji wa risasi? Kama ni uzembe wa polisi kwanini upinzani ushikilie bango kuwa ilikuwa ni makusudi wakati binti alikuwa mpita nja tu? Je ni dalili ya upinzani kukosa uwezo wa kuchambua masuala na kutambua kuwa ilikuwa bahati mbaya? Hali hiyo ni inaweza kuwa inaashiria mwanzo wa mwisho wa upinzani tukielekea uchaguzi mkuu wa 2020?