Dkt. Kigwangalla amlilia mwanafunzi Akwilina

Dkt. Kigwangalla amlilia mwanafunzi Akwilina

Lakini mbona hawa wanaofika nyumbani kwa aliyeuawa kwa risasi hawajawahi kufika kwa aliyeponea chupuchupu kwa risasi 38 ili kumpa pole na kumfariji? Hakika wangefanya hivyo mapema haya yakiyomkuta binti huyu asiye na hatia yasingetokea maana wangekuwa wamesaidia kukemea na kulaani matendo haya ya kuua raia wasio na hatia.
Dunia hii, ishi uone ............!!

Mjuzi tu Dr. Slaa kadai shambulio la Lissu ni la kawaida ... hata Canada yanatokea.

Sijui tukio kama hili halitokei huko Canada ..............!!

RIP Aqulina.
 
Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla leo amezuru nyumbani kwa msichana Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Dr Kigwangalla amesema amesikitishwa sana na mauaji hayo ya kinyama kwa raia asiye na hatia.

Source ITV habari na BBC Dira ya Dunia!
Wanafiki hao
 
Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla leo amezuru nyumbani kwa msichana Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Dr Kigwangalla amesema amesikitishwa sana na mauaji hayo ya kinyama kwa raia asiye na hatia.

Source ITV habari na BBC Dira ya Dunia!
Apeleke unafiki huko.pumbaf kabisa.
 
Mi naiona iko poa, nimechoshwa na INJUSTICE.
EMPATHY ever heard of this word!?!?
"Nitaongoza mapambano nchi hii, nitaongoza mapambano nchi hii, hata kama watanzania (100) watakufa wataleta haki nchi hii ni wangapi wanasema tufanye kama Misri na Libya?!! , Watakao kufa hata wakiwa (200 ) tuko tayari kwa mapambano na wao wanafikiri ni kinondoni tu lakini Ilala itawaka pia nchi nzima iwataka moto'"

Mwisho wa kunukuu (Maneno ya Freeman Mbowe mbunge wa Hai-Katika mkutano wa kufunga kampeni wa 16/02/2018 uliofanyika viwanja vya Buibui, Mwananyamala Komakoma).

Kauli kama hizi ni mbaya sana kutolewa na viongozi wa vyama vya siasa.

R.I.P Akwilina
 
Back
Top Bottom