Dkt. Kigwangalla amlilia mwanafunzi Akwilina

napata shida sana kuelewa hilo tukio la kumpiga risasi huyo binti! Kwani huyo binti alikuwa akiandamana akidai haki au alikuwa anapita na risasi ikampiga kwa bahati mbaya hasa kutokana na uzembe wa polisi? Kama hivyo ndivyo, iweje kilaumiwe chama fulani kwasababu ya ushindi wake badala ya kulaumu huyo mfyatuaji wa risasi? Kama ni uzembe wa polisi kwanini upinzani ushikilie bango kuwa ilikuwa ni makusudi wakati binti alikuwa mpita nja tu? Je ni dalili ya upinzani kukosa uwezo wa kuchambua masuala na kutambua kuwa ilikuwa bahati mbaya? Hali hiyo ni inaweza kuwa inaashiria mwanzo wa mwisho wa upinzani tukielekea uchaguzi mkuu wa 2020?

..labda kwasababu viongozi wa CCM husema jeshi la Polisi ni la kwao.

..kauli hizo zinaweza kupelekea CCM kulaumiwa kwa UNYAMA na UKATILI unaofanywa na Polisi.
 
napata shida sana kuelewa hilo tukio la kumpiga risasi huyo binti! Kwani huyo binti alikuwa akiandamana akidai haki au alikuwa anapita na risasi ikampiga kwa bahati mbaya hasa kutokana na uzembe wa polisi? Kama hivyo ndivyo, iweje kilaumiwe chama fulani kwasababu ya ushindi wake badala ya kulaumu huyo mfyatuaji wa risasi? Kama ni uzembe wa polisi kwanini upinzani ushikilie bango kuwa ilikuwa ni makusudi wakati binti alikuwa mpita nja tu? Je ni dalili ya upinzani kukosa uwezo wa kuchambua masuala na kutambua kuwa ilikuwa bahati mbaya? Hali hiyo ni inaweza kuwa inaashiria mwanzo wa mwisho wa upinzani tukielekea uchaguzi mkuu wa 2020?
Umesema bahati mbaya ?! Yani utoe amri ya piga, kisha mtu awafyatulie risasi watu halafu udai ni bahati mbaya?!
 
Kigwangala katika ubora wake. Hapo tayari amesha washa feni.
Rais asingeelezea 'Masikitiko' yake hakuna hata kiongozi mmoja angeonekana kwenye huu msiba wa huyu bint yetu.
Huu ni ukweli usiopinga
 
Ni bahati mbaya sana risasi haikulenga walengwa japo walikuwa wengi.
 
"Nitaongoza mapambano nchi hii, nitaongoza mapambano nchi hii, hata kama watanzania (100) watakufa wataleta haki nchi hii ni wangapi wanasema tufanye kama Misri na Libya?!! , Watakao kufa hata wakiwa (200 ) tuko tayari kwa mapambano na wao wanafikiri ni kinondoni tu lakini Ilala itawaka pia nchi nzima iwataka moto'"

Mwisho wa kunukuu (Maneno ya Freeman Mbowe mbunge wa Hai-Katika mkutano wa kufunga kampeni wa 16/02/2018 uliofanyika viwanja vya Buibui, Mwananyamala Komakoma).

Kauli kama hizi ni mbaya sana kutolewa na viongozi wa vyama vya siasa.

R.I.P Akwilina
Then compare those speeches from your Demigod!! He has killled more than those you have written!
 
Maaskofu kwenye ujumbe wa kwaresma wamekemea uminywaji wa demokrasia leo yametokea hayooo
 
napata shida sana kuelewa hilo tukio la kumpiga risasi huyo binti! Kwani huyo binti alikuwa akiandamana akidai haki au alikuwa anapita na risasi ikampiga kwa bahati mbaya hasa kutokana na uzembe wa polisi? Kama hivyo ndivyo, iweje kilaumiwe chama fulani kwasababu ya ushindi wake badala ya kulaumu huyo mfyatuaji wa risasi? Kama ni uzembe wa polisi kwanini upinzani ushikilie bango kuwa ilikuwa ni makusudi wakati binti alikuwa mpita nja tu? Je ni dalili ya upinzani kukosa uwezo wa kuchambua masuala na kutambua kuwa ilikuwa bahati mbaya? Hali hiyo ni inaweza kuwa inaashiria mwanzo wa mwisho wa upinzani tukielekea uchaguzi mkuu wa 2020?
usiwe na kumbu kumbu fupi hiko chama fulani ndo wamekua wakijitamba kwenye hadhara polisi ni wao na upinzani ukiendeleza chokochoko washughulikiwe wengne wakaenda mbali wauliwe kabsa
refer speech ya Masha mbele ya rais akati anahamia CCm na bashe pia wote hawa hakuna aliewaonya alietoka kwenye chama chao

pili hili tukio sio uzembe
1. polisi walitumiaje silaha akati watz walikua wanaandamana mikono mitupu?? wale waandamanaji hakuna hata mmoja aliekua na hata nabjiwe mkononi lkn polisi wakaanza kutumia risasi

2. taarifa wanazotoa ni za kubebana. bila haya mtu anasimama anasema risas zilikua zinapigwa juu ndo zikampata. cha ajabu kuna watz wameamin hili tangu lini risasi ikashuka ikakunja njia?? hapa ndo unajua illiteract rate ni kubwa

3. kwann hawa polisi wanakua wanaleta fujo kwenye mikutano ya chadema tu na hata siku moja hawaingilii ya ccm??
 
napata shida sana kuelewa hilo tukio la kumpiga risasi huyo binti! Kwani huyo binti alikuwa akiandamana akidai haki au alikuwa anapita na risasi ikampiga kwa bahati mbaya hasa kutokana na uzembe wa polisi? Kama hivyo ndivyo, iweje kilaumiwe chama fulani kwasababu ya ushindi wake badala ya kulaumu huyo mfyatuaji wa risasi? Kama ni uzembe wa polisi kwanini upinzani ushikilie bango kuwa ilikuwa ni makusudi wakati binti alikuwa mpita nja tu? Je ni dalili ya upinzani kukosa uwezo wa kuchambua masuala na kutambua kuwa ilikuwa bahati mbaya? Hali hiyo ni inaweza kuwa inaashiria mwanzo wa mwisho wa upinzani tukielekea uchaguzi mkuu wa 2020?
Wafyatuaji walitumwa na nani kwenda kuwapiga risasi za moto raia? Hao Polisi walitoka na bunduki zao na risasi za moto nyumbani na kwenda kuwafyatulia risasi za moto wananchi wasio na silaha au kuna mtu aliwatuma?

Aliyewaagiza polisi kutumia risasi ovyo ni JPM na alifanya hivyo kwa hotuba iliyooneshwa wazi na TV zetu karibia zote, wakati akiwahutubia makamanda. Toka wakati huo watu wamekuwa wakiuawa hovyo bila kukemewa na serikali ya CCM. Nani anaunda serikali ya CCM kama siyo CCM?

Hivi unadhani polisi anaweza kutumia risasi bila ya idhini ya IGP? Unadhani IGP anaweza kuidhinisha matumizi ya risasi bila kuruhusiwa na Amiri Jshi Mkuu?

Tunajua mfumo wa uidhinishaji wa uendeshaji operesheni za kipolisi. Ni lazima Mkuu wa nchi aridhie, IGP aridhie, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa na Wilaya ziridhie. Ndipo mkuu wa operesheni huondoa askari kuwapeleka kwenye operesheni.

Ni mfumo huo ndio unaofanya Rais asikwepe lawama na wale wenzie wote waalioidhinisha.
 
Inashangaza sana kwa Kweli kuona " wenye dhamana ya kulinda raia na Mali zao wao ndo kwanza wanawaua hao raia" [emoji87][emoji87]
Sasa ikifika hapa nini kifanyike?
 
Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla leo amezuru nyumbani kwa msichana Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Dr Kigwangalla amesema amesikitishwa sana na mauaji hayo ya kinyama kwa raia asiye na hatia.

Source ITV habari na BBC Dira ya Dunia!
Mmeua watu ili mjitangaze washindi bandia kisha mnalia mnalia na kujidai kutoa na kugharimia msiba? Wauaji wakubwa nyie.endeleni ipo siku
 
Waziri wa Maliasili na utalii Dr Kigwangalla leo amezuru nyumbani kwa msichana Akwilina aliyeuawa kwa kupigwa risasi. Dr Kigwangalla amesema amesikitishwa sana na mauaji hayo ya kinyama kwa raia asiye na hatia.

Source ITV habari na BBC Dira ya Dunia!
The second Best COMMEDIAN in the country.
 
napata shida sana kuelewa hilo tukio la kumpiga risasi huyo binti! Kwani huyo binti alikuwa akiandamana akidai haki au alikuwa anapita na risasi ikampiga kwa bahati mbaya hasa kutokana na uzembe wa polisi? Kama hivyo ndivyo, iweje kilaumiwe chama fulani kwasababu ya ushindi wake badala ya kulaumu huyo mfyatuaji wa risasi? Kama ni uzembe wa polisi kwanini upinzani ushikilie bango kuwa ilikuwa ni makusudi wakati binti alikuwa mpita nja tu? Je ni dalili ya upinzani kukosa uwezo wa kuchambua masuala na kutambua kuwa ilikuwa bahati mbaya? Hali hiyo ni inaweza kuwa inaashiria mwanzo wa mwisho wa upinzani tukielekea uchaguzi mkuu wa 2020?

Risasi ilimpigaje kwa bahati mbaya ndani aliingia ndani ya uwanja wa mapambano au alikuwa anapita eneo lisiloruhusiwa?
upumbavu mtupu
 
napata shida sana kuelewa hilo tukio la kumpiga risasi huyo binti! Kwani huyo binti alikuwa akiandamana akidai haki au alikuwa anapita na risasi ikampiga kwa bahati mbaya hasa kutokana na uzembe wa polisi? Kama hivyo ndivyo, iweje kilaumiwe chama fulani kwasababu ya ushindi wake badala ya kulaumu huyo mfyatuaji wa risasi? Kama ni uzembe wa polisi kwanini upinzani ushikilie bango kuwa ilikuwa ni makusudi wakati binti alikuwa mpita nja tu? Je ni dalili ya upinzani kukosa uwezo wa kuchambua masuala na kutambua kuwa ilikuwa bahati mbaya? Hali hiyo ni inaweza kuwa inaashiria mwanzo wa mwisho wa upinzani tukielekea uchaguzi mkuu wa 2020?

Endelea kupata shida kwa sababu akili yako imezama kwenye tope!
 
Back
Top Bottom