Dkt. Kigwangalla akiri Wakulima Wana matatizo ikiwemo Masoko ya mazao lakini shida hizi zilianza wakati Mzee Warioba akiwa Waziri mkuu hadi leo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,113
Mjumbe mstaafu wa Baraza la Mawaziri Dkt. Kigwangalla amesema ni kweli Shida za Wakulima zipo lakini hazikuanza leo zilikuwepo tangu Mzee Warioba akiwa Waziri na alishindwa kuzitatua

Kuna tatizo la Bei na Masoko ya mazao ya Wakulima, amesema mh. Kigwangala

Chanzo: ZamaMpya Tv
 
Mjumbe mstaafu wa Baraza la Mawaziri Dr Kigwangala amesema ni kweli Shida za Wakulima zipo lakini hazikuanza leo zilikuwepo tangu Mzee Warioba akiwa Waziri I na alishindwa kuzitatua

Kuna tatizo la Bei na Masoko ya mazao ya Wakulima, amesema mh Kigwangala

Source: ZamaMpya Tv
ni sawa lkn tatizo halikuwa kubwa kiasi hicho na nadhani kigwangala anaongelea historia zaidi kuliko uhalisi.nakumbuka enzi hizo hata huyo kigwa hakuwepo ila anaongelea nadharia zaidi kuliko uhalisia.matatizo ya wakati ule hayafanani kabisa na yaliyopo hivi sasa katika kila nyanja na sijui anaongelea katika mukhtaza gani.
 
Mjumbe mstaafu wa Baraza la Mawaziri Dkt. Kigwangalla amesema ni kweli Shida za Wakulima zipo lakini hazikuanza leo zilikuwepo tangu Mzee Warioba akiwa Waziri na alishindwa kuzitatua

Kuna tatizo la Bei na Masoko ya mazao ya Wakulima, amesema mh. Kigwangala

Chanzo: ZamaMpya Tv
Kigwangala ni mwongo mkubwa. Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza, hakukuwahi kuwa na tatizo la soko la mazao. Mazao yote yalinunuliwa na Serikali.

Matatizo yaliyokuwepo, hakukuwa na ushindani wa bei kwa sababu mnunuzi alikuwa ni mmoja tu, Serikali.
 
Warioba alikuwa Waziri mkuu awamu ya pili

Kwa awamu ya kwanza uko sahihi kabisa hapakuwa na shida kwa Wakulima
 
Mjumbe mstaafu wa Baraza la Mawaziri Dkt. Kigwangalla amesema ni kweli Shida za Wakulima zipo lakini hazikuanza leo zilikuwepo tangu Mzee Warioba akiwa Waziri na alishindwa kuzitatua

Kuna tatizo la Bei na Masoko ya mazao ya Wakulima, amesema mh. Kigwangala

Chanzo: ZamaMpya Tv
Naam
 
jamaa ana laana kubwa ya kumsusa mzee wake amebaki anatapatapa nzega vijijini msifanye makosa tena akija na baiskel muyakatae waziwazi
 
Warioba alikuwa Waziri mkuu awamu ya pili

Kwa awamu ya kwanza uko sahihi kabisa hapakuwa na shida kwa Wakulima
Lakini pia Warioba hajatamka kuwa matatizo kwa wakulima yameanza awamu hii au wakati wa awamu ya pili hayakuwepo.

Ninachoamini, mpaka sasa, matatizo yamekuwepo kwa wakulima, wafugaji, wavuvi, wafanyabiashara, wafanyakazi na hata kwa wawekezaji.

Kilicho muhimu ni Serikali kuhakikisha kila siku inayopita, matatizo yanapunguzwa, na hali inaboreka.

Ujinga na uwendawazimu, ni kusifiana kama vile matatizo yote tumeyamaliza wakati bado yapo mengi. Siamini kama kuna kiongozi yeyote yule, ambaye anaweza kuyamaliza matatizo yote ya Watanzania katika utawala wake lakini anaweza kuyapunguza. Kwenye spidi na ukubwa wa kuyapunguza kutatofautiana kutoka utawala mmoja hadi mwingine kutokana na ubora wa kiongozi.

Watu wa hovyo kabisa ni wale wanafiki wa kusifia viongozi hata pale ambapo kiongozi amefanya mambo ya kawaida kabisa yaliyomo kwenye wajibu wake, au wakati mwingine hajafanya chochote, au amefanya vibaya.
 
Wanaccm wenyew wameshaanza kutuonesha kuwa hiki chama hakifai kinatakiwa kikae pembeni

Inatupasa tujitolee damu kukitoa
 
Wakati huo wa Mzee Warioba nchi ilikuwa ndani ya utawala wa Chama kipi cha siasa? Na Kwa maelezo haya ya HK ni kwamba anatuambia Watanzania kuwa ccm imeshindwa kutatua changamoto za wakulima na wamekuwa wakibadilisha watawala bila ya kuwa na ajenda na mikakati kutatua matatizo ya Watanzania. Kwa ufupi HK, KIBAJAJI na MUSUKUMA ni kama wamedakia kujibu HOJA ambayo hata labda hawakuiskia kutoka Kwa msemaji. Dr Bashiru katoa maoni kitaaluma ajibiwe kitaaluma si kumjibu kihuni. Mwisho wa siku ccm inajiangusha yenyewe.
 
Mjumbe mstaafu wa Baraza la Mawaziri Dkt. Kigwangalla amesema ni kweli Shida za Wakulima zipo lakini hazikuanza leo zilikuwepo tangu Mzee Warioba akiwa Waziri na alishindwa kuzitatua

Kuna tatizo la Bei na Masoko ya mazao ya Wakulima, amesema mh. Kigwangala

Chanzo: ZamaMpya Tv
Janaa tu kamsifia Samia kwa kuupig mwingi. Leo anadai shida zipo.

Huyu nae ni bongo lala.
 
Huyo ni mjinga kama wajinga wengine hua sio wa kumsikiliza kabisa, kwahiyo kama matatizo yalikuepo yaendelee kuwepo yasitatuliwe si ndio?
 
Mjumbe mstaafu wa Baraza la Mawaziri Dkt. Kigwangalla amesema ni kweli Shida za Wakulima zipo lakini hazikuanza leo zilikuwepo tangu Mzee Warioba akiwa Waziri na alishindwa kuzitatua

Kuna tatizo la Bei na Masoko ya mazao ya Wakulima, amesema mh. Kigwangala

Chanzo: ZamaMpya Tv
KWANI KIGWANGALA NI MJAMZITO.? MBONA ANAROPOKA KAMA ANATAKA NDIMU.KWA HIYO WARIOBA ALISHINDWA KUTATUA KWA HIYO NA WAO WAMEKATAZWA KUTATUA.CCM IMEKUWA CCMAVI.
 
Back
Top Bottom