Mkuu itetee nafsi yako mwenyewe usikubali kushikiwa akiliSafi sana
Hata Mimi naenda kuchanja nikipata muda
Mwili wetu una chanjo kibao
Kauli ya mabeberu haipo tena, sasa ni wadau wa maendeleo. Ukibisha unampinga Mama.mabeberu yatakuwa yanacheka sana huko walipo! 😄😄
Hizo chanjo wanazochanjwa wenzetu mpaka uwe na connection au????
Kaamua kula chanjo ya mrusi halafu sisi wanatutaka tuchanjwe zile za wale mafreemason
alishituka pale hii kitu ilipofika hadi ikulu,ambako usalama unategemewa kuwa ni 100%.sembuse huku kwetu mtaaniView attachment 1867537
Waziri wa zamani wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamis Kigwangalla ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Afya ya Jamii, apata chanjo yake ya corona, Sputnik Light, kutoka ya Urusi.
Dr. Kigwangalla aliwahi kupinga vikali matumizi ya chanjo katika kukabiliana na ugonjwa wa Corona mnamo mwaka 2020 lakini alibadili msimamo wake mapema mwaka huu na kuhimiza upatikanaji wa chanjo dhidi ya virusi vya corona kama njia pekee ya kupambana na ugonjwa wa UVIKO-19 unaosababishwa na virusi hivyo vya corona.