Dkt. Hussein Mwinyi aweza kuwa mgombea urais wa CCM 2025 na Dr Titus Mlengeya Kamani akawa Mgombea Mwenza

Kwanini watu wa bara hawawezi kumiliki ardhi Zanzibar huku Raisi wao anatoka Zanzibar? Kuna vitu vya ajabu sana kwenye huu muungano, ili huu muungano uwe wa kweli Kuna vitu vingi sana inabidi virekebishwe, muungano wa kweli ni katiba Moja na Sheria Moja 100%, tofauti na hapo ni kupoteza muda tuu
 
Kwanini watu wa bara hawawezi kumiliki ardhi Zanzibar huku Raisi wao anatoka Zanzibar? Kuna vitu vya ajabu sana kwenye huu muungano, ili huu muungano uwe wa kweli Kuna vitu vingi sana inabidi virekebishwe, muungano wa kweli ni katiba Moja na Sheria Moja 100%, tofauti na hapo ni kupoteza muda
Mojawapo ana asili mbili ya Visiwani na ya mkuranga
 
Dr Hussein Mwinyi Daktari wa binadamu na Rais wa Zanzibari kuwa Rais wa JMT 2025 na mgombea mwenza wake Ni Dr Titus Mlengeya kamani huyu ni waziri mstaafu na Daktari wa Wanyamapori Tanzania
Tushakubaliana fomu ni moja tu ya rais dr ,chief,phd,mama hangaya.sasa hao tena wanatoka wapi?
Tena huyo mstaafu anakuja huku kubugudhi watu badala kulea wajukuu.
Nchi ya ajabu hii
 
Dr Hussein Mwinyi Daktari wa binadamu na Rais wa Zanzibari kuwa Rais wa JMT 2025 na mgombea mwenza wake Ni Dr Titus Mlengeya kamani huyu ni waziri mstaafu na Daktari wa Wanyamapori Tanzania
Kwahiyo Tanganyika ni nchi ya kutawaliwa na wageni ?.Usijitoe ufahamu Zanzibar ni ni yenye mipaka yake,raia wake,bendera yake,wimbo wake wa taifa,nemho yake ya taifa,mipaka yake......Enyi Watanganyika ni nani aliyewapora maarifa.
 
1000054624.jpg
 
Tushakubaliana fomu ni moja tu ya rais dr ,chief,phd,mama hangaya.sasa hao tena wanatoka wapi?
Tena huyo mstaafu anakuja huku kubugudhi watu badala kulea wajukuu.
Nchi ya ajabu hii
Hao ni wale wanaofikiria urais mda wote wakilala na kuamka na hawachoki.
Bimkubwa yupo sana hadi 2031 na nusu kwa mujibu wa katiba ya nchi na tamaduni za sisiemu na kazi ameweza, wao watulie tu au kama vipi wahamie Burundi!!
 
Back
Top Bottom