Dkt. Hussein Mwinyi adai Mzee Mwinyi hakuagiza azikwe Mkuranga

Wew mwenyewe upo zenji ila babu yako alitoka tabora kwa wanyamwezi na akawa mtumwa wa waarabu zenji......bahati nzuri hawakumuhasi.....ndio maana leo upo.
Afu unajifariji ww mwarabu 🤣🤣🤣
Au ww adui wa mapinduzi matukufu ya mwaka 1964???
NB......SAWA WEW MWEUSI MWARABU HAKUNA SHIDA 🤣🤣🤣
Naona unamtukana nyerere kiarabu kisa alimfukuza mwarabu zanzbar ambapo babu zako walikua watumwa na bibi zako vijakazi wa kuzalishwa vizazi vya machotara.

Mwarabu ndiye anayekutawaleni kwa akili zenu mbovu, Usijaribu kudanganya kama vile uko kanisani kwenu

usitukane watu humu , Hakuna mnyamwezi alifanywa mtumwa. hao wanyamwezi walikuwa na watumwa wao , soma historia
 
Hivi kuzaliwa wapi au wapi kuna shida gani na uraia wa nchi zetru za kiafrika? Mbona tunaoenda ku deal na petty issues tunaacha mambo ya maana yatupite kama vile hatupo?
Kumkataa mtu kwa kigezo baba alizaliwa au kuzikwa wapi? Bila kujari huyo mtu analeta nini kusaidia umma wa watu?
 
Hii ndiyo Taarifa mpya ya sasa kama ilivyoripotiwa na MwanaHalisi Digital .

Husein Mwinyi ambaye ni Rais anadai wanaoeneza hilo wamelenga kumdhoofisha kisiasa (Hakufafanua kwamba watamdhoofishaje na wala hakusema Mzee kuzikwa Zanzibar kunamuimarishaje) na wala hakusema pia kama Mzee Mwinyi aliagiza akazikwe Zanzibar .

Zaidi soma hapa.

View attachment 2925536View attachment 2925539View attachment 2925540
Mimi sio mwizi,mimi sio mwizi nani kakuuliza kuwa wewe mwizi? pia haya ni mambo ya familia mbona tarumbeta sana nahisi kuna jambo ambalo si sawa . Nani anataka kuzikwa ambako sio kwao azikwe kwa wakwe na si kwenye makaburi ya wazazi wake tena karibu kabisa na alipokuwa anaishi? tukumbuke madaraka yana mwisho sijui yakiisha mtakuja semaje hapo baadae, mkataa kwao ni mtumwa.
 
Dk. Hussein aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga kama sijakosea. Mbona Mkuranga ile ile suddenly imekuwa mbaya hivyo hata kuzikia tunapakimbia? Dah! Mkataa kwao?
Keshaonja utamu wa madaraka, sijui akimaliza muda wake ataenda wapi. Ni vigumu kuamini na ndio maana nguvu nyingi zinatumika yaani badala ya kuzikwa kwetu tena unaenda na basi mnipeleke ambako si kwetu maili kibao sijui kwa mahaba gani na maisha karibu robo tatu nimeishi kaibu na kwetu halafu mnipeleke ukweni kisa?
 
Una uhuru wa kusema hivyo, lakini hilo halifanyi unalosema kuwa kweli.

Masuala ya nia, kitu cha ndani kabisa katika fikra za mtu, ni magumu sana kwa mtu mwingine kuyajua.

Wewe unaweza kurahisisha mambo hayo kwa sababu hujaishi maisha yake, hujajua ana connection gani na Zanzibar.

Familia ya Mwinyi imeamua kuhamia Zanzibar. Kuna mtoto wa pili wa Ali Hassan Mwinyi anaitwa Hassan hakuwa mwanasiasa, alifariki mwaka 2022. Alizikwa Zanzibar.

Huyo naye utasema kazikwa Zanzibar kisiasa?

Hawa wakina Mwinyi hata wakija kuzikwa Mkuranga nako kuna kitu kitakuzuia kusema wanazikwa Mkuranga kisiasa kwa sababu wanataka urais wa bara?

Ukitaka Mwinyi azikwe wapi ili usione kazikwa kisiasa? Cairo Misri?

Na huyu Hassan baba yake kazikwa hapo hapo, pembeni ya kaburi la mtoto wake wa pili.

Sasa Mzee Ali Hassan Mwinyi akikwambia anataka kuzikwa Zanzibar walipohamia, alipoanzia elimu na maisha, alipianzia siasa, alipoolea na kupata familia, ambapo mtoto wake kazikwa, na ndugu zake wengine watazikwa, utataka kumnyanyapaa kwamba kaamua kuzikwa hapo kisiasa?

Mbona mnamkosea heshima sana huyu Mzee wakati yeye alikuwa mtu mstaarabu sana kwenye ku deal na watu?
Anayemkosea ni yule anayetangaza mambo ya kifamilia kwenye vyombo vya habari, angekaa kimya yote haya yasingetokea, mara mimi nimependekezwa yanini? mbona hatujasikia kwa akina Aboud Jumbe. Maalimu Seifu,Nyerere,Mkapa,Magufuli na wengineo wengi?
 
Acha uwongo- Hussein mwinyi ana miaka 57 sasa. Akiwa na miaka minne ni 1970, nchi gani hiyo unayosema ilikuwa haijapata uhuru 1970?
Marehemu Mzee Mwinyi wazazi wake walihamia Zanzibar akiwa na miaka minne
 
Anayemkosea ni yule anayetangaza mambo ya kifamilia kwenye vyombo vya habari, angekaa kimya yote haya yasingetokea, mara mimi nimependekezwa yanini? mbona hatujasikia kwa akina Aboud Jumbe. Maalimu Seifu,Nyerere,Mkapa,Magufuli na wengineo wengi?

Kabla ya yote wazushi walishaanza majungu kwamba kuna wosia wa Mzee Mwinyi unaotaka azikwe Mkuranga lakini Hussein kakataa hilo kwa sababu za kisiasa.

Hapo ndipo kwenye mzizi wa fitina.

Nani kaanza kutangaza mambo ya kifamilia kwenye vyombo vya habari? Mambo gani? Mambo yapi ni ya kifamikia na yapi ni ya kitaifa?

Mwinyi alikuwa rais wa nchi, mambo gani ni ya kifamilia na mambo gani ni ya kitaifa ni sawa wananchi wajue?

Mzee Mwinyi alipoumwa na kulazwa, familia ilitangaza anaumwa na kalazwa, ikaomba ipewe faragha.

Kutangaza Mzee Mwinyi anaumwa lilikuwa jambo la kifamilia ambalo Watanzania hawakupaswa kujua? Au ilikuwa sawa, jambo la kitaifa ambalo Watanzania walistahili kujua rais wao mstaafu anaumwa?

Na vipi kuhusu kujibu uzushi na kuweka rekodi sawa?

Hussein Mwinyi akijibu uzushi kuhusu wosia wa Mwinyi anapatia kwa sababu anajibu uzushi au anakosea kwa sababu anaongelea mambo ya famikia?
 
Uchaguzi, aliyembeba kwa kumweka madarakani , Magufuli yuko kuzimu, Baba yake ndio kaondoka
Hujielewi maana nimekuuliza nitajie mtu ambaye akisimama jukwaani anaweza kutishia nafasi ya Mwinyi unanilezea issue za Magufuri.
 
Hakuna emotion hapa, ni logic tu.

If anything, wewe unayeleta stories za wosia ambao huwezi kuthibitisha upo ndiye unaleta emotions, huna factual argument, unakataza mtu kuzika baba yake anapotaka, kitu ambacho ni haki yake na familia yake, bila logic.

Sojalalamika mtu aliyekuwa mwanasiasa kusemwa kwa siasa.

Nalalamika mtu yeyote kusemwa kwa uongo.

Mnasema Mwinyi aliacha wosia kuzikwa Mkuranga, nimewataka kutoa ushahidi kwenye hilo mmeshindwa.

Haya mpaka sasa ni maneno ya uzushi tu.

Mnaungaunga vijineno tu, hamna hata aibu.
Kwahiyo unachokisema ni kuwa hatukua sahihi kumpinga Madaraka kwenye ishu ya sanamu kwakua tu Mwalimu alikua baba yake na sio baba yetu?

Sijui historia ya mzee Mwinyi lakini kama kweli mababu zake wamelala Mkuranga, daaah naona kabisa wanaosema amezikwa Zanzibar kisiasa kama wana hoja vile, wasikilizwe!

Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu,

Mtu ana haki ya kuzikwa sehemu yoyote anayotaka. Hizi habari za walikozikwa mababu ni habari za ujima. Mbona Watanzania wengi wanazikwa Dar sehemu walipohamia ukubwani, si kwao, hakuna makaburi ya mababu zao, na hatushangai chochote? Itakuwa Mwinyi mtu akiyehamia Zanzibar, kaoa huko, mpaka kawa rais huko?

Hoja nzima imejengwa kwenye msingi kwamba Mwinyi aliacha wosia azikwe Mkuranga, familia yake ikamzika Zanzibar kisiasa. Hizi habari ni za uzushi, hazina ushahidi wala uthibitisho wowote.

Ni maneno ya kuungaunga ya watu wanaotaka kuleta siasa mpaka kwenye mazishi.

Kwenye habari ya Nyerere, Nyerere mwenyewe alikataa kuwekwa sanamu yake hapo Askari Monument Samora Avenue Dar. Tangu mapema baada ya Uhuru watu walimfuata Nyerere wakimwambia wanataka kulitoa lile sanamu la Askari waweke sanamu la Nyerere, Nyerere alikataa katakata kuwekwa sanamu yake.

Sasa hapo mkisema Nyerere aliacha wosia asiwekwe sanamu, ila watu wanalazimisha, ninaweza kuelewa.

Petro Bwimbo aliyekuwa mlinzi wake mkuu kaandika hizo habari kwenye kitabu chake "Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere:
 
Hujielewi maana nimekuuliza nitajie mtu ambaye akisimama jukwaani anaweza kutishia nafasi ya Mwinyi unanilezea issue za Magufuri.
Itakuwa umeelewa , Wazanzibari hata wawekewe jiwe basi watalichagua jiwe na si CCM , kila mtu anaelewa , sijui kama ulikuwa umezaliwa wakati wa kura ya maruhani ??
 
Mkuu,

Mtu ana haki ya kuzikwa sehemu yoyote anayotaka. Hizi habari za walikozikwa mababu ni habari za ujima. Mbona Watanzania wengi wanazikwa Dar sehemu walipohamia ukubwani, si kwao, hakuna makaburi ya mababu zao, na hatushangai chochote? Itakuwa Mwinyi mtu akiyehamia Zanzibar, kaoa huko, mpaka kawa rais huko?

Hoja nzima imejengwa kwenye msingi kwamba Mwinyi aliacha wosia azikwe Mkuranga, familia yake ikamzika Zanzibar kisiasa. Hizi habari ni za uzushi, hazina ushahidi wala uthibitisho wowote.

Ni maneno ya kuungaunga ya watu wanaotaka kuleta siasa mpaka kwenye mazishi.

Kwenye habari ya Nyerere, Nyerere mwenyewe alikataa kuwekwa sanamu yake hapo Askari Monument Samora Avenue Dar. Tangu mapema baada ya Uhuru watu walimfuata Nyerere wakimwambia wanataka kulitoa lile sanamu la Askari waweke sanamu la Nyerere, Nyerere alikataa katakata kuwekwa sanamu yake.

Sasa hapo mkisema Nyerere aliacha wosia asiwekwe sanamu, ila watu wanalazimisha, ninaweza kuelewa.

Petro Bwimbo aliyekuwa mlinzi wake mkuu kaandika hizo habari kwenye kitabu chake "Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere:
Heshima yako mkuu and salute...sehemu aliyozikiwa mtu haimaniishi lolote la maana, zaidi ya kuendeleza ujima, na kukuza ubaya wa akili zetu ndogo.
Waafrika tunasumbuana na petty issues. Mambo ya maana wala hatuhangaiki nayo
 
Si ndiyo hapo nashangaa hata mimi.

Hussein Mwinyi ana makandokando kibao.

Ali Hassan Mwinyi ana makandokando kibao.

Kweli watu wametafuta kitu cha kuwasema vibaya hawa kina Mwinyi wakakosa kabisa, wakaja na sehemu anapozikwa Ali Hassan Mwinyi kama issue?

Hapo ndipo utakapojua siasa zetu ni za matukio, tena za majitaka. Kuanzia watawala mpaka hao wanaowapinga.
 
Si ndiyo hapo nashangaa hata mini.

Hussein Mwinyi ana makandokando kibao.

Ali Hassan Mwinyi ana makandokando kibao.

Kweli watu wametafuta kitu cha kuwasema vibaya hawa kina Mwinyi wakakosa kabisa, wakaja na sehemu anapozikwa Ali Hassan Mwinyi kama issue?

Hapo ndipo utakapojua siasa zetu ni za matukio, tena za majitaka. Kuanzia watawala mpaka hao wanaowapinga.

Akili zetu gonjwa..zinaumwa. Na hatujajua kama ni wagonjwa 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom