Uchaguzi 2020 Dkt Hussein Alli Hassan Mwinyi, anafaa sana kupeperusha bendera ya Urais kupitia CCM

Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Upuuzi mtaacha lini? angalau ungesema ww unafaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo sio kutulia atafanya maamuzi magumu?atapambana na rushwa,?ataweza kuwachukulia hatua kali wale wote watakuwa implicated na ufisadi especially from his circle bila kuonea huruma ( ushikaji)?kama kigezo chako ni utulivu basi wako wengi sana ndani ya CCM ambao ni watulivu na hawana kashifa
Well said
 
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Utumwa bado unahangaisha akili zetu. Yaani kuwa mtoto wa rais mstaafu nayo ni sifa ya kuwa rais? Umuonavyo ktk maisha yake kwenye hizo nafasi, nini cha maana lishafanya kuonyesha kwamba ni kiongozi mzuri? Iko siku mutatuletea zezeta kwa sifa ya utulivu na upole.
 
Kama sifa zenyewe za kuwa rais wa Tz ni hizi basi hata polepole anafaa kuwa rais!!! Hapa ndipo watanzania tunaonekana watu wa ajabu sana. Mtu aliyeshika nafasi kubwa serikalini kwa miaka mingi ili awe rais/ mkuu wa nchi tunampima kwa upole, hana kashfa na harukiruki???
 
Dkt Mwinyi ni smart by 4 by far kuliko hawa certified vichaa wenu
 
Mkuu ile campain yenu ya twende na Membe vip? Ilisha kwisha muda wake? Au mmebadiri gia angani..

Taarifa yako tu, au Dokezo mwaka 2020 sisi Watanzania tutaanzisha campain kali sana kwenye media zote kumuongezea JPM muda wa uongozi kupitia mabadiriko madogo ya katiba.
And believe me! Tutafanikiwa japo kutakuwa na wimbi la upinzani wa hoja hiyo ikianzia kwa Rais mwenyewe lakini tutashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Marais wa kupelekeshwa hawatakiwi nchi hii kwa sasa,ni bandika bandua ya watemi mithiri ya Magufuli ,kitakapoeleweka ndio atakuja mpolempole,nchi inanyooshwa kwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom