Uchaguzi 2020 Dkt Hussein Alli Hassan Mwinyi, anafaa sana kupeperusha bendera ya Urais kupitia CCM

BEHOLD

JF-Expert Member
Nov 17, 2013
5,057
10,715
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
 
Noooo, nooooo, nooooooooooo, noooooooooooooooooo way, Big biiiiiiig nooooooo...!! 😲😠😠😠
 
mtu yeyote mwenye 40yrs and above plus a nincompoop first degree qualifies to lead the so called republic of DANGANYIKA
 
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Kwani aliyepo ameshatenganishwa na vyombo vya Dola na vya maamuzi ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Anaongoza Wizara ambayo haina changamoto,pale Wizara ya Ulinzi yeye yupo kama nembo tu lkn maamuzi yote yanatolewa na Makamanda wa ukweli siyo wale Makamanda fake wa Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
Naunga mkono hoja, tena hayuko peke yake kutoka pande hizo, hata huyu anafaa

Prof. Mbarawa ni Presidential material! Tuwaspot na kuwagroom Presidential materials au tumwache tu yeyote awe? - JamiiForums

Tatizo la rais wa JMT kutoka Zanzibar ni hili.
Je, kunahitajika affirmative action ili Mzanzibari aweze tena kuwa Rais wa JMT? - JamiiForums
P.
 
Nooo mimi nakupendekeza wewe Pasco, una sifa zote halafu hauna makundi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.

Kama unaongelea 2025 kwa kwelu anafaa sana.Hata kwa urais wa Zanzibar 2020 kwa kweli hana kasoro.Ni muungwana ,mtulivu .mwenye subra na saburi.Hana makuu na ni mcha Mungu.Sifa kubwa kwa mzee Mwinyi aliyempa malezi mazuri kijana huyu.
 
Hivi ni lazima watoto wa viongozi nao wawe viongozi ?
si kila mtu akizaliwa anakuwa na ndoto yake maishani, kama ndoto zao ni kuwa viongozi wasiitimize kwa sababu ya baba/mama zao waliwahi kuwa viongozi?
 
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.
BENARD MEMBE FOR PRESIDENTIAL 2020 ,
 
BENARD MEMBE FOR PRESIDENTIAL 2020 ,
.
Pesa chafu zinawasumbua sana Hata Membe mwenyewe anajua utaratibu kwani Magufuli ni mpaka 2025.Tumuombe Mwenyezi Mungu amjaalie uhai.Lakini wapambe wanajua Membe ana pesa chafu na ni lazima ziliwe ndio hawa wa 'Membe for 2020'.Labda kama mnaongelea yeye kujiunga na upinzani ndiyo agaombee urais,hapo tunasema Ahlan wasahlan .Lakini kama ni ndoto ya urais kwa kupitia CCM hapo ameula wa chuya na hata akatambike na kugaragara makuburini mpaka asubuhi hapati kitu.
 
Huyu Mheshimiwa ambaye ni Waziri wa Ulinzi wa muda mrefu na Mtoto wa Raisi mstaafu Mzee Mwinyi nafikiria anaweza kuwa kiongozi mzuri sana kwa kiti cha Uraisi kupitia CCM.

Ni mtu mtulivu, hana kashfa ndogo wala kubwa, sio mtu wa kuruka kuruka kama kichaa, ana uzoefu wa muda mrefu, yuko composed.

Kama uteuzi ndani ya CCM safari hii utalenga kutoa nafasi kwa wenye asili za Zanzibar ama hata vinginevyo, nafikiri Mhe Hussein Alli Hassan Mwinyi atakua chaguo bora.
Mengine tuziachie mamlaka.

Tatizo sio kutulia atafanya maamuzi magumu?atapambana na rushwa,?ataweza kuwachukulia hatua kali wale wote watakuwa implicated na ufisadi especially from his circle bila kuonea huruma ( ushikaji)?kama kigezo chako ni utulivu basi wako wengi sana ndani ya CCM ambao ni watulivu na hawana kashifa
 
Back
Top Bottom