Dkt. Helen Kijo-Bisimba anatumika na nani?

Developer IOS

JF-Expert Member
Jun 20, 2017
1,457
1,409
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.

Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.

Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya Serikali yetu pendwa.

Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?

Bisimba.jpg
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya serikali yetu pendwa.Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?
Wanaomfadhili kupata hela ya kuendesha hiyo ofisi
 
Umeweka namba ya simu hapo chini. You are a verified user and you are posting very ... what the F. Kwa mfano bahati mbaya ukawa mkuu wa wilaya(i really dont want this to happen). ...... Leo JF kuna kitu sio bure tu. Hahahahaha
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya serikali yetu pendwa.Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?
Anatumika na akili yake, kwani kila mtu anayekosoa serikali ni lazima atumike na mtu?
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya serikali yetu pendwa.Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?

Huku ni kukosa umakini; kwanini umfikirie anatumika na mtu yeyote? Labda anaitumikia dhamira yake na dhamira ni kuu kuliko kitu kingine chochote. Mtu akipingana na serikali au akitoa maoni yasiyofurahisha sana si lazima awe anatumia...
 
Mama wa Chadema yule. Wa Kibiti kwake hawakustahili utetezi wa haki za binadamu. Alishabikia mgomo wa madaktari wa akina Ulimboka ambao uliua Watz wengi akiwemo Kaka yangu. Sijui wale hawakustahili haki za ubinadamu. Akafie mbele huko!
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya serikali yetu pendwa.Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?
Huyu mama ni janga la Taifa
 
Duh yani mtu akiongea tofauti na mawazo yako basi anatumiwa

Ww kwa haya uliyoyasema umetumwa na nani?
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya serikali yetu pendwa.Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?
huyo mama hana uwezo wa kuharibu amani yenu,angalia vizuri utamuona anayeharibu amani yenu.
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya serikali yetu pendwa.Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?
Unafiki ukifikia mahali hadi unatumia akili zako kupotosha kwa nia ya kumfurahisha unayejinafikisha kwake unaitwa uchawi
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya serikali yetu pendwa.Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?
Ninaona ww ndiyo mchochezi kwa huu upuuzi ulio andika hapa, na uchochezi huu unaofanywa na wewe ni hatari sana kwa sbb unamchonganisha huyo mama na taasisi yake kwa Rais! Huyu mama anacho fanya ni kumkumbusha Rais kutekeleza majukumu aliyopewa na baadhi ya watanzania kikatiba na kisheria zilizowekwa ambalo ni jambo jema sana la kuigwa na watanzania wote wazalendo wanaipenda nchi yao.
 
Habari wakuu,
Nimekuwa nafatilia kwa muda mrefu sana matamko ya kichochezi yanayotolewa na huyu mama.Binafsi yangu bado sijapata dhamira na lengo la huyu mama dhidi ya serikali yetu pendwa ya awamu ya tano.Tumeshuhudia mauaji ya kikatili yaliyoendelea kibiti na pwani lakini huyu mama hakuonyesha kuumizwa na kinachoendelea wala kulaani ukiukwaji wa haki ya kuishi ulioendelea kibiti lakini kutwa kutoa matamko ya kichochezi tu dhidi ya serikali yetu pendwa.Napata mashaka kujiuliza ni nani aliye nyuma yake na akiharibu amani yetu anapata nini?
Amechochea nini?
Acha kuendeshwa Na hisia na Mahaba kwa Mr, Just Praise Me
 
Mkuu ukweli unauma walikufa watu kibiti huyu mama alikaa kimya na watu mkashangilia wanakufa polisi huyu mama haongei

Embu acheni upuuzi wenu muwe mnafikir kabla ya kuongea issue ya kibiti ilipigwa marufuku kuiongelea na mpaka mh lema aliomba ijadiliwe bungeni serikali ikakataa,mwandishi wa habari Azory kaifatilia kapotezwa sasa mnalialia nini
 
Back
Top Bottom