Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,016
- 9,885
Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa si vema kila siku kutoa tahimini za wagonjwa waliokufa na waliopo badala yake kila mwannachi achukue tahadhari ili kunusuru afya na uchumi wa nchi.Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima
"Nani alisema mimi na mume wangu hatujifukiziiiii"Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.
Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa si vema kila siku kutoa tahimini za wagonjwa waliokufa na waliopo badala yake kila mwannachi achukue tahadhari ili kunusuru afya na uchumi wa nchi.
“Nawakumbusha wanaoendelea kufanya mzaha na corona, wasifanye mzaha na UVIKO-19 na tusichukulie wa wepesi kuwa wimbi la kwanza na la pili lilipita, mimi nipo na huyu yupo, wapo wenzetu wengi walipita ukabaki wewe kwa kusudi la Mungu,” amesema Dkt. Gwajima.
“Na hata leo wapo waliopita na jana wapo waliopita, tusichukulie kwa wepesi jamii ya virusi vinavyozunguka inabadilika sana na inatofautiana makali ya kushambulia hivyo tusiipe miili yetu kazi ya ziada,” amesema Dk. Dorothy Gwajima.
Pia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.
“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima.
Ndimi zake mbili ndizo zimetufikisha tulipo, Samia alitakiwa kuwa na Waziri mpya kwenye hii nafasi, haileti maana mtu aliyekanusha ugonjwa haupo leo myu huyohuyo anasimama na kujipinga mwenyewe, wananchi hawawezi kuichukulia maanani kauli yake, hapo anahitajika Waziri mpya, kauli mpya, ubunifu mpya, mkakati mpya, mbinu mpya na miongozo mipyaPia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.
“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima
Mkuu, mie nashangazwa na hizi hospitali za kidini. Ilianza Bugando na sasa KCMC kutangaza uhaba wa mitungi ya 'oxygen'. Sijasikia hospitali za serikali hata moja au pana maelekezo kuwa wagonjwa wa CoViD 19 wasitibiwe hospitali za serikali? Sipati picha na movi hii ya huu ugonjwa hapa nchini.Ndimi zake mbili ndizo zimetufikisha tulipo, Samia alitakiwa kuwa na Waziri mpya kwenye hii nafasi, haileti maana mtu aliyekanusha ugonjwa haupo leo myu huyohuyo anasimama na kujipinga mwenyewe, wananchi hawawezi kuichukulia maanani kauli yake, hapo anahitajika Waziri mpya, kauli mpya, ubunifu mpya, mkakati mpya, mbinu mpya na miongozo mipya
Ni kweli kuna jambo behind the sceneMkuu, mie nashangazwa na hizi hospitali za kidini. Ilianza Bugando na sasa KCMC kutangaza uhaba wa mitungi ya 'oxygen'. Sijasikia hospitali za serikali hata moja au pana maelekezo kuwa wagonjwa wa CoViD 19 wasitibiwe hospitali za serikali? Sipati picha na movi hii ya huu ugonjwa hapa nchini.
Najiuliza, kwa nini mambo yasiende kimyakimya tu kwa kuwasiliana na serikali kama kuna uhaba wa vitu hivyo? Wanarukia kwenye vyombo vya habari ili iwe nini?Ni kweli kuna jambo behind the scene
Ameacha mzaha wake na sura lake baya alipokuwa akila maparachichi na mananasi yaliooza akidai ni dawa ya covid?Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.
Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa si vema kila siku kutoa tahimini za wagonjwa waliokufa na waliopo badala yake kila mwannachi achukue tahadhari ili kunusuru afya na uchumi wa nchi.
“Nawakumbusha wanaoendelea kufanya mzaha na corona, wasifanye mzaha na UVIKO-19 na tusichukulie wa wepesi kuwa wimbi la kwanza na la pili lilipita, mimi nipo na huyu yupo, wapo wenzetu wengi walipita ukabaki wewe kwa kusudi la Mungu,” amesema Dkt. Gwajima.
“Na hata leo wapo waliopita na jana wapo waliopita, tusichukulie kwa wepesi jamii ya virusi vinavyozunguka inabadilika sana na inatofautiana makali ya kushambulia hivyo tusiipe miili yetu kazi ya ziada,” amesema Dk. Dorothy Gwajima.
Pia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.
“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima.
Hilo serikali ya Uingereza imeliona na ndo maana wamejiachia.Mbona mikusanyiko tushaizoea!. Kesho kuna game Simba na Yanga, Hice zinajaza abiria, Mabasi ya mwendokasi na kwenye Hospitali. JPM alishatupa ujasiri wa kuuzoea huu ugonjwa.
Kama ni mikusanyiko inayoingizia mapato Serekali tuendelee nayo tu hakuna namna.
Alileta ujuajj kitu kikapita nayeMbona mikusanyiko tushaizoea!. Kesho kuna game Simba na Yanga, Hice zinajaza abiria, Mabasi ya mwendokasi na kwenye Hospitali. JPM alishatupa ujasiri wa kuuzoea huu ugonjwa.
Kama ni mikusanyiko inayoingizia mapato Serekali tuendelee nayo tu hakuna namna.
Mungu anakuona,ulimdanyanga JPM leo unaibuka na mengineWaziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Dorothy Gwajima, amewakumbusha Wananchi wanaoendelea kufanya mzaha juu ya janga la corona kuchukua tahadhari badala ya kulichukulia kwa wepesi jambo hilo.
Dkt. Gwajima ameyasema hayo leo akizungumza na waandishi wa habari amesema kuwa si vema kila siku kutoa tahimini za wagonjwa waliokufa na waliopo badala yake kila mwannachi achukue tahadhari ili kunusuru afya na uchumi wa nchi.
“Nawakumbusha wanaoendelea kufanya mzaha na corona, wasifanye mzaha na UVIKO-19 na tusichukulie wa wepesi kuwa wimbi la kwanza na la pili lilipita, mimi nipo na huyu yupo, wapo wenzetu wengi walipita ukabaki wewe kwa kusudi la Mungu,” amesema Dkt. Gwajima.
“Na hata leo wapo waliopita na jana wapo waliopita, tusichukulie kwa wepesi jamii ya virusi vinavyozunguka inabadilika sana na inatofautiana makali ya kushambulia hivyo tusiipe miili yetu kazi ya ziada,” amesema Dk. Dorothy Gwajima.
Pia Dkt Gwajima, amewataka viongozi kuwa mstari wa mbele kupamabna na UVIKO 19 huku akieeleza kwamba wapo baadhi ya viongozi ambao hawafanyi vizuri katika kuelimisha jamii yao juu ya tatizo hili la corona.
“Wapo baadhi ya viongozi wanopamabana na janga hilo, wapo baadhi ya viongozi ambao wamejitoa kiani hawafanyi vizuri wanakasi ndogo kusimamia kuwasaidia wananchi washinde vita, watu wasifanye mzaha.” amesema Dkt. Gwajima.
Somo lake limeingia vichwani vya raia halafu anaanza kulalamika...huyu alitakiwa atubu🤣🐒👇Mzaha aliuanza yeye alipokuwa ananadi malimao.