Yaani Magufuli atayatumbua majipu yote, hizo dini zao ni matatizo yao wenyewe, ila uhusika wao kwenye ufisadi na uzembe kazini lazima uwe chanzo cha kuwaondoa maofisini. Hizi kelele za udini hazina hoja za msingi, zinategemea dhana za kufikirika.Leo wametimuliwa maboss 3 TCRA, Boss 1 wa TAMESA. source ITV leo jioni. Wote ni wakristo. In my view tusiingize mambo ya dini ktk mambo mhimu yenye masilai makubwa kwa taifa. Mambo ya dini yabaki private affair. Itakuwa ni kutoitendea haki nchi yatu kwa kuacha mafisadi waendelee na ufusadi wao eti kwasababu ya dini zao.Serikali ina vyombo vilivyobobea katika kubaini ufisadi ktk taasisi zake.
Tehe tehe tehe...utaimba haleluya na mapambio yote lakini cheo hakipatikani....Huyu jamaa alikuwa anatoa upendeleo sana kwa waislam. Kuna washkaji zangu ilibidi wasilimu ili wapate fursa ya kupata ulaji wa safari nje ya nchi na kuwa maafisa waandamizi wa vitengo. Mkiristo hupati ng'o utaimba haleluya lakini hupati kitu.
Miezi mitatu tu malalamiko. Tulieni. Wakati mnachagua hamkujua kuwa sasa ni zamu yetu kutawala? Hatutawapa tena nafasi. Wametosha wale wawili. Tutafanya kama tulivyoamua kuwanyima wazanzibar. Hamtapata urais tena nyie.Teuzi zote za Jk zilikuwa zinajadiliwa humu kidini, wacheni watu waseme ukweli, awamu hii ni awamu imejaa ukabila na udini uliopitiliza'
Wataisoma namba. Hawakujua kama tulijipangaWataalam wa kulialia na kulalamika wameanza rasmi na bado!
Hebu tuambie huo ufisadi wake ni upi? Alishashtakiwa?Dau kama ni Jipu atumbuliwe tu... Tusihusishe maswala ya dini ktk hili swala.
Dini gani inayoruhusu ufisadi??....
Unakosea. Hata Kitila alikosea. Hii serikali hatuchagui tena kwa uwiano. Tumefanya hivyo huko nyuma haijatusaidia. Tunaangalia uwezo. Hata wakitoka wote kagera kama wana uwezo wapewe. Uwiano wa jinsia, dini, kanda hakuna hiyo hadithi. Waache walalamike. Hawa wanaharibu nchi halafu sisi tuje tujenge. Wameanza mapema mno kulalamikaMimi naunga nkono hayo magazeti yote kwani kwenye makala ya gazzete la raia mwema Prof. Kitila mkumbo alitahadharisha juu ya jambo hilo, pamoja na uwino kikanda na jinsia pia!
hiyo ya kusilim ili upate nafasi sio ukweli, mimi mwislam nilishaomba kazi mara nyingi NSSF lakini hata kwenye interview sijahitwa tena nina elimu ya kutoshaHuyu jamaa alikuwa anatoa upendeleo sana kwa waislam. Kuna washkaji zangu ilibidi wasilimu ili wapate fursa ya kupata ulaji wa safari nje ya nchi na kuwa maafisa waandamizi wa vitengo. Mkiristo hupati ng'o utaimba haleluya lakini hupati kitu.
Ya kutosha ni ipi? Kukataa nssf kwamba hapana matatizo ya udini wew utakuwa mgonjwa. Asilimia 80 pale wafanyakazi ni waislamu. Kesho fika nssf kinondoni hapo anzia kwa receptionist hadi yule wa juu utaona ni dini gani. Jipu lile tena limeoza sanahiyo ya kusilim ili upate nafasi sio ukweli, mimi mwislam nilishaomba kazi mara nyingi NSSF lakini hata kwenye interview sijahitwa tena nina elimu ya kutosha
ww unajifariji tu, wakati wa uchaguzi wakiristo wengi ndio hao waliompinga maguful, alafu leo mnajifanya mko naye,umesahau tamko la DR slaa, juu ya viongozi wa dini walivyonunuliwaUnakosea. Hata Kitila alikosea. Hii serikali hatuchagui tena kwa uwiano. Tumefanya hivyo huko nyuma haijatusaidia. Tunaangalia uwezo. Hata wakitoka wote kagera kama wana uwezo wapewe. Uwiano wa jinsia, dini, kanda hakuna hiyo hadithi. Waache walalamike. Hawa wanaharibu nchi halafu sisi tuje tujenge. Wameanza mapema mno kulalamika
MBA, CPA T with experienceYa kutosha ni ipi? Kukataa nssf kwamba hapana matatizo ya udini wew utakuwa mgonjwa. Asilimia 80 pale wafanyakazi ni waislamu. Kesho fika nssf kinondoni hapo anzia kwa receptionist hadi yule wa juu utaona ni dini gani. Jipu lile tena limeoza sana
Ngalikivembu,umeona eeeeh!!!!Wataisoma namba. Hawakujua kama tulijipanga