Dkt. Cyril Chami anasumbuliwa na ugonjwa gani?

Dkt. Cyril Chami anasumbuliwa na ugonjwa gani?

Maana wanawake tukiingia kwenye ndoa huwa tunaacha yote na kutulia wanaume wao huona haki kuendelea ku cheat na wanataka wasamehewe, sasa na wanawake tunavumilia mwisho tunakutoa moyoni tunaanza na Sasa kuhangaika na umalaya wa mume huambukiza wanawake sasa hapo mwanamke akikuchoka anakuwa hata na wanaume watano, sasa hapo mwanamke kuvhapiwa ndo pressure zinamuanza mke anagoma kurudi nyuma
Hapa sikubaliani na wewe cariha . Nimeshaona cases nyingi tu za wanaume wapole na wanaojiheshimu lakini wake zao ni mapepe. Ila sikatai kuwa asilimia kubwa ya wanaochepuka nje ni wanaume.
 
Huo ndiyo ukweli mchungu. Nimesuluhisha ndoa nyingi sana nilizosimamia na ambazo sikusimamia. Yaani kuchepuka kwa wanawake wanaume tunahusika 100%.
Siyo kweli. Japo cases nyingi za kuchepuka nje ya ndoa zinafanywa na wanaume lakini bado kuna wanaume wanaojiheshimu kwa 100% lakini wake zao wanachepuka. BTW mimi ushauri wangu kwa wanaume walio nje ya nchi na wanataka kupeleka wenza wao wakakae nao ni kuwa makini sana. Kuna visa vya wanawake kupelekwa nje na wakifika kule wanalimbuka na maisha yanayowapa wanawake wa nchi zilizoendelea nguvu kubwa kiasi cha kuanza kuwadharau na kuwanyanyasa waume zao.
 
Mkuu mie naona hujawaelewa cariha na zogwale..wamemaanisha kwamba;
Vyanzo vingi vya wanawake kutoka nje ya ndoa zao percent kubwa hua ni mwanamume anasababisha..
Achana na ulimbukeni huo unaosema wewe...kuna wanawake decent lakini anavumilia anamkaribisha shetani...lakini ukitaka kujua chanzo ni mumewe kasababisha
 
Aliandika 100% inasababishwa na wanaume. Hapo ndipo nilipokataa nikajaribu kuwaambia kuwa mimi nakubali mara nyingi wanaume wanatoka nje ya ndoa kuliko wanawake lakini siyo kwa 100%. Wapo wanaume wanaojiheshimu lakini wana wake vicheche.
 
We unafikiri kwanini wanaume wanapenda kutoka nje ya ndoa?
 
We unafikiri kwanini wanaume wanapenda kutoka nje ya ndoa?
Asilimia kubwa ni tamaa kama zile mzee fisi. Japokuwa kuna wengine (wachache) inaweza kuwa ni kero za wake zao lakini nakuhakikishia wengi ni tamaa. Ni hii ipo hasa kwa wanaume wa kiafrika. Sijui ni mazingira tunayokulia lakini Afrika mara nyingi wanaume wanapenda ku-approch kila mwanamke anayevutiwa naye.
 
😢 na wewe upo upande gani katika hayo uliyoyaeleza hapo juu
 
Hapa sikubaliani na wewe cariha . Nimeshaona cases nyingi tu za wanaume wapole na wanaojiheshimu lakini wake zao ni mapepe. Ila sikatai kuwa asilimia kubwa ya wanaochepuka nje ni wanaume.
Yes Kuna wanaume wanajiheshimu Ila wamepata wanawake vichwa nazi, Ila kwa case ya cheating wanaume ndo huanzisha na wake kuamua kuiga
 
Na ubaya wa mwanamke anapenda kwa moyo na kila kitu yaani akikuacha kwa chuki ya ngono usaliti utaona kila rangi. Huwa hawageuki nyuma hawa viumbe. Nimegundua kwa wanawake waliotulia huwa hawajui mambo ya kugawana upendo eti kwa mume kidogo na hawara kidogo. Wao huwa wanakua 100% affection pale alipo na ukizingua anakuacha kwa 100 hate. Na kumrudisha tena ni kazi kubwa mno mno. Tujifunze hata kama una jitu lako nje mkeo asijue tu maana akijua ni kiama. Ama akuue kwa njia nyepesi ambayo haitajukikana ufe kimya kimya tu tukimsingizia Mungu amependa kiumbe chake au akutese kwa actions.
Na wanawake wengi waliotulia wasiohangaika siku akikufuma ndo Basi tena, hata hufanyeje huwezi kumu win kabisa, matokeo yake kuishi kwa mazoea, na Kama una cheat make sure hakufumi na ubaya huwezi kujificha siku zote ipo siku utakamatika tu
 
Inamaana Dr Cyril chami amefariki? Yule waziri enzi za mkapa na alishawahi kuwa TO sekondari mpaka chuo pale UD? Naomba taarifa kamili kafariki lini huyu jamaa?
 
Unaweza ukadhani Fulani anamaisha mazuri kwasababu alishakua waziri au anamagorofa ya kupangisha Dar na mshahara mzuri, kumbe ndani mwake na waifu Ni Moto wenye Moshi mwingi.
Kumbe wewe unaepanga nyumba na kula nyama Mara moja kwa wiki unacheka na waifu na kuinjoi tunda Hadi raha.
Nyumbani kwao Kibosho huko Manushi alikozaliwa Dr Chami ni aibu tupu njia ya kwenda kwake ni kichochoro nyumbani kwake hana hata geti hakufananii na kwa aliyekuwa waziri juzi na jana nyumba zilikuwa zinavunjwa za udongo na kuacha zile za block.!
 
Back
Top Bottom