Dkt. Cyril Chami anasumbuliwa na ugonjwa gani?

Dkt. Cyril Chami anasumbuliwa na ugonjwa gani?

Mdada alotaka kumuoa ni msukuma..akamtoleaga nje..akampa pamphlet alisome..ndo na mm kupewaga...ninalo...so sad ksakweli kama kweli Vicky alikua anafanya hayo
Unajua story ya upande mmoja siyo ya kuamini sana. Kuna watu wanasema hata Dr alikuwa na mapungufu yake na huenda V alilipiza. Na tunavyojua mwanamke alianza kulipiza huwa ni kiboko yake.
 
...Na Mimi ndio nilivyosikia kwa mmoja was best friend zake kuwa V ndio alikuwa na mapepe na makandokando kwenye ndoa...?
Ila na Mimi nilisikia kuwa Vicky was forced to react. Si unajua mwanamke akilipiza kiasi?
 
Kwenye hiyo paper angeandika na health status yake kuwa ni "Ngoma Victim". Au aliukwaa baadaye? Where is V now?
Nimejikuta nalitafuta tena hilo pamphet kama sikosei vicky alikua analeta vidume home..anywys rip..hakuna ndoa rahisi
 
Pg ya 5 inasema aliamua kuanza kumpa hela mingi vicky ndo anatoa mzigo..hela alizokia anapata kupitia makala za tafiti ndo akawa anampa vicky zoote😀😀..then anampa mzigo
Hahahaha. Aiseee. Ni kama za kufikirika. If that is true basi huyo madame V aombe sana toba kwa Mungu.
 
Unajua story ya upande mmoja siyo ya kuamini sana. Kuna watu wanasema hata Dr alikuwa na mapungufu yake na huenda V alilipiza. Na tunavyojua mwanamke alianza kulipiza huwa ni kiboko yake.
Wanawake wanachepuka kwenye ndoa hufundishwa na waume zao na wakianza wanashinda Hadi wanaume.
 
Huo ndiyo ukweli mchungu. Nimesuluhisha ndoa nyingi sana nilizosimamia na ambazo sikusimamia. Yaani kuchepuka kwa wanawake wanaume tunahusika 100%.
Maana wanawake tukiingia kwenye ndoa huwa tunaacha yote na kutulia wanaume wao huona haki kuendelea ku cheat na wanataka wasamehewe, sasa na wanawake tunavumilia mwisho tunakutoa moyoni tunaanza na Sasa kuhangaika na umalaya wa mume huambukiza wanawake sasa hapo mwanamke akikuchoka anakuwa hata na wanaume watano, sasa hapo mwanamke kuvhapiwa ndo pressure zinamuanza mke anagoma kurudi nyuma
 
Shida iko hapo...tunapitiliza had shetani anakaa kando
Hata Mimi nikianza na hyo ndoa ife, wanaume huanza kujaribu na kujiona vidume sasa maisha haya kuvumilia ngumu wakati na mwanamke anakutana na vishawishi na wanaume Bora kuliko wewe unayemtesa kwanini asi fall kwenye trap
 
Marehem alienda nje kusoma akamchukua na mkewe..kule nje shoga aakaanzavituko..huyu dada inaoken mshari sana mana hata ndugu zake wameonesha kusema hayo
Huyo mke alianza vtuko gani?
Ila wanawake wakishaenda nje ndoa zao hufa sijui kwanini?
 
Maana wanawake tukiingia kwenye ndoa huwa tunaacha yote na kutulia wanaume wao huona haki kuendelea ku cheat na wanataka wasamehewe, sasa na wanawake tunavumilia mwisho tunakutoa moyoni tunaanza na Sasa kuhangaika na umalaya wa mume huambukiza wanawake sasa hapo mwanamke akikuchoka anakuwa hata na wanaume watano, sasa hapo mwanamke kuvhapiwa ndo pressure zinamuanza mke anagoma kurudi nyuma
Na ubaya wa mwanamke anapenda kwa moyo na kila kitu yaani akikuacha kwa chuki ya ngono usaliti utaona kila rangi. Huwa hawageuki nyuma hawa viumbe. Nimegundua kwa wanawake waliotulia huwa hawajui mambo ya kugawana upendo eti kwa mume kidogo na hawara kidogo. Wao huwa wanakua 100% affection pale alipo na ukizingua anakuacha kwa 100 hate. Na kumrudisha tena ni kazi kubwa mno mno. Tujifunze hata kama una jitu lako nje mkeo asijue tu maana akijua ni kiama. Ama akuue kwa njia nyepesi ambayo haitajukikana ufe kimya kimya tu tukimsingizia Mungu amependa kiumbe chake au akutese kwa actions.
 
Huyo mke alianza vtuko gani?
Ila wanawake wakishaenda nje ndoa zao hufa sijui kwanini?
Hahaha mkewe alifikia hatua ya kumwambia hajui thekthi...mke alikua kivuruge balaa.marafiki wakawakimbia wote(wakiwa Canada)..nacheka ila sio haki
 
Back
Top Bottom