Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 28,749
- 91,814
Mzee, wewe ni moja ya watu muhimu sana waliobakia katika taifa hili tunapozungumzia suala la uzalendo.
Nimekuona hapo msibani kwa Ndugai, nashindwa kukutumia ujumbe wa SMS kupitia simu yako.
Jambo unalotakiwa kulizingatia sana sana: wanamtandao wamemtafuta Ndugai ili kuwapata wengine, kama walivyomtafuta Mkapa ili kuwapata wengine.
Mzee, kuwa makini sana — ukijiachia tu, hatutakuwa nawewe kabla ya Oktoba.
Gari lako ulipoliegesha: vinywaji na chakula, migusano, n.k.
Ndugai mpaka kufikia juzi alikuwa mzima wa afya.
Uhai wake umekatishwa alipofika tu Dodoma.