Dkt. Bashiru: Kuanzia sasa CCM haitatumia wasanii wa Bongo Fleva kwenye mikutano yake tutabaki na bendi yetu ya TOT

CCM YASITISHA KUTUMIA WASANII WA BONGOFLEVA KWENYA MIKUTANIO YAKE: “Kuanzia sasa, CCM hatatumia wasanii wa Bongofleva kwenye mikutano…tutatumia bendi ya TOT, na tukienda mikoani tutawakuta wasanii wa nyimbo za asili,” Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru Ally.

Licha ya kupunguza gharama wakati wa kampeni Dkt. Bashiru amesema kwamba wasanii wa Bongofleva wamekuwa hawaandiki mashairi ya kuhamasisha umoja wa kitaifa.

“Mimi enzi zangu nilikuwa ninaimba sana mashairi kwenye shughuli za chama na nilikuwa ninafanya bila kulipwa, nakula tu ubwabwa basi, lakini kwa sasa ukimgusa tu msanii lazima ulete risiti ya madai,” alisema Dkt. Bashiru.

Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015 - JamiiForums

CCM YAFUNIKA MKUTANO WA HADHARA MOROGORO JIONI HII ~ CCM BlogView attachment 852516
Maamuzi haya yamenifurahisha sana,it wouldn't have been better.Tabia hii ya chama changu kuandamana na wasanii imeniumiza kwa miaka mingi sana.Ni jambo lililo wazi, kwamba the so called "wasanii," ni watu waovu sana, in every respect.Angalia huyo aliyeko jukwaani hapo,hivi mtu respectable anaweza kupenda kuwa na mahusiano au kuandamana na mtu kama huyo kweli.I don't think so.Msemo unaosema "watu hawawezi kwenda pamoja isipokuwa wamepatana" ni wa kweli kabisa.Watu waovu wanapatana au hua wana andamana na waovu wenzao.Je,CCM ni ya watu waovu?You be the judge.
 
CCM YASITISHA KUTUMIA WASANII WA BONGOFLEVA KWENYA MIKUTANIO YAKE: “Kuanzia sasa, CCM hatatumia wasanii wa Bongofleva kwenye mikutano…tutatumia bendi ya TOT, na tukienda mikoani tutawakuta wasanii wa nyimbo za asili,” Katibu Mkuu CCM, Dkt. Bashiru Ally.

Licha ya kupunguza gharama wakati wa kampeni Dkt. Bashiru amesema kwamba wasanii wa Bongofleva wamekuwa hawaandiki mashairi ya kuhamasisha umoja wa kitaifa.

“Mimi enzi zangu nilikuwa ninaimba sana mashairi kwenye shughuli za chama na nilikuwa ninafanya bila kulipwa, nakula tu ubwabwa basi, lakini kwa sasa ukimgusa tu msanii lazima ulete risiti ya madai,” alisema Dkt. Bashiru.

Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015 - JamiiForums

CCM YAFUNIKA MKUTANO WA HADHARA MOROGORO JIONI HII ~ CCM BlogView attachment 852516
Nimecheka sana !
 
Afadhali Maana Mitusi imezidi kwenye manyimbo yao walahi!
 
Crap of an Article, Sema Kaban Wasanii, By the way hii ni Danganya toto tu, 2020 sio Mbali!

ALFRED
 
Itakuwa vizuri kwasababu hata hivi hawa wasanii vya kuishabikia ccm wengi vimewarudisha sana.

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
Pale UGANDA kuna mtu anaitwa BOBY WINE.. Anamsumbua sana Museveni kwa sasa.
Hapa kwetu KINGWENDU tu anakusanya watu kuliko CCM.
Bashiru ongopa vzr
 
Back
Top Bottom