Dkt. Bashiru Ally pole lakini maneno huumba

Mzee wa kukamata dola leo anaomba japo ata kanafasi ka dakika 2 ka kuchangia hoja kwa Mh. Spika
 
Tatizo letu huwa tunajisahau na kujitamkia jambo lolote na mahali popote tunafahamu kuwa nguvu za kiumbaji zinatusikiliza na kupokea kitu kama kilivyo.

Kuna vitabu vitukufu vimejaribu kufunua hizi secret codes za uumbaji mfano Biblia kuna mahali imesema wazi kabisa kuwa tutashibishwa matunda ya vinywa vyetu. Kuna mahali pia panasisitiza sana juu ya kuchanga ulimi.
...nature is very positive and affirmative..We always reap what we....
 
Hili ndo tatizo kubwa hapa msamaha kapewa Sana tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa nikitafakari ili suala huwa naumia sana , Yani mtu mgonjwa hafu mtu anakupangia ziara ya siku sita far away from office.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
naona hakuna mwenye wakati mgumu baada ya mabadiliko haya kama Dkt Bashiru maana kutoka katibu mkuu kiongozi mpaka mbunge ni anguko kubwa sana
 
Mimi nawaza kufungua kampuni yangu ya Kuuza unga wa mahindi
Lakini mpaka sasa sioni mwangaza
Sijui inakuaje kwenye ulimwengu wa kuumba yale tunayowaza mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…