Dkt. Anna Henga: Bunge la 13 halina uhalali wa kisiasa, wananchi hawakuridhika na uchaguzi uliofanyika

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Leo, tarehe 27 Januari 2026, Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeanza rasmi Mkutano wake wa Pili Jijini Dodoma. Kufuatia kuanza kwa mkutano huo, Dkt. Anna Henga (Wakili), Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), ameeleza mtazamo wake kuhusu Bunge hilo katika mahojiano aliyoyafanya na Haki TV.

Katika mahojiano hayo, Dkt. Henga ameeleza kuwa Bunge la 13 lina uhalali wa kisheria kwa mujibu wa Katiba na sheria za nchi, lakini halina uhalali wa kisiasa, Kwani wananchi hawajaridhika na uchaguzi uliofanyika. Akisistiza kuwa Wananchi wanaona uchaguzi huo si halali kutokana na matukio yaliyotokea kabla, wakati na baada ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025.

Aidha, amesisitiza kuwa hali hiyo inalipa Bunge jukumu kubwa la kihistoria la kurejesha imani ya Watanzania kwa taasisi ya Bunge, kwa kuhakikisha linatimiza wajibu wake wa kikatiba wa kuisimamia Serikali, kulinda haki za binadamu na kuwa jukwaa la sauti za wananchi.

Screenshot_20251129-214516~2.png
 
Naona kaongea haya kabla hajamsikia Esta Bulaya namna alivyoropoka.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom