DKK 45 za ITV

Duh, kweli hii session aliharibu, CCM hawana hoja zaidi ya hisia, analazimisha mitazamo fulani bila hoja.
 
Waziri kimeo wa CCM wiki hii ktk dkk 45 ktik kujaribu jitetea kazidi chemsha tena.Adai kuw autangulizi ndio ulikosewa na si hotuba, halafu akadaia kuwa matunda ya ziara yake Africa kusini imelipa.Akijitete ili kujinasua ktk hiyo kashfa, alidaia kuwa watu walikimbilia sana ila kwa vile Zanzibar na Zimbabwe zinakaribia ndipo ulimi ukateleza. Bado hakujua kuwa akisema kuwa ni muunganiko wa Pemba na Zanzibar bado si sahihi kihivyo.Karuka ujinga mmoja kanasa mwingine kwa vile haini mabli katk huo uongo. wake
 
kawambwa tayari yupo live,leo aomba hela ya body ya mikopo kurudishwa
 
Anaongelea TCU na kuwafagilia wataalamu waliotengeneza system na kufagilia elimu ya bongo.
 
anafagilia serikali ya magamba, na anaomba aulizwe swali ,ili ajibu.Kwelini kichekesho jamaa anakuwa interviewed na visitor.
 
anaongelea vipaumbele ktk science ila nasahau pia kuwa nchi kwa kuendekeza sayansi pekee yake ni shida, kwani kuna fani nyingi sana zinazoibua venues kwa wanasayansi,kuna vitu km arts, cuture etc zinanguvu sana za kuchangia kushape mitazamo ya wanasayansi au ubunifu mpya.
 
Mi namsikia anasema tu Naniii,naniii,naniii,naniii,naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hata simwelewi.
 
Mi namsikia anasema tu Naniii,naniii,naniii,naniii,naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hata simwelewi.

hilo ni tatizo la watu wa dar.....nanilrii, nanilii , ndio wavyoongea vijana wa mjini kwa kiasi cha kushindwa jieleza kwa ufasaha kwa ugh yoyote.
 
anaonekana ana staha,sijui ni kwa vile mwendesha kipindi ni dhaifu
 
Mi nikijilinganisha na huyu jamaa pamoja na wengne kadhaa wanaojiita madaktar najiona kama prof vile,sitanii

Ndio maana kila ninaposikia wasomi wa kibongo napata kichefuchefu, natamani rukio walipo na kuwachapa fimbo kabisa.

Wamgeuza hii nchi kuwa ya comedians, mbaya hata comedies hatuwezi kivile.
 
bahati mbaya nipo mbali na hiyo TV. Huyo Mathayo hana chochote cha kusema. Watu wake pale Makanya na Hedaru wanashindia miwa na mabuyu kwa njaa, halafu aje kubwabwanya hapo!!!!???
haha kumbe haka kajaa ni katani kangu.Kanasema ukitoa ng`ombe mbali asana wanaweza shindwa mazingira..Sijui umbali ni issue gani wakati kinachoma matter ni climatical conditions.Maeneo ya kufanana yanaweza yakawa mbalia sana .Unaweza kuta hali ya hewa kama ya karatu, huko zambia na ng`ombe wakaishi.
 
anasema watu wanapewa adhabu,hata watu wafanya biashara wakubwa kwa vile wana hela nyingi.Sijui anadhani wenye hela kutozwa faini kubwa kulinganisha na wavuvi wadogo ,kunaweza thibitisha kuwa wamepewa adhabu kubwa.

Huyu jamaa hajui wingi wa hela kwa mfanyabiashara(ratio) unalinganiswa na faida yake au mtaji wake,ndipo ata feel the pinch.Ila ukichukua tuu hela unazoona kuw anyingi,si lazima ziwe nyingi ktk mitazamoa yake.
 
Siku hizi sikiangalii kabisa, ni upuuzi mtutu na hasa presenta wake hajiamini kabisa

dah kweli mkuu,alipoanza kutaja idadi ya mifugo ikabidi nibadili chanel,eti tz ina paka 500,kwa hiyo kwa mikoa ishirini ya bara kila mkoa una paka 25 tu dah kweli tz tunavipaji au anamuiga magufuli kutosoma matokeo yake ndo haya kutoa data za uongo.
 
Back
Top Bottom