DKK 45 za ITV

dah kweli mkuu,alipoanza kutaja idadi ya mifugo ikabidi nibadili chanel,eti tz ina paka 500,kwa hiyo kwa mikoa ishirini ya bara kila mkoa una paka 25 tu dah kweli tz tunavipaji au anamuiga magufuli kutosoma matokeo yake ndo haya kutoa data za uongo.

du wakati ktk miji kuna nyumba zaidi 10 zina paka zaidi ya mmoja, achilia mbalia vijijini na mamlaka ndogo.
 
membo mwanasiasa mwenye sifa na mbwembwe kwa staili ya mabutu leo anaingia kujinadi tena.
 
Kuna thread nimepost jana humu kuhoji kama ni ccm imebadilika au ni vyombo vya habari? Ukiisoma ndipo utajua kinachoendelea nchini.
 
mwendehs akipindi kaanza na kusema kuwa "mawaziri waliodaiwa kuwa wagonjwa.." hayo ni madai au ni reality?
 
watz bana! Watu wa ajabu sana. Kama kipindi kinaboa kwa nini unaangalia.
kwasababu sasa nimehamia kuangalia urefu wa ujinga wetu na maendeleo yake.kama hili la waziri kuumwa "halafu mwendesha kipindi anasema watu walidai".nani hajui chami aliimwa kiasi chake. Magamba taabu sasa chami kusema aliumwa shida ipo wapi?Ubunge anaukosa.Haya ndio marudio ya ujinga wa mwaka mzima.Il membe ndio atakuwa kinara.
 
kawaita CDM vinyago, wenye njaa.Huyu ni membe the man himself, anajiangalia ktk kioo anajipenda mwenyewe, angekuwa wa kike angejioa.
 
Back
Top Bottom