Umemaliza mkuu HOMOSAPIEN !! Ulimboka fuata maneno ya busara haya. MUNGU anakupenda sana..Kama akili yake inafanya kazi sawia,angenyamaza na kuendelea na shughuli zake na kumuachia mungu yote maovu aliyofanyiwa na aliyoyafanya tena anatakiwa amshukuru sana mungu kwa matendo yote aliyomtendea na akumbuke kabisa mungu ana makusudi fulani na yeye ama aishi ili aone matokeo ya yale aliyokuwa akiyatetea au ajutie matokeo ya yale aliyokuwa akiyapigania,....
Ha haa, sidhani kama ulifikiria kwa makini kabla ya kuandika hii makitu.HATA WASIPOMMALIZA IPO SIKU ATAMALIZIKA TU.ULIMBOKA TUPE UKWELI BANA.
Wewe Great thinker, Mwanahalisi aliandika habari za uchunguzi wake binafsi kama gazeti,na mpaka sasa
zaidi ya kulifungia gazeti hakuna aliyekanusha habari hizi watanzania tukamwelewa,na kama hazikuwa na
ukweli wafanyakzi wa tigo kwa nini walifukuzwa kazi?Think Twice"
Kumbe hakuna anayejua chochote kuhusu Dr Ulimboka kutekwa anayejua ni yeye peke yake...kumbe Gazeti la Mwanahalisi linastahili kufungiwa kwa uchochezi, Kubenea acha kukurupuka Dr Ulimboka anawakana sasa...
R.I.P MWANAHALISI.
Wewe Ritz ndo hujaelewa kauli ya Dr. Ulimboka. Mimi naona alikuwa na maana watu wasiwahoji ndugu zake kama njia mbadala ya kupata habari
Kwa upande mwingine sina shaka na uchunguzi wa Kubenea. Alivyofanya Kubenea ndo hasa ilitakiwa ifanyike. Kwenda kwenye makampuni ya huduma za simu na kupata nakala ya mwenendo wa simu zilizoingia na kutoka simu ya Dr. Ulimboka siku ya tukio na siku chache kabla
@ Ritz unaielezeaje ile ya Ramadhani Ighondu(afisa kutoka Ikulu) kuwasiliana na mwenyekiti wa Mabwepande?
Hakuna wa kuogopwa zaidi ya Mungu,nidhamu ya uoga na kumsujudia mwanadamu mwenzako ni mbaya na dhambi mbele ya Mungu,walishashindwa kumuangamiza mara ya kwanza sasa ni zamu yao kupata pigo takatifu ambalo familia zao hawataka kuja kusahau
Kitu kilichotokea Dr.Ullimboka maadui zake sasa hivi wako kwenye mazungumzo nae ndio maana analeta siasa hataki kueleza kilichomtokea usishangae asieleze kabisa au akaeleza story tofauti na ile ya mwanahalisi.Manake maadui zake wanaweza kumweleza bwana samehe yale yalikuwa ni matatizo ya kiufundi wakampa shavu akatulia zake kimya.Ndio maana ameanza kuleta porojo.
Manake hili neno:Dk. Ulimboka: Ninayejua ukweli ni mimi... limepigwa kiufundi sio ajabu ameambiwa aliseme ili kunarrow ushaidi.
KAMA SIYO BANI NI NGEKWABIA KAWAUZIE MASABURI YAKO WALE WOTE WANOKUTUMA:shetani:Kumbe hakuna anayejua chochote kuhusu Dr Ulimboka kutekwa anayejua ni yeye peke yake...kumbe Gazeti la Mwanahalisi linastahili kufungiwa kwa uchochezi, Kubenea acha kukurupuka Dr Ulimboka anawakana sasa...
R.I.P MWANAHALISI.
Naona mnataka kulazimisha mnatafsiri kauli ya Dr Ulimboka kwa kutumia mapenzi yenu binafsi hayo mambo ya Mwanahalisi ni ya kwenu, Dr Ulimboka kaishasema ukweli wa tukio lake analijua mwenyewe.