Dk Slaa: Tuhuma za Lwakatare kuteka waandishi zimepikwa

Tunasubiri mbivu na mbichi zijulikane. By the way nina mashaka makubwa sana na hii video. Lakini muda utatupa majibu stahiki.
CDM jitahidini kuutambua ukweli wa jambo hili ili tuweze kuwa huru zaidi
 
Huyu mzee vp,mara hana imani na polisi mara anataka polisi wafanye uchunguzi. Kwanini asisema kama hiyo video ni ya kweli au sio? Akae akijua jua kuwa hii video itaondoka na wengi.kama CCM ilikua inatafuta sababu ya kuwamaliza cdm basi hii sababu ni tosha kabisa
ccm wasipoangalia suala hili litaipaisha cdm!
 
Hahaa.. Majebere, kama magamba mlidhani mmelamba dume kwa clip hii, Nasikitika kukutaarifu kuwa "mmebugi men'

huwa nasema daima kuwa humu ndani kuna watu wanaamini kila asemacho slaa hata kama hakina ukweli au ni kwa nia ya kujisafisha tu. ona sasa huyu mbumbumbu sijui mwelekeo wake uko wapi
 
kama huna jibu kaa kimya! Mkuu bado upo analojia,tatizo huwa mnatumia akili kidogo bila kujua nini kitatokea mbele.Sura sio ishu ila validity ya ile video.Ila sikulaumu sana kwa sababu wewe ni mtumwa wa akili zako mwenyewe
What is a vadility?? Or are you confused yourself with realibility??
 
Hivi kisheria ikithibitika sio kweli Lwakatare ana haki ya kudai fidia ya kusafisha jina lake,kama i ndio nani atalipa na inaweza ikarange shilingi ngapi?

Atakuwa na haki ya kudai fidia. Atadai kutoka serikali kwani hii ni kesi ya jamhuri. Kigezo cha fidia kitatokana na umaarufu wa Lwakatare, kwamba ni kiongozi wa kitaifa, hivyo anajulikana kitaifa na kimataifa, na hivyo atahitaji kusafishwa kitaifa na kimataifa.
 
Tunasubiri mbivu na mbichi zijulikane. By the way nina mashaka makubwa sana na hii video. Lakini muda utatupa majibu stahiki.
CDM jitahidini kuutambua ukweli wa jambo hili ili tuweze kuwa huru zaidi

ni jeshi la polisi ndilo litakalotuambia ukweli. hawa cdm wanatuongopea sana
 
Huyu mzee vp,mara hana imani na polisi mara anataka polisi wafanye uchunguzi. Kwanini asisema kama hiyo video ni ya kweli au sio? Akae akijua jua kuwa hii video itaondoka na wengi.kama CCM ilikua inatafuta sababu ya kuwamaliza cdm basi hii sababu ni tosha kabisa

Kama ingekuwa hivyo basi SISIEM ingekuwa ilishakufa siku nyingi!!
 
Atakuwa na haki ya kudai fidia. Atadai kutoka serikali kwani hii ni kesi ya jamhuri. Kigezo cha fidia kitatokana na umaarufu wa Lwakatare, kwamba ni kiongozi wa kitaifa, hivyo anajulikana kitaifa na kimataifa, na hivyo atahitaji kusafishwa kitaifa na kimataifa.

unafikiri jeshi la polisi ni wajinga? wanayo madudu mengi ya rwakatare na walikuwa wanasubiri tu pa kumkamata ili wamweke uchi. ataelezwa kila alichofanya na ushahidi utatolewa. polisi wakiamua kufanya kazi hakika hatapona kwani ana madhaifu mengi
 
well said mkuu hapo kwa blue ndipo hasa naona palipotumika jana nilipopitia Jf nilikuwa na simu nikasiliza lakin sikuelewa vzur nikapanga nikirud home ntasiliza tena ntaweka subwoofer ili nisikie vizur, kinachonifanya niwe dilema ni muktadha/mazingira ya kupanga insh nzito kama hii rough sana na tena aliyrekod hiyo video isitoshe ndo huyo aliye upload hii video!!!

Yes! hauhitaji kua jasusi wa KGB ama CIA kuona anomalies kama hizi kwenye hii video., ila tunachokisema hapa, nikwamba mtu yeyote anayepatikana na sababu yoyote ya kuhusishwa na uhalifu utaratibu nikwamba anahojiwa na polisi., akipatikana na sababu za kutosha kuhusishwa na tukio ana pelekwa mahakamani, akifika huko nako kuna utaratibu waku angalia kama kweli ana kesi yakujibu, alafu sasa ana jibu mashitaka yake., baada ya hapo linajulikana lillilo mbivu na mbichi., lakini haimaanishi tu kwa kuhojiwa maanake amepatikana na hatia., basi yeye ndo muuaji., hapana, tukienda hivyo tuta nyongwa wote wala hatasalia mmoja isipo kua mnyongaji.,

tunahitaji kuwa Critical Thinkers kweli kweli kama tutaikomboa nnchi yetu hii nzuri.,

i commend you for your thinking! good!.
 
Only in Tz!.

Mambo haya ni ya aibu kubwa. Nashindwa kuamini ukosefu wa umakini katika tukio zima maana hata watoto wangekiwa makini zaidi!.

Hata kama ni clip ya kutengeneza ingekuwa ya kiwango fulani achilia mbali kuwa ya mipango ya siri ya CDM.

Na mwisho lazima wa kuumia atapata maumivu makali ambayo hayatamwacha salama.
 
Acha kufikri kwa kutumia masaburi na usikurupuke kama polisi wa Watanzania. Kama mwenye video anaiamini hiyo video kwa nini asingeipeleka polisi moja kwa moja? Hizo ni propaganda za kijinga za kina Nape na Mjinga mwenzake Mwigulu kujaribu kuvuruga akili za Watz. Kwa taarifa yenu hili nalo litabuma tu na uongo wenu utajitenga! Hamjuwezi kuichafua CDM kwa kuleta hoja za kijinga namna hiyo!
Huyu mzee vp,mara hana imani na polisi mara anataka polisi wafanye uchunguzi. Kwanini asisema kama hiyo video ni ya kweli au sio? Akae akijua jua kuwa hii video itaondoka na wengi.kama CCM ilikua inatafuta sababu ya kuwamaliza cdm basi hii sababu ni tosha kabisa
 
Naapa chini ya Mbingu na Ardhi kamwe Shetani hatamshinda Mungu.

Kama Daudi alimuua Goliathi kwa jiwe katu Mashetani hawa wanaotaka kuichafua Chadema hawatafanikiwa na wataangamia.

Naapa kwa Mungu aliye hai yeyote aliyeshiriki kutunga mpango huu mchafu hatabaki salama.

Naapa kwa Mungu Mkuu muumba kila kitu kwamba kila aliyeshiriki kutunga uchafu huu lazima ataumbuka siku si nyingi na ataomba radhi hadharani.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Anania akapasuka matumbo mbele ya madhabahu kwamba wahalifu hawa watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu aliyemwangamiza Herode akadondoka juu ya kiti cha kifalme na mwili wake kuliwa na siafu kwamba waovu waliotunga mbinu hii watafuata njia hiyo hiyo.

Naapa kwa Mungu wa Abraham,Isaka na Yakobo kwamba watu hawa hawataweza kuendelea kuharibu Taifa letu kwa uchochezi wao bali watakipata sawasawa kile kiwapatacho watu wasiomjua Mungu.

Naapa kwa Mungu ambaye jina lake ni NIKO AMBAYE NIKO kwamba Shetani kamwe hatajitwalia utukufu.

Wao wana Baali na Chadema wana Mungu kamwe Baali hawezi kumshinda Mungu.
 
Atakuwa na haki ya kudai fidia. Atadai kutoka serikali kwani hii ni kesi ya jamhuri. Kigezo cha fidia kitatokana na umaarufu wa Lwakatare, kwamba ni kiongozi wa kitaifa, hivyo anajulikana kitaifa na kimataifa, na hivyo atahitaji kusafishwa kitaifa na kimataifa.
Asante mkuu kwa kunielewesha.
 
SLAA ANADHANI MAHAKAMA NI YA BABU WAKE ANATAPATAPA BURE KWA MIPANGO ALIYOIFANYA YEYE NA WENZAKE.
Mungu ibariki Tanzania
rest in piece CHACHA WANGWE.
 
Back
Top Bottom