Dk. Slaa kurejea ofisini CHADEMA

Status
Not open for further replies.

Kuna mambo mazito sana Watu hawayajui kuhusu Lowasa

Dr anayafahamu

Lipumba ameyafahamu

Ndio maana Lipumba kachukua maamuzi hayo

Ndio maana Dr alishachukua maamuzi hayo

Lowasa ana mambo mazito nyie acheni tu...hata wewe ukiambiwa hapa hautamsapoti tena

Dr kwa alivyonieleza....Namuunga mkono...Aende tu

Unajua who was behind utekaji,Utesaji na mabomu miaka hii mitano iliyopita?
 
Reactions: gsu

Hizi ni habari za magazeti...Dr hana Mpango wa kurudi
 


hahahahahaha seriously this is so funny..

Have a nice day brother.. PEACE !
 
Mbona walivyo ulizwa wamefata nini kwa slaa wakasema wamepita kumsalumu na sio kumuomba arudi ofisini. Kila kukicha mnatuletea hadithi tofauti wakati ukweli unajulikana.
 

Sasa kama mmemsaliti yeye afanyeje hapo?
 
Sasa kama mmemsaliti yeye afanyeje hapo?

My four paragraph essay doesn't deserve such a shit comment..

Kama unajua kusoma vizuri na una uelewa soma then uje na hoja..

Kila kitu nimekiongea hapo, na jibu lako lipo ndani ya hicho nilichokiongea..
 

Acha kujidharirisha wewe pimbi, tangu asubuhi unakata viuno hapa kujifanya unamjuwa Dr Slaa, wewe unamjuwa Slaa kuliko Josephine wanayelala kitanda kimoja? Au wewe ni nyumba ndogo ya Dr Slaa?
 
Dr Slaa hawezi kushiriki dhambi ya kuiuza nchi kwa lowassa na kishudia watz wakitaabika zaidi kwa unyama atakaotenda mtu asiye na huruma na tz
 




Niweke wazi ukiona mtu anasema Dr.slaa kajiondoa kwa sababu ya chadema na Mbowe kumleta Lowassa huyo ni ccm

Ukiona mtu anahangaika kusema Dr.slaa kaonewa alikua anafaa,amekipigania chama leo mtu asiyekisotea chama apewe nafasi ujue huyo ni ccm
Hata ukiona mtu na akili zake na nguo zake anasema Lipumba kasema Ukweli Maadili yamekiukwa huyo ni ccm
 

ukweli uliozungumza sitaki niseme kitu hongera kama unajua haya.
 
[
Tunakushauri tu,kamnadi Magufuli,
Wewe uliyemtukana Dr.slaa na ccm yako kuwa hana Elimu,hana mke,chama chake cha kikilristo ni padre Leo unajifanya ccm mnampenda sana Dr.slaa?

Ccm tuambieni ajali ya Mv Bukoba wahanga mliwapa bima ipi?
Watu wanaombwa rushwa barabarani na traffic mmechukua hatua gani?

Wagombea wanatoa rushwa mnataka kuongoza nani?


QUOTE=Freeland;13549137]Kuna mambo mazito sana Watu hawayajui kuhusu Lowasa

Dr anayafahamu

Lipumba ameyafahamu

Ndio maana Lipumba kachukua maamuzi hayo

Ndio maana Dr alishachukua maamuzi hayo

Lowasa ana mambo mazito nyie acheni tu...hata wewe ukiambiwa hapa hautamsapoti tena

Dr kwa alivyonieleza....Namuunga mkono...Aende tu

Unajua who was behind utekaji,Utesaji na mabomu miaka hii mitano iliyopita?[/QUOTE]
 
Akirudi mafisadi watafute mlango wa kutokea mapema maana watakumbwa na mafuriko
 
ukweli uliozungumza sitaki niseme kitu hongera kama unajua haya.

Ccm mjifunze siasa za kisayansi,Lowassa jembe!!!

Propaganda mara kanunua chama,mara kahonga viongozi,mara mabomu who was behind kama mlijua kuwa alishiriki kwa nini hamkumkamata?


Kama mlishindwa kukamata walioiba EPA,kama mlishindwa kumshitaki mwizi wa Escrow,kama mlishindwa kushughulikia wauza unga mkabaki na orodha Ikulu

Mnawezaje kutuaminisha ujinga huu hata mtoto wa chekechea?
 
[/QUOTE]

Ukinionesha ni wapi nimewahi kuyatamka hayo nitakuelewa

Usinizushie

Mimi sio mpenzi wa siasa nyepesi na za majitaka
 
Dr Slaa hawezi kushiriki dhambi ya kuiuza nchi kwa lowassa na kishudia watz wakitaabika zaidi kwa unyama atakaotenda mtu asiye na huruma na tz
walio uza nchi ni akina nani, Lowasa au wale wanao uza meno ya tembo wametumalizia tembo wetu na wanaopakia twiga wazima kusafirisha na walio uza vitalu vya mafuta vya mtwara kwa wachina baada ya watoto wao kutaka kunyongwa huko china baada ya kukamatwa madawa ya kulevya. Heb kuwen na akili hata kidogo, msijidai ni matahira japo kuwa hatuna uhakika kuwa ninyi ni matahira. Mwacheni Lowassa, kwani kawabana nini? yeye si katoka kawaachia hicho chama chenu?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…