Dk Slaa hajakomaa kisiasa

Dk Slaa hajakomaa kisiasa

mlanguzi

Senior Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
181
Reaction score
10
Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa

2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELA wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Desmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?
 
Join Date : 15th July 2012
Posts : 82
Rep Power : 317
Likes Received 3
Likes Given 0

KWELI WEWE HAMNAZO YAANI HUELEWEKI. POST YAKO HAIELEWEKI KICHWA AU MIGUU WAPI IPO.

KAJIPANGE UPYA
 
Hivi yule geni wa Afande Kova, Joshua Muyungi, bado yuko kule Mambo ya Ndani Makao Makuu anendelea tu kupiga mzigo kama kawaida na damu ya Dr Ulimboka mikononi?
 
Mlanguzi, hebu tudokezee ratiba yenu ya mzunguko wa pili wa uchomaji makanisa huko zenji.
Mkuu. mbona unajali sana makanisa kuliko mashrika ya UMMA? jee ofisini ulipo unatumikia taifa au upo kikanisa?
 
2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELE wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Dosmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

Siwafahamu watu hawa, ni akina nani hawa maana haya majina hayajawahi kuwepo duniani
 
hahahhaa. hata wewe msomi? ukibadilishiwa sentence unafeli? hapa ndipo napoona udhaifu wa NECTA
 
Yaani suala lipo waiz kabisa ,ila wafuasi wa CDM inaonekana wamechanganyikiwa na wanaleta uKova !

Mimi kama mimi basi Slaa atakufa njiani akipata misukosuko kama ya hao uliowaandika ,ule umri alio nao na afya yake inaonekana kabisa hahimili vishindo !
 
5dba1673-1d22-3431.jpg

Wewe ni yupi hapa?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Jee anaweza kuwa kama Maalim Seif Shariif- alieratibu Mfumo wa Vyama vingi hadi kufikia hapa Tulipo? Kwani wakati watz wanataka mfumo wa Vyama vingi. asilimia 80 ni Zanzibar ambapo harakati za MAALIM seif zilianza hadi kufikia hapa

2)Anaweza kustahamili vishindo kama MANDELE wakati wa Utawala wa Makaburu?
3)Dosmon Tutu?
4)Raila Odinga na Utawala mbaya wa Daniel Arap moi?

Lipi hasa ukiondoa Mkutano wa Mwembe Yanga ulimfanya DK Slaa kuwa mpambanaji madhubuti wakati majeshi pinzani watakapotumia Silaha Nztio kama za Makaburu Afrika ya Kusini na ya Maalim Seif huko Zanzibar ?

......

Unaumwa lakini unabisha kuwa huumwi!!

Sasa hao penye red ndiyo kina nani?

Penye green, Rudia tena mwenyewe kusoma...then tuambie unaelewa?

Utabisha tu, lakini yakhe we umepinduka!

.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom