Elections 2010 Dk Slaa awalipua Pinda, Mkapa

Mkuu Hard Hitter

Hapo umekandamiza ikulu, Hawa watu wakijani na Njano wao wanachojua ni ulaghai wa ahadi, lakini cha msingi na muhimu kwa watanzania wote kujua ni kwamba muda wa ahadi zisizotekelezeka umepita, Waliovijijini ndo hudanganyika sana kwa hiyo ni vema wakapewa somo mapema na kuwa macho na wadangayaji hawa.
 
Mpaka sasa napata wakati mgumu sana kumuelewa mtu anayeitwa Dr. Slaa. I stand to be corrected but I haven't seen or heard anything positive apart from the Scandals coming from him. Mara story za 1995, mara mishahara ya Wabunge ni mikubwa, mara CCM wamemhonga mgombea wa CHADEMA mara ooh Slaa amlipua mama Salma........ Add value to your campaigns Dr. 31 October ni karibu sana.....

Dr. Slaa if you are here please prove me wrong!

Ni kweli kabisa. Kwa huu upupu anaomwaga kila kukicha, huyu jamaa matokeo ya Urais yakitoka, atakuwa ameua kabisa upinzani Tanzania. Kwa jinsi atakavyopigwa chini, watu hawataamini kama kweli inamawezekana kuishinda CCM kwa miaka 50 ijayo. Kushindwa kulikuwa iminent, lakini siyo kama tunayoona mwelekeo sasa.
 
Siku zote alikuwa wapi toka 1995 kuyasema hao aje ayaseme leo? Au anayasema kwasababu anagombea urais? Angekuwa muadilifu angeyasema toka yalipotokea au angemfungulia kesi Njolay.

SLAA NI MNAFIKI WENYE HEKIMA TUMESHANGAMUA.

Pumba na UCCM uliovuka ueledi!
 
Halafu mmegundua kitu kimoja? Hawa kina Malaria Sugu na aliases zake wameona hoja za udini hazikufua dafu, sasa wanakuja na hii ya kusema Dr Slaa anaongea upupu. Kweli tutaona mengi safari hii -- na yote hii ni onyesho kwamba Muungwana wao mwaka huu maji shingoni, au tuseme puani!!!!!
 
Now am tired 2 here nonsense za Dr. Slaa...hana jipya.hana sera.hana mshiko.aniniboa ile mbaya.kwa elimu yangu ndogo ya shahada toka pale mlimani inaniambia kua campaign during uchaguzis(elections) inatoa fursa adhimu ya wagombea kunadi sera zao iwe ni economic,social or development related.pia a notable scholar once said 'smart and civilized people discus issues nd facts & fools and loosers discus people' i dnt want to believe that Dr.Slaa ni looser na fukara wa sera na mshiko but am 100 pa senti convinced that anaelekea huko...mzee wangu usigeuze majukwaa ya kampeni kuwa kumbi za mipasho kama mango garden na equator glirr....by the way hivi wana JF Ph.D ya SLAA ni ya fani haswaa? Law?? Economics?? Political Science?? Finance?? Ama yake ni Divinity..sina mbavu

Ukirusha jiwe gizani ukasikia kelele ujue limempata, CCM limewapata hilo sasa mnapiga kelele, mbona Ma -rope alipokuwa anamsema Slaa binafsi na ndoa yake hukuja na hoja hii. Anacho fanya Slaa is "just giving CCM the test of their own medicine" Si walianza, sasa mbona wanaiona ngondo wanafunga milango!
 
Ungekuwa karibu ningekuambia gonga. Lakini umesahau fly-overs muungwana alzoahidi kwa Dar! Wee Bwana wee nchi hii itakuwa min-US in 5 years na Watanzania eti wanaamini! Miafrika ndivyo ilivyo kweli!

Dar es salaam itakuwa hivi mwaka 2015........
Road+interchange+in+Japan_20.jpg

Na hii itakuwa Kigamboni kuna Posta.................

nanpu-bridge-interchange-in-shanghai-china.jpg
 
Asante Mkuu wa Sikonge: Hivi huyu mjamaa huwa anakula nini hadi anaota ndoto za kipeke yake?
 
Now am tired 2 here nonsense za Dr. Slaa...hana jipya.hana sera.hana mshiko.aniniboa ile mbaya.kwa elimu yangu ndogo ya shahada toka pale mlimani inaniambia kua campaign during uchaguzis(elections) inatoa fursa adhimu ya wagombea kunadi sera zao iwe ni economic,social or development related.pia a notable scholar once said 'smart and civilized people discus issues nd facts & fools and loosers discus people' i dnt want to believe that Dr.Slaa ni looser na fukara wa sera na mshiko but am 100 pa senti convinced that anaelekea huko...mzee wangu usigeuze majukwaa ya kampeni kuwa kumbi za mipasho kama mango garden na equator glirr....by the way hivi wana JF Ph.D ya SLAA ni ya fani haswaa? Law?? Economics?? Political Science?? Finance?? Ama yake ni Divinity..sina mbavu

Nina wasiwasi na uwezo wako nadhani unaweza kuwaona maprofesa wako wakusaidie kuchambua mambo haya kwani wapo wenye uwezo mkubwa. Kwa ujumla haujui siasa, uandishi wa habari wa bongo na mazingira ya upinzani Tanzania.

Mbona Mgombea wa CCM anazunguka kutoa ahadi tu? Umeona wapi sera kwenye magazeti zaidi ya ahadi? Chambua news za CCM na vyama vya upinzani na hudhuria vikao vyote ndiyo utoe kauli zako otherwise unafanya ushabiki na wao utaona wanafanya mipasho mwisho kutakuwa na mipasho na mashabiki wa mipasho
 
Ni kweli kabisa. Kwa huu upupu anaomwaga kila kukicha, huyu jamaa matokeo ya Urais yakitoka, atakuwa ameua kabisa upinzani Tanzania. Kwa jinsi atakavyopigwa chini, watu hawataamini kama kweli inamawezekana kuishinda CCM kwa miaka 50 ijayo. Kushindwa kulikuwa iminent, lakini siyo kama tunayoona mwelekeo sasa.

NI kweli kuwa Dr. Slaa anahitajika kuzumzia ilani yake pia ila nina kumbuka vyema ameongea mengi kuhusu ilani yake kama katiba mpya, suala la serikali tatu na mengine mengi! ninachoona wengi wanaomsema kuhusu kusema ya watu ni wale ambao hawataki maovu yaibuliwe! (Kwa sababu zao binafsi) Uovu wa CCM na makada wake ndio kigezo cha kutokuwachagua sasa kwanini kisitumike sambamba na ilani ya Slaa! Pili, mbona hao wengine wanakimbia na suala la unyumba wa Slaa, upadre na mengine? Kuweni objective nyie!
 
Anahitaji saini ya yesu! huyu jamaa anazo kweli!....au hajui anagombea urais na siyo ukuu wa kanisa katoliki..naona...ameteleza kwikwi!

ha ha haaaaa leo umepatia kweli!!!!!!!!!!!!!!! doh! Nadhani mheshimiwa hakutegemea kwamba ungeweza kumnukuu namna hii! Ila Tumain huoni maana yake ni kumtuma kwamba huo ushenzi hauwezekaniki! Unajua na wewe mara nyingi uchukue message sio uanze kuchambua maneno. Mimi nadhani Mkapa na Njolai walalame na kumshitaki ndio tupate kujua nini kilikuwa kinaendelea! Kwa namna nyingine naona huyu Slaa amekuwa na mengi sana moyoni, kumbuka kuna makombora 20, hatujui ni mangapi yamesharushwa sasa
 
Dk Slaa awalipua Pinda, Mkapa

Salim Said, Singida

Dk Slaa amekuwa akieleza kila mara kuwa wabunge wanalipwa mshahara mkubwa tofauti na hali halisi ya uchumi wa nchi na akatamka bayana kuwa watunga sheria hao wanalipwa zaidi ya Sh7 milioni, jambo ambalo alisema ni kufuja fedha za walipa kodi.

Chanzo: Mwananchi
Kweli ni fedha nyingi kiasi Josephine Mushumbusi, amkimbie mume wake wa ndoa. Aidha kwa upande mwingine zimekufanya uwe Fisadi Kiwembe.
 
kaka/dada...................ni wapi hapa...........bongo ndivyo itakavyokuwa?.........sifikirii tena kwenda ng'ambo..
Dar es salaam itakuwa hivi mwaka 2015........
Road+interchange+in+Japan_20.jpg

Na hii itakuwa Kigamboni kuna Posta.................

nanpu-bridge-interchange-in-shanghai-china.jpg
 
Siku zote alikuwa wapi toka 1995 kuyasema hao aje ayaseme leo? Au anayasema kwasababu anagombea urais? Angekuwa muadilifu angeyasema toka yalipotokea au angemfungulia kesi Njolay.

SLAA NI MNAFIKI WENYE HEKIMA TUMESHANGAMUA.

Wewe ni msemaji wa Ole Njolay au Mkapa? Huu ni wakati muafaka wa kuyasema kudhihirisha wanachofanya CCM kwa watu dhaifu kama huyu msaliti. Sijui na wewe ni msaliti?
 
Kweli ni fedha nyingi kiasi Josephine Mushumbusi, amkimbie mume wake wa ndoa. Aidha kwa upande mwingine zimekufanya uwe Fisadi Kiwembe.

Hazijazidi unazopewa za ukuwadi wa CCM kutuvuga hapa. HATUDANYIKIIIIIIIIIII
 
Mimi nakuunga mkono 100%. Hawa CCM pamoja na matusi yao wanayoandika katika vijigazeti vyao walivyovinunua na kisha kuvisambaza bure ndiyo wanaonekana kuingiwa na hofu kubwa. Hii ya Dr Slaa inaitwa 'two-pronged assault' yaani shambulio lenye ncha kali mbili. Kukosoa na hapo hapo kutwanga sera. Wanachojua CCM ni strategy ya kutoa ahadi tu -- ambazo nyingi sana hazitekelezeki.
Nimeuliza the same question.............AHADI ndio sera???

Hawa ccm hovyo kabisa......eti ahadi za dar mpaka leo:
1) treni (town train)
2) fly overs
3) mabasi yaendayo kasi

What about water, education (quality) afya, makazi, ajira........kuna high rate ya unemployment hapa dar, nothing!!!! blah blah za ahadi za kipuuzi tu!! Yes, ni za kipuuzi.
 
Kweli kabisa Kibunango. Akina mama hawa walikimbilia kwa wanaume wenye hela zao:

1. Anna Abdallah alimuacha Kawawa akaenda kwa Msekwa.

2. Mke wa Patrick Mongela alimuacha mumewe na kwenda kwa Karamage. AKapozwa na ukuu wa Wilaya.

3. Baba yake Mange Kimambi aliona hawezi kupigana na CCM, akajiuwa baba wa watu.

4. Amina Chifupa alimkimbia mumewe na kuhamishiwa bungeni kwa ubunge wa kupewa.

5. Anna alimuacha Mramba na kwenda kwa Che Nkapa. Akaula akawa FL wa Tanzania namba 3.
Kweli ni fedha nyingi kiasi Josephine Mushumbusi, amkimbie mume wake wa ndoa. Aidha kwa upande mwingine zimekufanya uwe Fisadi Kiwembe.
 
Now am tired 2 here nonsense za Dr. Slaa...hana jipya.hana sera.hana mshiko.aniniboa ile mbaya.kwa elimu yangu ndogo ya shahada toka pale mlimani inaniambia kua campaign during uchaguzis(elections) inatoa fursa adhimu ya wagombea kunadi sera zao iwe ni economic,social or development related.pia a notable scholar once said 'smart and civilized people discus issues nd facts & fools and loosers discus people' i dnt want to believe that Dr.Slaa ni looser na fukara wa sera na mshiko but am 100 pa senti convinced that anaelekea huko...mzee wangu usigeuze majukwaa ya kampeni kuwa kumbi za mipasho kama mango garden na equator glirr....by the way hivi wana JF Ph.D ya SLAA ni ya fani haswaa? Law?? Economics?? Political Science?? Finance?? Ama yake ni Divinity..sina mbavu

Wewe shahada yako ni ya nini? Manake kama una shahada basi labda ya kutumia virungu!! Media zinafanya biashara, media zinaandika contravesial issues, zinaandika negative issues, ndivyo zinavyoweza kufanya biashara. Nikuulize swali , ukienda kwa muuza gazeti ukaona magazeti mawili, moja limeandika Dr Slaa apora mke wa mtu, na lingine limeandika Slaa aahidi kuboresha kilimo vijijini, which one utanunua?

Seriously ninapata shida kujua uwezo wako wa kujua jinsi media zinavyofanya kazi. Dr Slaa anahutubia mikutano for almost 45 minutes each, hawezi kuwa anatoa mipasho that long, si mjinga kiasi hicho kama wewe. Je umeenda kwenye mkutano wake hata mmoja ukaprove hilo unalosema, au unaangalia kinachoandikwa hapa JF na kuboreka, sasa kama unaboreka kabla hata ya kufanya utafiti, kweli wewe una shahada? Halafu hizo wrting design ya text message za wanafunzi wa jitegmee zinaonyesha kuwa wewe sio mhitimu wa shahada-- percent kwa kiswahili ni asilimia sio pa sent

Nenda kwenye mkutano wake walau mmoja, then uone jinsi magazeti yanavyochuja na kunyofoa tu hiyo mipsaho unayosema-- {which of course mipasho ni sehemu ya campaign--kumfanya opponent wako aonekana hafai--- kama degree yako haikusema hivyo then hicho kipengele kilirukwa haha} wanachuja tu habari zenye msalahi yao kuuza gazeti na si kwa maslahi yako wewe na mimi tunaotaka waandike kuhusu sera. Kama unataka waandiek sera, they will not sell magazeti yao, grow up kid!!
 
Anahitaji saini ya yesu! huyu jamaa anazo kweli!....au hajui anagombea urais na siyo ukuu wa kanisa katoliki..naona...ameteleza kwikwi!

anajionesha kuwa yeye ni mdini, na anatafuta sympath za wakristo ila kachelewa sana

kuhusu masuali ya Njolaay leo basi? huachi ww ? na unatufanya ss watoto kuwa stori iliishia hivyo, mmmh kwa hapa hujatufunga tela labda hao mapoyoyo wenzio
 
Kweli kabisa Kibunango. Akina mama hawa walikimbilia kwa wanaume wenye hela zao:

1. Anna Abdallah alimuacha Kawawa akaenda kwa Msekwa.

2. Mke wa Patrick Mongela alimuacha mumewe na kwenda kwa Karamage. AKapozwa na ukuu wa Wilaya.

3. Baba yake Mange Kimambi aliona hawezi kupigana na CCM, akajiuwa baba wa watu.

4. Amina Chifupa alimkimbia mumewe na kuhamishiwa bungeni kwa ubunge wa kupewa.

5. Anna alimuacha Mramba na kwenda kwa Che Nkapa. Akaula akawa FL wa Tanzania namba 3.
Na wanaume wenye tabia ya kutongoza wake za watu ilhali wana wake zao/wenzi wao wanasumbuliwa na nini? Btw... unakubali kuwa slaa ni Fisadi kiwembe, kwa kushindwa kucontrol kichwa chake kidogo?
 
Back
Top Bottom