Elections 2010 Dk Slaa awalipua Pinda, Mkapa

Mimi nakuunga mkono 100%. Hawa CCM pamoja na matusi yao wanayoandika katika vijigazeti vyao walivyovinunua na kisha kuvisambaza bure ndiyo wanaonekana kuingiwa na hofu kubwa. Hii ya Dr Slaa inaitwa 'two-pronged assault' yaani shambulio lenye ncha kali mbili. Kukosoa na hapo hapo kutwanga sera. Wanachojua CCM ni strategy ya kutoa ahadi tu -- ambazo nyingi sana hazitekelezeki.

Naam, wanachokifanya ni kuufanya ule wimbo wa Profesa - wenye kutoa ahadi mingi zisizowekana uwe ni tabiri ya kweli! Mikakati ya kuondoa msongomano wa magari Dar uko kileleni, tafiti zinaonyesha pengine mabasi ya mwendo kasi ndio njia yenye kuwezekana kwa sasa, huyu Mkuu wa CCM anakurupuka ataweka usafiri wa treni, utaanzia wapi? Ile reli ya kuja pale Ubungo? Utaweka daraja la juu pale Nelson Mandela au utaachia yapishane magari na treni pale? Yaani kesha sahau licha ya kale treni kuwa kakubahatisha, ajali za pale relini zilitisha!
 
acha ujinga wewe au wewe ni miongoni mwa mafisadi nahisi uwenda wewe si msomi maana ccm inawalaghai watanzania wengi ambao hawajaenda shule kwa kuwapa viela,pilau,nyama,chumvi,t shirt,kanga nahisi nawe ni miongoni mwao mbona watanzania hatupendi kuambiwa ukweli jamani mtu anawaambia ukweli eti ni mnafiki ni bora aseme ukweli watu waamke kuliko kutoa sera nyingi kama za ccm ya matajiri alafu watz tunaendelea kuwa masikini wewe ndo mnafiki hutaki watu waseme ukweli utaangamia na ccm yako na utakufa masikini wewe
 
wewe ni miongoni mwa wana ccm tena mtanzania usiyependa kupewa ukweli acha ujinga wewe mbona binadamu sisi ni watu wa ajabu mtu kaamua kuwapa ukweli na uchafu wa chama chako ccm wewe unaona kama anapoteza mda mwingi kuzungumzia scandal kama hutaki kaa kimya wewe msaliti wa taifa hili potelea mbali Dr.asiposhinda lakini katufumbua macho watanzania wanaoipenda nchi hii ka mimi najua ccm wataiba kura nyingi sana maana moto umawawakia sana safari hii nami nikuulize huyo JK ahadi alizotoa 2005 ni ipi ambayo watz wameshaipata na kujivunia uongozi wake au wewe umepata nini fisadi wewe
 
huna akili msomi mzima unasema upupu huuu mi mwenyewe pia ni msomi wa shahada ya pili frm mzumbe sioni kibaya kwa Dr kwani anasema ukweli we na hcho kshahada chako kmoja unaona umefka sana mpaka kumponda Dr kwamba usomo wake ni divinity huna akili nzuri na nahsi we ni mwislam au mwana ccm mafisadi wakubwa nyie msiotaka mabadiliko
 
mkuu acha jaziba kama wewe una muona dr ni malaika atakaye kutatulia matatizo yako, si wote wanao ona hivyo
jibu hoja acha jazba
 
Back
Top Bottom