Dk. Slaa atikisa

Dk. Slaa atikisa

Sitaiacha CHADEMA/UKAWA.Miaka 54 ya Uhuni inatosha.
 
Upo katika stage ya denial .. Subiri dawa ikuingia sawasawa ... Ndo utakubali lisemwalo lipo
Dr si mlikuwa mnamsema humu kuwa kakosa mvuto asimamiswe mwingine ?!"
CdM wanewasikia wamebadili sasa mnalilia nini ?! Isitoshe Dr ni
mtu mmoja tu na cdm ni taasisi
kwa nini mnamshupalia hivi ns akikana
kujiuzuru itakuwaje si itakuwa ndo mwisho wa maarifa yenuu. Kama hii
ndo system ya Tanzania na Ccm hamna
kitu kabisa ni Mungu tu anatulinda.
 
Ahsante Kwa taarifa! uzush huu umepelekea usumbufu mkubwa sana kwa wanachama wetu! wa2 wamejawa na hofu kubwa sana dhd ya huo huzush

Hata ambao si wanachama hii tetesi inawachanganya. Time will tell.
 
Wanaotaka Dr. Slaa ajiuzulu, sijui astaafu au ahame chama watasubiri sana tu mwaka huu
 
Slaa na Mnyika wakibaki cdm sitaona mantiki yao ya kumfukuza ZZK, kama Zito alisaliti chama kwa kuwapa taarifa CCM imewezekanaje leo kumpokea Lowasa aliyekuwa kama kinara wa CCM ktk ubadhiru! Siasa haitabiliki
 
CCM mna nini nasi ?tuacheni tumeamua wenyewe ngonjera zenu za nini? Dr yupo CHADEMA haji kwenu hata muogee hydrochloric acid.bado yeye ni CHADEMA.
 
Hii habari ni ya kupuuza tu kwa sababu Raia Tanzania ni gazeti la kipropaganda. Ripoti yoyote ya hili gazeti kuhusu Lowassa (na kwa kiasi kikubwa Cdm) itakuwa negative (hii hali ipo pia katika gazeti la Raia Mwema ukiondoa makala za waandishi huru). Kwa upande mwingine kwa haya magazeti, chama cha ACT na kiongozi wake mkuu (na kwa kiasi fulani CCM) wao ni sawa na malaika na watafagiliwa kwa nguvu zote. Kwani kama kweli Dr Slaa ameondoka Cdm kwa nini asitoke hadharani na kutangaza wazi na badala yake azungumze na hicho kigazeti uchwara mafichoni? In our situation where we have uncensored internet and a multitude of free media such propaganda news sources are irrelevant.
 
Back
Top Bottom