elimukwanza
Senior Member
- Dec 27, 2010
- 168
- 23
kwa udhaifu huo ndio maana siku zote nasema Chadema itaendelea kuota kuingia ikulu. kuna mchangiaji ameitaja Kigoma napenda kumwambia kuwa kule kwetu Kigoma hatuchagui chama tena, habari hizo kwetu hazina nafasi.sisi tunamchagua mtu anayeonesha nia ya dhati, ndio maana Slaa hakupata kura kigoma mjini na wakati nafasi zingine zote tumewachagua wagombea wa cdm.hata hilo slaa analijua kwa kina kwani alienda kuhamasisha maandamano kigoma alirudi na vumbi zake. masikini weeeeeeeeeeeeee chadema. mistake kubwa ya cdm viongozi wake wamejikita sana kanisani. that is a very big mistake waliyoifanya ambayo kwa wao it will remain never kukanyaga Ikulu.
Nyie ndiyo mnaifanya CDM ing'are.