Elections 2010 Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni

hadi nasisimka yaani hizi tshirt na makofia yao ya njano ndio yanasababisha watu waendelee kuipogia ccm wakidhani inawajali. Na sasa shule za kata wameleta bila waalimu ili tusiwe kama wao lol!

Watanzania wazalendo muko wapi? Mmeona mafisadi wakipigiwa debe na aliye danganya kuwa anashughurikia ubadhirifu? ccm haipaswi kupata tena kura

Ina maana we are that slow au vipi sielewi? this smelled like an embezzelemet scam from day one.

Mhh!!! Tuwasubiri mavuvuzela wa CCM!!
aka Katibu mkuu na katibu mwenezi..........hivi hawa ccm huwa wanatumia vigezo gani kuchagua viongozi wake?? hahahahaaa kwa maana hawa mabwana wamefanana kila kitu VUVUZELA original

Pale Ikulu panahitaji mtu mtakatifu. Bila Ikulu kutakaswa hapana amani kwa nchi yetu. Ili tuendelee ku-enjoy amani lazima tuweke mtu atakaye heshimu watu, sheria zetu, na ikulu. Bila hivo GIZA KUU laja. Uchafu ulianza na Mkapa, kisha ukakolea kipindi cha Sheikh Yahya, Makamab, na Kikwete. Hawa wanatakiwa kuondolewa mwaka huu na kushitakiwa wote, mara moja.

JK hates corruption with passion.
Under JK's administration CCM has not been associated with corrupt politicians in anyway whatsoever.
I have nothing against Dr Slaa, but it annoys me when he spends a great deal of his time talking about the grand corruption suspects during his recent rallies. There's the right place to forward all these baseless and ludicrous allegations. It's ridiculous for him to suggest that someone of high moral intergrity like JK, who has been fighting grand corruption over the past several years could recklessly and carelessly let those mentioned trillions of TSH's going to the pockets of the few. Had that been true, I'm pretty sure TAKUKURU boys would be hand-cuffing all the culprits as we speak. The bottom line is; CCM is clean!
Vote CCM

Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni Send to a friend Monday, 04 October 2010 07:34 0diggsdigg

_dk%20wilbord%20slaa.jpg
Dr Willibrod Slaa

Beatus Kagashe, Iringa MGOMBEA wa urais wa Muungano kwa tiketi ya Chadema , Dk Willibrod Slaa alimtaka mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete kuwaeleza Watanzania ni kampuni zipi zilipata Sh 1.3 trilioni ambazo alisema amezitenga kwa ajili ya kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi duniani.
Katika mkutano mwingine uliofanyika Chimala wilayani Mbarali, Dk Slaa alimwomba mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi, Abdulrahman Shimbo kutoa ufafanuzi wa kashfa ambayo haijawahi kutolewa ufafanuzi hadi leo ya migodi ya Meremeta na Buhemba ambazo zinadaiwa kuchota kiasi cha Sh155 bilioni.
Rais Kikwete alitangaza mpango wa kunusuru uchumi kwa kutenga kiasi hicho cha fedha kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi uliozikumba taasisi za kifedha barani Amerika na Ulaya, mtikisiko ambao ulitarajiwa kutetesha uchumi wa nchi nyingine duniani. Kikwete alitangaza mkakati huo kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma Juni 10 mwaka jana, ambao ulihusisha kutumia Sh21.9 bilioni kufidia wanunuzi wa mazao baada ya bei kushuka bila ya kutarajia, kutoa mitaji ya uendeshaji ya riba nafuu kwa mabenki, kutoa mikopo ya thamani ya Sh20 bilioni kwa benki ya TIB, kutoa Sh20 bilioni kwa ajili ya mikopo ydenye riba nafuu kwa ajili ya ununuzi wa zana za kilimo.

Mkakati mwingine ni kuongeza idadi ya wakulima watakaopata mbolea ya ruzuku na kiasi cha Sh90 bilioni kwa ajili ya mbolea hiyo na pia kuboresha Reli ya Kati kwa kutumia dola 43 milioni za Kimarekani.

Dk Slaa, ambaye pia ni katibu mkuu wa Chadema, anataka maelezo ya uchanganuzi wa matumizi hayo baada ya mwaka mzima wa utekelezaji wa mkakati huo uliowekwa kwenye bajetinya mwaka 2009/2010. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Iringa, Dk Slaa alisema kuwa matumizi ya fedha hizo yanatia shaka kutokana na kutojulikana kwenye Bunge badala yake kutangazwa kwenye kikao cha CCM kilichoofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.

"Nataka Kikwete atueleza ni makampuni gani yalipewa fedha hizo na yamezitumiaje," alisema Dk Slaa. “Hizi fedha ni za umma, lakini hakuna anayejua nani kanufaika nazo. Nitazishughulikia na kuhakikisha zinarudishwa kwenye matumizi ya umma.

” Alisema alifikia hatua ya kutaka maelezo hayo kwa kuwa dalili zinaonyesha kuwa matumizi ya fedha hizo ni ya shaka mno na kwamba hayana tofautiani na yale ya ukwapuaji wa Sh 133 bilioni uliofanywa kwenye Akaunti ya Malipo ya Nje (Epa) kati ya mwaka 2005/2006. Alidai kuwa pesa hizo zimewanufaisha baadhi ya mawaziri, wanafamilia na maswahiba wa Kikwete ambao wanaogopa kuwataja hadharani.

“Hizo fedha hazikupita bungeni, zilisomwa mbele ya mkutano wa wanachama wa CCM pale Mlimani City, mbona kampuni hazijulikani hadi leo. Tunataka tuzijue ni zipi na fedha zimegawiwaje kwa kuwa ni kiini macho; ni kama Epa nyingine,” alisema Dk Slaa. “Kama ni uongo, akanushe kama mwanawe na maswahiba zake hawachezi na raslimali zetu. Na kwanini atangazie Mlimani City kwenye kikao cha CCM,” alihoji. Aliahidi pia akiingia madarakani mwaka ujao atakagua fedha za serikali ya Kikwete kwa kuwa fedha hizo ni za umma na zimewanufaisha watu wachache tu.

Kuhusu kashfa ya Meremeta na Buhemba, Dk Slaa alisema badala ya Shimbo kujitokeza hadharani kuzungumzia uchaguzi mkuu, ni vizuri angejitokeza mapema kuzungumzia kashfa ya wizi wa fedha hizo unaodaiwa kufanywa na mgodi huo wa jeshi.

“Bilioni 155 zilipotea baada ya kuibwa katika mgodi wa dhahabu wa Buhemba. Sasa kama Shimbo ni muadilifu, ajitokeze hadharani kuwaeleza Watanzania fedha hizo ziko wapi... wizi ni wizi tu hata kama umetokea jeshini,” alisema Dk Slaa. Dk Slaa, ambaye amekuwa akiulizia suala hilo mara kwa mara bungeni ambako alikuwa akiwakilisha Jimbo la Karatu, alisema Waziri Mkuu ameshindwa kuto jibu la maswali kuhusu mgodi huo, kitu ambacho kinaacha dukuduku kwa Watanzania.

Dk Slaa pia aliongeza kuwa maduka ya jeshi nchini kote yameondolewa kodi, lakini bidhaa zinauzwa sawa na mitaani, kitu alichokielezea kuwa ni wizi mkubwa ndani ya jeshi hilo. Alisema pia atatumia siku 100 kushughulikia mgogoro wa bonde la Ihefu na Mbarali ikiwa atapewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa kuwa hata baada ya maelekezo ya Kamati ya Bunge bado CCM imekuwa na kigugumizi kutekeleza.

“Hakuna mkataba ambao hauvunjwi hasa pale ambapo haukushirikisha wanajamii wa pale, mabonde yetu ila wamepewa wawekezaji na sisi tunalia hatuna cha kufanya, siku 100 nikiwa madarakani nalimaliza hili,” alisema Dk Slaa akizungumzia kitendo cha serikali kuwahamisha wafugaji kwenye bonde la Ihefu, Mbarali Machi 2006 bila ya utaratibu wala mipango. Alisema serikali ya CCM imekosa ubunifu wa kuendesha nchi ndio maana watu wanaobuni vitu wanakamatwa na kukatishwa tamaa.

Alitolea mfano wa kijana aliyebuni na kutengeneza gobore na wengine wanaorusha matangazo ndani ya kata zao kuwa wanakatishwa tamaa badala ya kupewa kipaumbele na kusaidiwa. “Huu ndio mwisho wa CCM, haina jipya la kuwaambia watu zaidi ya kukimbizana na wapika gongo, ubunifu Tanzania umekuwa ujambazi, huu ni mfumo mbovu na elimu duni,” alisema Dk Slaa.

Lakini pia, Dk Slaa alisema Chadema ni chama kinachomtegemea Mungu na nguvu za umma katika kuliongoza taifa hili kwa amani na mshikamano. Alisema kwa nguvu ya umma, Chadema imekubali kubadilika na kwamba sasa hakuna atakayeogopa vitisho katika mabadiliko kwa kuipa Chadema ushindi wa kishindo na kuitosa CCM. Alisema Rais Kikwete aliwahi kuulizwa na Rais wa Marekani sababu za Tanzania kuwa maskini wakati ina raslimali nyingi akajibu kuwa hajui.

“Kama hajui kwa nini nchi yake ni maskini, kwanini anaomba kura?” Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema, Peter Msigwa alisema kwenye mkutano huo kuwa nyumba nyingi jimboni humo hazina hati na akaahidi kuwa iwapo atachaguliwa atapigana kufa na kupona kuhakikisha wananchi wake wanapata hati hizo.

Source: Mwananchi

JK hates corruption with passion.
Under JK's administration CCM has not been associated with corrupt politicians in anyway whatsoever.
I have nothing against Dr Slaa, but it annoys me when he spends a great deal of his time talking about the grand corruption suspects during his recent rallies. There's the right place to forward all these baseless and ludicrous allegations. It's ridiculous for him to suggest that someone of high moral intergrity like JK, who has been fighting grand corruption over the past several years could recklessly and carelessly let those mentioned trillions of TSH's going to the pockets of the few. Had that been true, I'm pretty sure TAKUKURU boys would be hand-cuffing all the culprits as we speak. The bottom line is; CCM is clean!
Vote CCM

(Highlighted in red): You don't know what you are talking about. Bunge probed the Richmond issue and came up with sordid details about corruption surrounding the project that sent one Prime Minister resigning. It was the first time for a PM to resign in CCM's history, and that came under JK administration. If he was clean the PM could have stayed put.

So your assertion is flawed because JK's administration has made history for being corruption tainted as proved by Bunge. I know what you are planning to say that the Bunge Committee was biased etc etc, but it was a legal Bunge panel and that the PM was never forced to resign

Umeniwahi Mkuu, kumjibu huyo mdosi ambaye hajui chochote maana kuna siku moja nilisoma katika thread moja humu JF akitetea TRL kwamba lina huduma safi etc!!!

Lakini ungeongezea hapo juu kwamba JK administration pia ilivunja rekodi ukilinganisha na awamu zilizopita kwa kuchukua muda mfupi sana taungu uingie madarakani kuingia katika mkataba mkubwa wa kifisadi: kwamba ndani ya miezi sita tu (Jan to June 2006) ilisaini mkataba huo wa Richmond!! It was really a record for JK administration!

Hii ndo Afrika bwana na hao wawekezaji wa nje (wazungu, n.k) ukienda ktk nchi zao utakuta zimejaa lami mpaka milangoni mwao, ili hali hawachimbi madini wala kulima mahindi (eg Japan).

Hakika nakwambia wao ndio kiini cha matatizo na shida za Afrika nzima. Wanatengeneza silaha.., wao hawana vita.., sasa wakaziuze wapi? Watakachofanya ni kuchochea migogoro kwa nchi masikini, zisitulie na kufanya kazi ili kupata maendeleo na badala yake ziendelee tu kununua silaha zao na kupigana vita.

Na viongozi wa Afrika kwa kuwa wameshikwa masikio na kukosa ufahamu sasa hapo ndio inabaki tu wimbo wa 'SISI MASIKINI... SISI MASIKINI...' ila wanabaki kusafiri tu kwenda hukohuko kwa hao wazungu. Kama sisi ni masikini kwa nini basi hizo nauli tusizitumie walau kununua panadol? Unafikiri nauli ya kwenda USA kwa mtu 1 ni sh. ngapi kama sio zaidi ya 1200 US $???

Mi nafikiri huu ni wakati wa kuamua mabadiliko... Matatizo ni mengi mno kila kukicha hata ukipewa siku nzima uelezee hutoweza kufika nusu...

Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni

By Beatus Kagashe, Iringa

MGOMBEA wa urais wa Muungano kwa tiketi ya Chadema ,
Dk Willibrod Slaa mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete kuwaeleza Watanzania ni kampuni zipi zilipata Sh 1.3 trilioni ambazo alisema amezitenga kwa ajili ya kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi duniani.

Katika mkutano mwingine uliofanyika Chimala wilayani Mbarali, Dk Slaa alimwomba mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi,
Abdulrahman Shimbo kutoa ufafanuzi wa kashfa ambayo haijawahi kutolewa ufafanuzi hadi leo ya migodi ya Meremeta na Buhemba ambazo zinadaiwa kuchota kiasi cha Sh155 bilioni.

Rais Kikwete alitangaza mpango wa kunusuru uchumi kwa kutenga kiasi hicho cha fedha kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi uliozikumba taasisi za kifedha barani Amerika na Ulaya, mtikisiko ambao ulitarajiwa kutetesha uchumi wa nchi nyingine duniani.

Kikwete alitangaza mkakati huo kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma Juni 10 mwaka jana, ambao ulihusisha kutumia Sh21.9 bilioni kufidia wanunuzi wa mazao baada ya bei kushuka bila ya kutarajia, kutoa mitaji ya uendeshaji ya riba nafuu kwa mabenki, kutoa mikopo ya thamani ya Sh20 bilioni kwa benki ya TIB, kutoa Sh20 bilioni kwa ajili ya mikopo ydenye riba nafuu kwa ajili ya ununuzi wa zana za kilimo.

Mkakati mwingine ni kuongeza idadi ya wakulima watakaopata mbolea ya ruzuku na kiasi cha Sh90 bilioni kwa ajili ya mbolea hiyo na pia kuboresha Reli ya Kati kwa kutumia dola 43 milioni za Kimarekani.

Dk Slaa, ambaye pia ni katibu mkuu wa Chadema, anataka maelezo ya uchanganuzi wa matumizi hayo baada ya mwaka mzima wa utekelezaji wa mkakati huo uliowekwa kwenye bajetinya mwaka 2009/2010. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Iringa, Dk Slaa alisema kuwa matumizi ya fedha hizo yanatia shaka kutokana na kutojulikana kwenye Bunge badala yake kutangazwa kwenye kikao cha CCM kilichoofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.

"Nataka Kikwete atueleza ni makampuni gani yalipewa fedha hizo na yamezitumiaje," alisema Dk Slaa. "Hizi fedha ni za umma, lakini hakuna anayejua nani kanufaika nazo. Nitazishughulikia na kuhakikisha zinarudishwa kwenye matumizi ya umma.

" Alisema alifikia hatua ya kutaka maelezo hayo kwa kuwa dalili zinaonyesha kuwa matumizi ya fedha hizo ni ya shaka mno na kwamba hayana tofautiani na yale ya ukwapuaji wa Sh 133 bilioni uliofanywa kwenye Akaunti ya Malipo ya Nje (Epa) kati ya mwaka 2005/2006. Alidai kuwa pesa hizo zimewanufaisha baadhi ya mawaziri, wanafamilia na maswahiba wa Kikwete ambao wanaogopa kuwataja hadharani.

"Hizo fedha hazikupita bungeni, zilisomwa mbele ya mkutano wa wanachama wa CCM pale Mlimani City, mbona kampuni hazijulikani hadi leo. Tunataka tuzijue ni zipi na fedha zimegawiwaje kwa kuwa ni kiini macho; ni kama Epa nyingine," alisema Dk Slaa. "Kama ni uongo, akanushe kama mwanawe na maswahiba zake hawachezi na raslimali zetu. Na kwanini atangazie Mlimani City kwenye kikao cha CCM," alihoji. Aliahidi pia akiingia madarakani mwaka ujao atakagua fedha za serikali ya Kikwete kwa kuwa fedha hizo ni za umma na zimewanufaisha watu wachache tu.

Kuhusu kashfa ya Meremeta na Buhemba, Dk Slaa alisema badala ya Shimbo kujitokeza hadharani kuzungumzia uchaguzi mkuu, ni vizuri angejitokeza mapema kuzungumzia kashfa ya wizi wa fedha hizo unaodaiwa kufanywa na mgodi huo wa jeshi.

"Bilioni 155 zilipotea baada ya kuibwa katika mgodi wa dhahabu wa Buhemba. Sasa kama Shimbo ni muadilifu, ajitokeze hadharani kuwaeleza Watanzania fedha hizo ziko wapi... wizi ni wizi tu hata kama umetokea jeshini," alisema Dk Slaa. Dk Slaa, ambaye amekuwa akiulizia suala hilo mara kwa mara bungeni ambako alikuwa akiwakilisha Jimbo la Karatu, alisema Waziri Mkuu ameshindwa kuto jibu la maswali kuhusu mgodi huo, kitu ambacho kinaacha dukuduku kwa Watanzania.

Dk Slaa pia aliongeza kuwa maduka ya jeshi nchini kote yameondolewa kodi, lakini bidhaa zinauzwa sawa na mitaani, kitu alichokielezea kuwa ni wizi mkubwa ndani ya jeshi hilo. Alisema pia atatumia siku 100 kushughulikia mgogoro wa bonde la Ihefu na Mbarali ikiwa atapewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa kuwa hata baada ya maelekezo ya Kamati ya Bunge bado CCM imekuwa na kigugumizi kutekeleza.

"Hakuna mkataba ambao hauvunjwi hasa pale ambapo haukushirikisha wanajamii wa pale, mabonde yetu ila wamepewa wawekezaji na sisi tunalia hatuna cha kufanya, siku 100 nikiwa madarakani nalimaliza hili," alisema Dk Slaa akizungumzia kitendo cha serikali kuwahamisha wafugaji kwenye bonde la Ihefu, Mbarali Machi 2006 bila ya utaratibu wala mipango. Alisema serikali ya CCM imekosa ubunifu wa kuendesha nchi ndio maana watu wanaobuni vitu wanakamatwa na kukatishwa tamaa.

Alitolea mfano wa kijana aliyebuni na kutengeneza gobore na wengine wanaorusha matangazo ndani ya kata zao kuwa wanakatishwa tamaa badala ya kupewa kipaumbele na kusaidiwa. "Huu ndio mwisho wa CCM, haina jipya la kuwaambia watu zaidi ya kukimbizana na wapika gongo, ubunifu Tanzania umekuwa ujambazi, huu ni mfumo mbovu na elimu duni," alisema Dk Slaa.

Lakini pia, Dk Slaa alisema Chadema ni chama kinachomtegemea Mungu na nguvu za umma katika kuliongoza taifa hili kwa amani na mshikamano. Alisema kwa nguvu ya umma, Chadema imekubali kubadilika na kwamba sasa hakuna atakayeogopa vitisho katika mabadiliko kwa kuipa Chadema ushindi wa kishindo na kuitosa CCM. Alisema Rais Kikwete aliwahi kuulizwa na Rais wa Marekani sababu za Tanzania kuwa maskini wakati ina raslimali nyingi akajibu kuwa hajui.

"Kama hajui kwa nini nchi yake ni maskini, kwanini anaomba kura?" Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema, Peter Msigwa alisema kwenye mkutano huo kuwa nyumba nyingi jimboni humo hazina hati na akaahidi kuwa iwapo atachaguliwa atapigana kufa na kupona kuhakikisha wananchi wake wanapata hati hizo.

Chanzo: Mwananchi

DR. SLAA JIANDAE KUWA RAIS BECAUSE IT SEEMS THAT KIKWETE HATAMALIZA KIPINDI CHAKE CHA URAIS.

KUDOS DR. W. P. Slaa.

Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni

By Beatus Kagashe, Iringa

MGOMBEA wa urais wa Muungano kwa tiketi ya Chadema , Dk Willibrod Slaa mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete kuwaeleza Watanzania ni kampuni zipi zilipata Sh 1.3 trilioni ambazo alisema amezitenga kwa ajili ya kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi duniani.

Katika mkutano mwingine uliofanyika Chimala wilayani Mbarali, Dk Slaa alimwomba mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi, Abdulrahman Shimbo kutoa ufafanuzi wa kashfa ambayo haijawahi kutolewa ufafanuzi hadi leo ya migodi ya Meremeta na Buhemba ambazo zinadaiwa kuchota kiasi cha Sh155 bilioni.

Rais Kikwete alitangaza mpango wa kunusuru uchumi kwa kutenga kiasi hicho cha fedha kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi uliozikumba taasisi za kifedha barani Amerika na Ulaya, mtikisiko ambao ulitarajiwa kutetesha uchumi wa nchi nyingine duniani.

Kikwete alitangaza mkakati huo kwenye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma Juni 10 mwaka jana, ambao ulihusisha kutumia Sh21.9 bilioni kufidia wanunuzi wa mazao baada ya bei kushuka bila ya kutarajia, kutoa mitaji ya uendeshaji ya riba nafuu kwa mabenki, kutoa mikopo ya thamani ya Sh20 bilioni kwa benki ya TIB, kutoa Sh20 bilioni kwa ajili ya mikopo ydenye riba nafuu kwa ajili ya ununuzi wa zana za kilimo.

Mkakati mwingine ni kuongeza idadi ya wakulima watakaopata mbolea ya ruzuku na kiasi cha Sh90 bilioni kwa ajili ya mbolea hiyo na pia kuboresha Reli ya Kati kwa kutumia dola 43 milioni za Kimarekani.

Dk Slaa, ambaye pia ni katibu mkuu wa Chadema, anataka maelezo ya uchanganuzi wa matumizi hayo baada ya mwaka mzima wa utekelezaji wa mkakati huo uliowekwa kwenye bajetinya mwaka 2009/2010. Akizungumza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika mjini Iringa, Dk Slaa alisema kuwa matumizi ya fedha hizo yanatia shaka kutokana na kutojulikana kwenye Bunge badala yake kutangazwa kwenye kikao cha CCM kilichoofanyika Mlimani City jijini Dar es Salaam.

"Nataka Kikwete atueleza ni makampuni gani yalipewa fedha hizo na yamezitumiaje," alisema Dk Slaa. “Hizi fedha ni za umma, lakini hakuna anayejua nani kanufaika nazo. Nitazishughulikia na kuhakikisha zinarudishwa kwenye matumizi ya umma.

” Alisema alifikia hatua ya kutaka maelezo hayo kwa kuwa dalili zinaonyesha kuwa matumizi ya fedha hizo ni ya shaka mno na kwamba hayana tofautiani na yale ya ukwapuaji wa Sh 133 bilioni uliofanywa kwenye Akaunti ya Malipo ya Nje (Epa) kati ya mwaka 2005/2006. Alidai kuwa pesa hizo zimewanufaisha baadhi ya mawaziri, wanafamilia na maswahiba wa Kikwete ambao wanaogopa kuwataja hadharani.

“Hizo fedha hazikupita bungeni, zilisomwa mbele ya mkutano wa wanachama wa CCM pale Mlimani City, mbona kampuni hazijulikani hadi leo. Tunataka tuzijue ni zipi na fedha zimegawiwaje kwa kuwa ni kiini macho; ni kama Epa nyingine,” alisema Dk Slaa. “Kama ni uongo, akanushe kama mwanawe na maswahiba zake hawachezi na raslimali zetu. Na kwanini atangazie Mlimani City kwenye kikao cha CCM,” alihoji. Aliahidi pia akiingia madarakani mwaka ujao atakagua fedha za serikali ya Kikwete kwa kuwa fedha hizo ni za umma na zimewanufaisha watu wachache tu.

Kuhusu kashfa ya Meremeta na Buhemba, Dk Slaa alisema badala ya Shimbo kujitokeza hadharani kuzungumzia uchaguzi mkuu, ni vizuri angejitokeza mapema kuzungumzia kashfa ya wizi wa fedha hizo unaodaiwa kufanywa na mgodi huo wa jeshi.

“Bilioni 155 zilipotea baada ya kuibwa katika mgodi wa dhahabu wa Buhemba. Sasa kama Shimbo ni muadilifu, ajitokeze hadharani kuwaeleza Watanzania fedha hizo ziko wapi... wizi ni wizi tu hata kama umetokea jeshini,” alisema Dk Slaa. Dk Slaa, ambaye amekuwa akiulizia suala hilo mara kwa mara bungeni ambako alikuwa akiwakilisha Jimbo la Karatu, alisema Waziri Mkuu ameshindwa kuto jibu la maswali kuhusu mgodi huo, kitu ambacho kinaacha dukuduku kwa Watanzania.

Dk Slaa pia aliongeza kuwa maduka ya jeshi nchini kote yameondolewa kodi, lakini bidhaa zinauzwa sawa na mitaani, kitu alichokielezea kuwa ni wizi mkubwa ndani ya jeshi hilo. Alisema pia atatumia siku 100 kushughulikia mgogoro wa bonde la Ihefu na Mbarali ikiwa atapewa ridhaa ya kuongoza nchi kwa kuwa hata baada ya maelekezo ya Kamati ya Bunge bado CCM imekuwa na kigugumizi kutekeleza.

“Hakuna mkataba ambao hauvunjwi hasa pale ambapo haukushirikisha wanajamii wa pale, mabonde yetu ila wamepewa wawekezaji na sisi tunalia hatuna cha kufanya, siku 100 nikiwa madarakani nalimaliza hili,” alisema Dk Slaa akizungumzia kitendo cha serikali kuwahamisha wafugaji kwenye bonde la Ihefu, Mbarali Machi 2006 bila ya utaratibu wala mipango. Alisema serikali ya CCM imekosa ubunifu wa kuendesha nchi ndio maana watu wanaobuni vitu wanakamatwa na kukatishwa tamaa.

Alitolea mfano wa kijana aliyebuni na kutengeneza gobore na wengine wanaorusha matangazo ndani ya kata zao kuwa wanakatishwa tamaa badala ya kupewa kipaumbele na kusaidiwa. “Huu ndio mwisho wa CCM, haina jipya la kuwaambia watu zaidi ya kukimbizana na wapika gongo, ubunifu Tanzania umekuwa ujambazi, huu ni mfumo mbovu na elimu duni,” alisema Dk Slaa.

Lakini pia, Dk Slaa alisema Chadema ni chama kinachomtegemea Mungu na nguvu za umma katika kuliongoza taifa hili kwa amani na mshikamano. Alisema kwa nguvu ya umma, Chadema imekubali kubadilika na kwamba sasa hakuna atakayeogopa vitisho katika mabadiliko kwa kuipa Chadema ushindi wa kishindo na kuitosa CCM. Alisema Rais Kikwete aliwahi kuulizwa na Rais wa Marekani sababu za Tanzania kuwa maskini wakati ina raslimali nyingi akajibu kuwa hajui.

“Kama hajui kwa nini nchi yake ni maskini, kwanini anaomba kura?” Mgombea ubunge wa Jimbo la Iringa Mjini kwa tiketi ya Chadema, Peter Msigwa alisema kwenye mkutano huo kuwa nyumba nyingi jimboni humo hazina hati na akaahidi kuwa iwapo atachaguliwa atapigana kufa na kupona kuhakikisha wananchi wake wanapata hati hizo.

Chanzo: Mwananchi

Niliposikia Dr Slaa akilitaja jina la Shimbo nilijua fika huyu jamaa hachomoki na yametimia.

Thumb up Dr Slaa kwa kweli tabu ni sie wa tz tunabebwaaaaaaaa

Viji zawadi worth shillingi mia or so tunafurahia kabla ya uchaguzi

Kweli watanzania sisi basi tu hata sijui ni ukondoo wa aina gani Dr.Slaa anatupa taarifa kama hizi Polisi wetu hawachunguzi,Takukuru,Haichunguzi,TISS hawachunguzi,Vyombo vya Habari havichunguzi mpaka Interpool au Bunge la waingereza ndio watusaidie tumerogwa na nani maskini

Dk Slaa amtaka Jk ataje waliopewa Sh1.7 trilioni Send to a friend Monday, 04 October 2010 07:34 0diggsdigg

_dk wilbord slaa.jpg
Dr Willibrod Slaa

Beatus Kagashe, Iringa MGOMBEA wa urais wa Muungano kwa tiketi ya Chadema , Dk Willibrod Slaa alimtaka mgombea wa CCM, Jakaya Kikwete kuwaeleza Watanzania ni kampuni zipi zilipata Sh 1.3 trilioni ambazo alisema amezitenga kwa ajili ya kukabiliana na mtikisiko wa kiuchumi duniani.
Katika mkutano mwingine uliofanyika Chimala wilayani Mbarali, Dk Slaa alimwomba mnadhimu mkuu wa Jeshi la Wananchi, Abdulrahman Shimbo kutoa ufafanuzi wa kashfa ambayo haijawahi kutolewa ufafanuzi hadi leo ya migodi ya Meremeta na Buhemba ambazo zinadaiwa kuchota kiasi cha Sh155 bilioni.

Source: Mwananchi

Duh! Wacha mafisadi ndani ya Serikali wadai kwamba Meremeta ni siri za Serikali hivyo haiwezi kujadiliwa hata Bungeni, kumbe wanaficha madudu yao ya kuifisadi nchi yetu.

JK hates corruption with passion.
Under JK's administration CCM has not been associated with corrupt politicians in anyway whatsoever.
halafu tukisema wengine wanatumia tigo zao kufikiri na kuchanganua mambo mnatusema tuna matusi

imagine an indian hole thinking aloud

crap

Back
Top Bottom