Dk. Slaa amshukia IGP Mwema

Kazi kuu ya UPINZANI ni kupinga serikali pale inapofanya vibaya. Serikali imeshindwa kusimamia vizuri utendaji wa Jeshi la Polisi. Kwanini UPINZANI usishutumu hilo? Kama UPINZANI unashutumu serikali kila siku ni kwa sababu serikali hii ya sasa inafanya makosa kila siku.Ama unashangaza. Zitumike vibaya shilingi bilioni 220 kisha usitake Slaa ashutumu? Unaelewa kweli shilingi bilioni 220 zilivyo nyingi? Ni fedha za kutosha kujenga madarasa 22,000 ya gharama ya shilingi milioni 10 kila moja!Ni huu wizi wa kila siku wa vigogo wa CCM ndio umefanya Tanzania tukawa wa mwisho sana kwenye vitu kama Elimu hapa Afrika Mashariki. Soma takwimu hizi hapa chini kama hutakasirika na kuishutumu serikali kama anavyofanya Slaa.According to the Ministry of Education and Vocational Training statistics, Tanzania secondary school gross enrolment rates stand at five per cent while Kenya stands at 26 per cent, Uganda 12 per cent, Zambia 28 per cent and Zimbabwe 44 per centhttp://www.theeastafrican.co.ke/news/Tanzania+seeks+science+and+maths+teachers+from+EA/-/2558/1185108/-/item/1/-/11h4719/-/index.html
My point ni kwamba anatuchosha na ishu zake za maswala ya ufisadi! Atafute strategy nyingine ya kutokea! Haoni wenzake akina Zitto, Lissu wanavyojitahidi kujenga hoja na kuja na mambo mapya?
 
wewe unataka aisifiee kwa lipi kunyanyasa wananchi we kibaraka kaa pembeni usawa mbaya huu , hiyo amani mnayotudanganya nayo mwisho wenu magamba umefika.
Ndio kwaanza CCM inazidi kupaa! Unaona kazi ya kijana Nape?
 
wewe unataka aisifiee kwa lipi kunyanyasa wananchi we kibaraka kaa pembeni usawa mbaya huu , hiyo amani mnayotudanganya nayo mwisho wenu magamba umefika.

Mpenzi Delabuta na leo tukutane pale pale tulipokuwa jana please, mambo yako yalinifurahisha sana
 
Huyu slaa kila siku ni tuhuma tu! Hana kitu kipya cha kutueleza wananchi?

kwani kazi ya vyama vya upinzani ni nini sasa? wasipoonyesha madudu ya wale walipo madarakani maendeleo yatakujaje?.. think of EPA, RICHMOND/DOWANS how about CONSTITUTION/ hao waliopo wangeyasemea hayo....!!!


UPINZANI KAZENI BUTI MAANA KUKOSOA SERIKALI NDO KAZI YENUUUU!!!!!!
 
we unataka uelezwe kitu gani jambo la upotevu wa 220bn unaona ni kitu kidogo, hawa vijana wa nape vp? ebo!

Nami nina Tuhuma Zangu: UMEME UMEME UMEME UMEME UMEME UMEME UMEME - MAFISI UMEME UMEME UMEME: SERIKALI MFIRISI UMEME UMEME UMEME: SERIKALI KENGEUFU UMEME UMEME UMEMEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.
 
Ishu za misikiti zinatoka wapi? Wewe fahamu jamaa kaishiwa hoja! Hana jipya! Kila siku ufisadi ufisadi!
Inaoneka we ni mtetezi mzuri wa magamba,hebu tutajie mapya ya mafisadi tafadhari.
 
Tatizo watu humu ndani tunachukulia mambo kwa upeo mdogo sana! Tanzania kuna mambo mengi ya kuzungumzia kama kiongozi wa upinzani. Kuna ishu za maji, umeme, elimu na mengine chungu nzima! Iweje kila siku huyu Slaa azungumzie suala hilo hilo? We have to think big meen!
 
Back
Top Bottom