mzee wa mawe
Senior Member
- Aug 2, 2011
- 151
- 15
<br />kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake kashindye, wanafunzi hao wa shule ya msingi wakimshangilia.
mwanangu anayesoma darasa la tatu, wiki iliyopita, alinishangaa nilipokuwa nazungumza na mtu aliyevaa shati la kijani. Akahoji kwa nini nilikubali urafiki na fisadi!kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake kashindye, wanafunzi hao wa shule ya msingi wakimshangilia.
wewe umeona wanafunzi tu,je walimu mbona pia walikuwapokwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake kashindye, wanafunzi hao wa shule ya msingi wakimshangilia.
<br />ukiona hivyo hana mvuto, ikiwa watu unawamwagia tindikali, unawapiga mapanga na kuwabaka mabinti zao, kweli watu watakupenda?
<br />Acha uongo! Mi nimeangalia taarifa ya habar chadema ndo ilikuwa na nyomi, wakati lipumba watu wa kuhesabu mpaka nikashangaa, na ya ccm alikuwa wasira aliyekuwa anapiga kampen kwa jaziba kisa kaulizwa kwanini Rostam alisema ccm ina siasa uchwara na bado wanakuwa nae kwenye kampeni.
ukiona hivyo hana mvuto, ikiwa watu unawamwagia tindikali, unawapiga mapanga na kuwabaka mabinti zao, kweli watu watakupenda?