mzee wa mawe
Senior Member
- Aug 2, 2011
- 151
- 15
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake kashindye, wanafunzi hao wa shule ya msingi wakimshangilia.