Dk SLaa ahutubia wanafunzi Igunga.

mzee wa mawe

Senior Member
Aug 2, 2011
151
15
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake kashindye, wanafunzi hao wa shule ya msingi wakimshangilia.
 
tofautisha igunga na mwanza kwa population kuna vijiji vingine vina washabiki wachache na ITV na TBC kwa ushabiki wao wametoa picha za upande mmoja usishangae kuikuta kwenye front page ya jamboleo na habarileo kesho
 
Kuna usanii unaendelea kwenye vyombo vya habari sijui ni idea ya nani? Kwenye mikutano ya Dr. Slaa mpiga picha kwa makusudi au kwa maagizo maalum anachukuwa picha upande watoto wa shule au 'empty'. Pengine wanataka watu waamini kuwa Dr Slaa anasusiwa na wana-Igunga? Hatari ninayoona ni kwa ITV kama wanafanya huu usanii wanaweza kufikwa na yaliyowaka Vodacom. Wananchi wakianzisha campaign ya kususia vyombo vya ITV itakuwaje? Kaeni mbali na siasa kama mnataka biashara isimame.
 
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake kashindye, wanafunzi hao wa shule ya msingi wakimshangilia.
<br />
<br />
hapo sasa ndo penyewe! Hicho ndo kizazi kijacho '' Mzizi wa mabadiliko hapo ndo penyewe.
 
Hii ni propaganda maalumu ilioandaliwa na magamba kutuaminisha watazania kuwa sasa DR. SLAA hana nguvu yoyote kisiasa. KITU AMBACHO SIZANI KAMA WATAWEZA.
 
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake kashindye, wanafunzi hao wa shule ya msingi wakimshangilia.
mwanangu anayesoma darasa la tatu, wiki iliyopita, alinishangaa nilipokuwa nazungumza na mtu aliyevaa shati la kijani. Akahoji kwa nini nilikubali urafiki na fisadi!
 
ni kweli kuwa kuna kampeni kali za kudhoifisha cdm wanapiga picha za kisanii isitoshe vijiji vingine population yake ni watu si zaidi ya watu 500
 
ukiona hivyo hana mvuto, ikiwa watu unawamwagia tindikali, unawapiga mapanga na kuwabaka mabinti zao, kweli watu watakupenda?
 
kwa mujibu wa taarifa ya habari ya ITV leo saa 2:00, katika kijiji cha chumankome. Dk slaa ameweza kuvuta wanafunzi wa shule ya msingi kuja kumsikiliza, huku akimwaga sifa za mgombea wake kashindye, wanafunzi hao wa shule ya msingi wakimshangilia.
wewe umeona wanafunzi tu,je walimu mbona pia walikuwapo
 
Hamkusikia kuwa wametenga 35m kwa ajili ya vyombo vya habari?Sishangai.Itv wakae mbali na igunga.
 
Acha uongo! Mi nimeangalia taarifa ya habar chadema ndo ilikuwa na nyomi, wakati lipumba watu wa kuhesabu mpaka nikashangaa, na ya ccm alikuwa wasira aliyekuwa anapiga kampen kwa jaziba kisa kaulizwa kwanini Rostam alisema ccm ina siasa uchwara na bado wanakuwa nae kwenye kampeni.
 
Manina leo mtamaliza maneno yoote ninyi wenyewe, ITV ya mchaga mwenzenu imeripoti kilichotokea, full stop.
 
Acha uongo! Mi nimeangalia taarifa ya habar chadema ndo ilikuwa na nyomi, wakati lipumba watu wa kuhesabu mpaka nikashangaa, na ya ccm alikuwa wasira aliyekuwa anapiga kampen kwa jaziba kisa kaulizwa kwanini Rostam alisema ccm ina siasa uchwara na bado wanakuwa nae kwenye kampeni.
<br />
<br />
wewe huna macho jaribu uangalie saa 4.30 au kesho Asubuhi., acha kutetea ujinga.
 
mnataka apige picha watu wasio kuweko? wanafunzi wa shule ya msingi ndio kidogo wamekuja kumuokoa mzee yule asiumbuke vinginevyo angehutubia MITI, tatizo hawa wanafunzi hawajafika miaka 18.
 
ukiona hivyo hana mvuto, ikiwa watu unawamwagia tindikali, unawapiga mapanga na kuwabaka mabinti zao, kweli watu watakupenda?

Jifunze kuwa na utamaduni wa kufuatilia habari , usiende kishabiki, hiyo tindikali uliambiwa ni CHADEMA walimwagia yule ? mbona mambo yko wazi kuwa ni magamba kwa magamba yanafanyiana mambo hayo ? yaani mpka hapo umeshindwa kuelewa ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom