mzee wa rula that true but kibaya zaidi kunawazee wanaojiita wa research waliobobea wa chama cha magamba anasema jamii forum inachangia kuhua chama chao cha magamba,awajui mawasiriano ndyo maendeleo ya nchii,anapendekeza siasa za kizamani katika nchi ambayo asilimia 100% ni vijana wenye uchu wa maendeleo hayo tia ndani mawasiliano............