BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
Kazi ipo kwa Dr.SlaaKwa vyovyote vile Dr.Slaa huenda atakuwa ameshinikizwa na mkewe kufanya hiyo kazi. Yule mkewe sio wa mchezo mchezo aisee, sijui kamlisha nini yule mzee?
Na unaweza kushangaa mkewe ametulia zake ndani bila kazi huku akitafuna mkwanja wa jasho la Dr.Slaa bila huruma.
Mshumbusi Mungu anakuona aisee!
Kwa nafasi ya yule Baba hakutakiwa kufanya Mambo za ivo maana angekaa hata kule home wap kule sijui angepata hata cha kuwekeza tofauti na kuajiriwa kwa watu huko.Un uhakika..??? Tutajie mshahara wke
Hahahahahha kwa hiyo le decteur anabeba box.Wanauza duka moja na Ngabu!!
Mkuu maisha hayana fomular.....hahahaa...... ngabu kama namuona vile anampasia box daktari!!!Hahahahahha kwa hiyo le decteur anabeba box.
hahahaHakupata bili 50,aliwekewa kwenye akaunti 2b alivyoenda kuchota akakuta milioni 2!akauliza why akaambiwa aliyeweka 2b anasema alikosea sifuri 3,Dr. alilia sana lakini tayari alishajiuzuru.chezea sisiyem
Elimu yke haijamkomboa.Kwa nafasi ya yule Baba hakutakiwa kufanya Mambo za ivo maana angekaa hata kule home wap kule sijui angepata hata cha kuwekeza tofauti na kuajiriwa kwa watu huko.
Anazo sasa!?50bil ishakata? Angebaki hapa halafu akajenga kiwanda cha hizo bidhaa za majumbani si angefanya exportation mpaka huko Canada kwenye hiyo min supermarket? 50bil si haba hasa kwa MTU wa rika lile.
The average salary for a Sales Manager/Officer is $60,063 kwa mwaka in Canada ambayo ni dola elfu 5 kwa mwezi
Kama milioni 11 na ushee kwa mwezi....
Endeleeni kusema kafulia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Daktari ni msomi na alikuwa katibu mkuu wa chadema.
Naomba kujuzwa. .. Huko canada yuko kama mkimbizi au anasoma..??kama ni mkimbizi ni makosa gani kayafanya na kama anasoma kwa nini asipewe mkopo..
Si ya kuchekaBaadae tutasikia mkewe nae anauza bar
The average salary for a Sales Manager/Officer is $60,063 kwa mwaka in Canada ambayo ni dola elfu 5 kwa mwezi
Kama milioni 11 na ushee kwa mwezi....
Endeleeni kusema kafulia[/quotes]
anasave kiasi gani baada ya matumizi?? ujue ana watoto huku kawatelekeza alizaa na waumini wake,
Sio lazima awe kamlisha kitu kupitia mdomoni Mkuu,Kwa vyovyote vile Dr.Slaa huenda atakuwa ameshinikizwa na mkewe kufanya hiyo kazi. Yule mkewe sio wa mchezo mchezo aisee, sijui kamlisha nini yule mzee?
Na unaweza kushangaa mkewe ametulia zake ndani bila kazi huku akitafuna mkwanja wa jasho la Dr.Slaa bila huruma.
Mshumbusi Mungu anakuona aisee!
Safi sana.Afanye kazi ili asije Nyang'anywa na wazungu Kipenzi chake kilichomtorosha nchi [emoji3]Waswahili tuna msemo wetu wa..'kazi ni kazi, ilimradi mkono uende kinywani'; yaani haitakiwi mtu kuchagua kazi, kikubwa kazi husika iwe halali na iwe inakulipa.
Kama kichwa habari kinavyosema kuwa, Dk. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA amepewa ajira ya afisa mauzo wa supermarket huko Canada, je, hii tuite kupanda na kuangakuka kisiasa kwa Dk. Slaa?
Itakumbukwa pia, Dk. Slaa aliwahi kuwa Rais wa bodi ya hospitali ya CCBRT, ya jijini Dar Es Salaam.
View attachment 627742
Mbona hujaweka na GHARAMA ZA MAISHA (KULA, MATIBABU NA USAFIRI), KODI ANAZOLIPA, etcThe average salary for a Sales Manager/Officer is $60,063 kwa mwaka in Canada ambayo ni dola elfu 5 kwa mwezi
Kama milioni 11 na ushee kwa mwezi....
Endeleeni kusema kafulia
Waswahili tuna msemo wetu wa..'kazi ni kazi, ilimradi mkono uende kinywani'; yaani haitakiwi mtu kuchagua kazi, kikubwa kazi husika iwe halali na iwe inakulipa.
Kama kichwa habari kinavyosema kuwa, Dk. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA amepewa ajira ya afisa mauzo wa supermarket huko Canada, je, hii tuite kupanda na kuangakuka kisiasa kwa Dk. Slaa?
Itakumbukwa pia, Dk. Slaa aliwahi kuwa Rais wa bodi ya hospitali ya CCBRT, ya jijini Dar Es Salaam.
View attachment 627742