Wewe ukiugua muajairi wako anatakiwa akuondoe kazini ama akusaidie upone uendelee na kazi hebu kuweni na utu ama wewe umehusika kumpa Sumu Mwakyembe?!! mijitu mingne inakera sana kabisa!!! mtu anaumwa wewe unasema kinganganizi!! kangangania nini sasa!!! nenda kasome vzr sheria za ajira uone zinasemaje!!!
tell me what you say.............
Kwanza alishaambiwa na serikali awaeleze watanzania kinachoomsumbua wala hataki. Sasa?? Pole sana daktariking'ang'anizi tu huyo,si aachie uwaziri tu?he is underperforming and looting our tax money,.
alishasema watanzania si mabwege tenaUnanikumbusha novel yako moja Mwakyembe ambayo naipenda sana, 'Pepo ya mabwege'.
Hivi katika siasa hakuna pepo ya mabwege kweli?
Nalifikiria sana hili!
Hujaelewa nini Mkuu? ni kuwa Mwakyembe amesafiri kwenda India kwa uchunguzi na matibabu zaidi.Sinema ndani ya Lowassa,no CCM zinaendelea...cjaelewa
Hujaelewa nini Mkuu? ni kuwa Mwakyembe amesafiri kwenda India kwa uchunguzi na matibabu zaidi.Sinema ndani ya Lowassa,no CCM zinaendelea...