hapo kwenye blue yaonye serikari(mwakyembe kama waziri) inatambua kuna mauji na watekelezaji wa mauaji hayo pia wanafahamika ila wanabebwa kuficha ushiriki wa serikali,na hapo mwakyembe ametoa siri.Mh mwakyembe amesema kama mh igp mwema na kova amtowataja hadharani wahusika wa wizi wa mafuta bandarini na kuwashugulikia basi kazi hiyo nitaifanya baada ya wiki mbili na kuweka hadharani
siwezi kuona wezi wahalifu na ni polisi wa kulinda raia leo wanakumbatiwa kama watoto wa changa alilalama mh mwakyembe...
Ndugu zanguni nawambia sipepesi macho wala kumumunya mdomo nimewapa igp wiki mbilia ama awataje hadharani na kusema wamechukua hatua gani kama wataendelea kuwakumbatia kama wauwaji wengine wa mikoani basi mimi nitakuwa wa kwanza kuwataja na siogopi kufa walitaka kuniua siku nyingi mungu akanipitisha kwenye moto wa daniiel..sasa basi naawaambieni ujing mliokuwa mkifanya zamani sasa basi tunataka kazi kama mmeiba amjafanikiwa sahauni kuiba tena ...nitapiga kazi nitakaa na wale wanaotaka kufanya kazi tu alisema hon mwakyembe
Nilitaka kuandika kama ulichoandika hapo kwenye rangiTATIZO KUBWA NI MWAKYEMBE MWENYEWE......
Habari ya Mwakyembe sitaki kusikiliza tena....
Akili ni nywele! Dr. Mwakyembe alikuwa na nywele, baada ya maradhi, hana tena nywele.
Yeye ni Waziri, Kova ni mtu mdogo sana kwake, ilikuwa ni kumlima barua ya kujieleza kwa kushindwa kutekeleza wajibu wake
Mwakinembe bado ana hasira za kukoswakoswa kifo
Hapo ndo imekaa njemaEdit hapo.