KIM KARDASH
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 5,139
- 1,139
- Thread starter
- #41
Kifungu kipi cha KATIBA yetu kinaeleza hivo? Utakuwa mwongo KK! Ile thread ipo. Itafute tu
hebu nimabie una muarobaini gani mwenzetu utakaoutumia kunda serikali kama huna wabunge wengi?huyo spika na waziri mkuu unampata viti na wabunge wako kiduchu,tuambie hii kwa kutumia logic tu bila kutaja kifungu chochote cha katiba..unampata vipi waziri mkuu ambae anaidhinishwa na wabunge huku ukwa na wabunge wasiozidi hata nusu even if una rais aliyeshinda kwa umaarufu wake tu?