Dk. Mwakyembe amchana live DCI Manumba

Dk. Mwakyembe amchana live DCI Manumba

Huyo ndie Mwalimu KK bwana. Aliwahi kuwaambia CHADEMA wasihangaike na Urais kwani rais hawezi kuunda serikali bila wabunge wengi!
 
Kim kardashian usijidanganye na users wengi wanajua ni kitu kipya lkn ukiangalia hii habari haina upya,kubali tu mtu mzima taulo imedondoka chutama tu!!!

mkuu linatumika neno currently lakini,sasa sijui kama unaelewa maana ya neno hilo...

There are currently 67 users browsing this thread. (12 members and 55 guests
 
Huyo ndie Mwalimu KK bwana. Aliwahi kuwaambia CHADEMA wasihangaike na Urais kwani rais hawezi kuunda serikali bila wabunge wengi!

mzee vipi mbona ulikimbia hoja kwenye hilo leo unakuja kwa kuvizia huku,nilikaakusubiri hoja kwenye hilo nikaona wote mnaleta vioja tu wengine kuona nimewashika pabaya kwenye hiyo thread wakapeleka unaa kwa mods kama kawaida yao ili thread ile ifungwe,na mods wakfanya hivyo lakini kwa kushinikizwa na wakosa hoja;na hili limekua likitokea sana kwa thread zangu lakini mimi sijali najua wapo ninaokuwa nimewafungua macho,huwezi amini thread ile imenipatia friends wengi sana tena waheshimiwa wakubwa tu huko chadema siwezi kuwataja kwa kuwa na yangu mimi na wao na wamezielewa hoja zangu wanaendelea kuziboresha huko kwa maslahi ya iko chama chenu.Niko hapa kusaidia demokrasia ishamiri sio kuleta vioja..

NASIMAMIE PALE PALE ILI KUUNDA SERIKALI UNAHITAJI WABUNGE WENGI SI VINGINEVYO,HAYO NI MATAKWA YA KATIBA HAPANA MIMI..
 
MODS futa hii threads,kwanini watu wanapenda kurudia mambo? Yaani hii ripoti imejadiliwa hapa mpaka watu wamekinai nashangaa wewe ndio unastuka leo.
 
There are currently 51 users browsing this thread. (14 members and 37 guests)

Wewe KIM ni Mpuuzi kwa hiyo umefurahia sana kuona watu wanaingia mkenge? Naomba mod unganisha hii thread.
 
mzee vipi mbona ulikimbia hoja kwenye hilo leo unakuja kwa kuvizia huku,nilikaakusubiri hoja kwenye hilo nikaona wote mnaleta vioja tu wengine kuona nimewashika pabaya kwenye hiyo thread wakapeleka unaa kwa mods kama kawaida yao ili thread ile ifungwe,na mods wakfanya hivyo lakini kwa kushinikizwa na wakosa hoja;na hili limekua likitokea sana kwa thread zangu lakini mimi sijali najua wapo ninaokuwa nimewafungua macho,huwezi amini thread ile imenipatia friends wengi sana tena waheshimiwa wakubwa tu huko chadema siwezi kuwataja kwa kuwa na yangu mimi na wao na wamezielewa hoja zangu wanaendelea kuziboresha huko kwa maslahi ya iko chama chenu.Niko hapa kusaidia demokrasia ishamiri sio kuleta vioja..

NASIMAMIE PALE PALE ILI KUUNDA SERIKALI UNAHITAJI WABUNGE WENGI SI VINGINEVYO,HAYO NI MATAKWA YA KATIBA HAPANA MIMI..
Kifungu kipi cha KATIBA yetu kinaeleza hivo? Utakuwa mwongo KK! Ile thread ipo. Itafute tu
 
Wewe KIM ni Mpuuzi kwa hiyo umefurahia sana kuona watu wanaingia mkenge? Naomba mod unganisha hii thread.

Huo mkenge kiboko,yani wanaingia mkenge na wanastuka wameingia mkenge lakini wanabaki mkengeni kuendelea kusoma ukenge hii sijawahi kuiona,wadau niwaambie kitu,habari ambayo hukuwahi kuipata hata kama na wiki iliyopita kwako ambae hukuisoma ni news,msidhni kila mtu anaingia jf kila siku,hao ndio wasomaji mnaowaona wapo humu currently,nyie mlioisoma ndio mnachungulia na kusepa,waacheni wenzenu wapate habari na kuchangia,acheni unaa kwa mods as usual..

There are currently 102 users browsing this thread. (23 members and 79 guests)
 
Kichaa cha mbwa kibaya sana. Ona sasa unavyoumbuka na thread hii
 
Kichaa cha mbwa kibaya sana. Ona sasa unavyoumbuka na thread hii
Kaka basi tunaumbuka wengi kama ni hivyo,pia unawatusi hawa wote kasoro wewe..angalie usije kula ban,tunakuhitaji kaka

There are currently 117 users browsing this thread. (25 members and 92 guests)
 
Kuna mtu kamfungulia Hanoi forums asome? Apumzike zake huku sisi tukiendelea kumjadili.


Nafikiri ingekuwa ni jambo la busara zaidi kama tungempa mgonjwa wetu Dr. Harrison muda mwingi wa kupumzika badala ya kuendelea kumjadili kila siku kwenye vyombo vya habari, vijiwe vyetu vya kila siku na kwingineko. Kwa kumpa muda wa kupumzika na kwa wale wenye nia njema na yeye kuendelea kumwombea ili apate kupona mapema tungekuwa tumemtendea jambo jema na la faraja zaidi kwake na familia yake kwa ujumla.
 
Lakini najiuliza sana ni kweli dci hajui kinachomsumbua mwakyembe ? Anaweza kweli anaweza kukurupuka tu kuongea bila kuchunguza au kuwasiliana na vyombo vingine vya usalama ikiwemo tiss ? Kuna kitu hapo katikati . Najiuliza sana.
DCI naona kama amejisahau..dunia ya leo siyo ya jana...mafisadi wana nguvu sana hata mtoto wa Mkulima alishasema..
 
Hiyo ndio starehe yako kwamba watu wanafuatilia uliyoandika??????


la hasha,bali wanapata habari ambayo hawakuipata kwa kina pengine..

There are currently 128 users browsing this thread. (27 members and 101 guests)
 
kaka tuko pamoja na wewe kwa sala na kimwili tunaamini ya kuwa mwenyezi mungu atakuongoza katika ugonjwa unaokusumbua aliye fanya yote hayo mwisho wake unahesabika na atakiri mwenyewe kwa nini aliyafanya yote hayo
 
Back
Top Bottom