Mwakyembe, kitaaluma ni mzuri sana, hilo halina ubishi
Lakini kisiasa, na hasa UBUNGE wa Kyela, kwangu hajafanya la maana kwa wananchi wanyonge,
Bado Kyela inamatatizo mengi ambayo kwa nguvu zake kama mbunge na naibu waziri, angetumia muda kidogo, at least angezipunguza,
Ugomvi ndani ya chama chake na kuyaleta nje, hii ni shida, kuna siku itamcost sana, zaidi ya sasa,
Kwa muda huu uliobakiza Dr. Mwakyembe jitahidi utatue kero za jimbo la Kyela achana na malumbano na hao mafisadi, tumeshawajua na tumejua hawawezi chukuliwa sheria na nyie wenye serikali, we ongoza Kyela kwenye maendeleo kabla ya 2015!