eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Jilas pipo neva win. Wee kaa Lumumba piga dili za buku 2 mwenzio Mwaka huyoooo anazidi kupiga hela...mmemzuia asiwape uzazi, sasa anawapa urembo.Nadhani anatakiw kushtakiwa kwa kuchezea afya za watanzania.
TFDA Bongo? Si kuliuzwa ARV feki hapa kinababa wakaota nyonyo ndani ya nyumba sokomoko toddlers hawajui nani mom nani dad?Sasa kaingia kwenye 10 za TFDA
Chezea JJ Mwaka wewe, sasa anasambaza vifaa vya afya, urembo na usafi.
Hahahahaaa sasa sio Foreplan clinic tena bali ni kampuni ya foreplan. Hivyo bado foreplan kampuni ipo kama kawaida.
Nimesikia tangazo lake radio magic fm
Discount store...Nasikia hata pale kariakoo kuna jamaa mmoja asili ya huko Uarabuni alibadilii jina la kampuni sasa sijui inaitwaje.
Hsc=Discount storeNasikia hata pale kariakoo kuna jamaa mmoja asili ya huko Uarabuni alibadilii jina la kampuni sasa sijui inaitwaje.