Jamani huyu masaburi anaishi wapi? Mbona alivyokuja kugombea ubunge ubungo watu walimkataa wakamwambia tunataka mkazi wa ubungo hatutaki wa chanika akajibu yeye haishi chanika anaishi ubungo?Suala la promo halipo, yeye mwenyewe umemsikia anasema ataijenga nchi akiwa Chanika, na kuanguka kwake si jambo la ajabu. Kumbuka aliwahi kugombea Ubunge wa Afrika Mashariki mara ya kwanza kura hazikutosha, mara ya pili akaibuka na ushindi mkubwa sana, hata sasa ameanguka kwenye ubunge anaweza kujipanga upya. Lakini pia kumbuka ni mshauri wa Benki ya Dunia kwa masuala ya Ugavi na Ununuzi, amekuwa Meya, amekuwa Mwenyekiti wa ALAT Taifa, amekuwa Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa Afrika na Dunia. Unawezaje kusema huyo ni mtu mwepesi?????
Hahaha! Promo at work, kamuulize masaburi anamiliki asilimia ngapi ya hiyo uda ndio utapata jibu, halafu masaburi alisema wabunge wa dar wanafikiri kwa kutumia makalio iweje agombee darsuala la UDA lipo wazi Dk Massaburi ameongeza bei ya uuzwaji kutoka Bilioni 1 hadi bilioni 5.7, na akaivunja Bodi ya UDa kwa wizi, halafu akafichua Sh milioni 300 kuwa zimeingia kwenye akaunti binafsi ya Iddi Simba. Huyu ni shujaaa. Uda ilikuwa inakufa kama yalivyokufa mashirika kibao ya umma. Uda ipo mtaani na tunapanda kila siku, kosa hapo liko wapi hebu tuwe specific.
Samahani,ukiwa jimboni Ubungo,Chanika inapatikana sehemu gani?
sasa chanika na ubungo wapi na wapi???? huko ulizia gongola mboto au pugu kajiungeni ndo sehemu za karibu na chanika.
sasa chanika na ubungo wapi na wapi???? huko ulizia gongola mboto au pugu kajiungeni ndo sehemu za karibu na chanika.