Kasoro mimi tuu[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Ukiangalia negative comments zote na ukafuatilia post zao ni watu wanaopenda na kufanya uchawi na ushirikina mwingine woote. Ni dhahiri ni watu wa kambi ya adui wa Ukristo. Unategemea wampende kuhani wa Mungu?
Poleni maana mtapata hasara duniani na huko muendako. Imekula kwenu !!!
Badilikeni kabla hamjachelewa.
huyu askofu malasuxa ameanza kuandamwa na mwanaHALISI mbona ataipatapata nakwambia, akamwulize muumini wake lowaxa. kubenea akikuandama na gazeti lake huchomoki asee!!, yote haya yanatokana na huyu askofu kuhudhuria sherehe za kuapishwa rais JPM wakati msimamo wa kanisa lake ilikuwa ni kususia tukio lile. pole sana askofu.
Ukiangalia negative comments zote na ukafuatilia post zao ni watu wanaopenda na kufanya uchawi na ushirikina mwingine woote. Ni dhahiri ni watu wa kambi ya adui wa Ukristo. Unategemea wampende kuhani wa Mungu?
Poleni maana mtapata hasara duniani na huko muendako. Imekula kwenu !!!
Badilikeni kabla hamjachelewa.
husisumbue sana kupiga porojo na kuita watu wajinga husiowajua, yawezekana wewe ni mjinga Zaidi ya unaofikiria kuwa wajinga. Time will tell. Hakuna moto unaowashiwa shimoni ukaacha kufuka moshi. Let us wait.Unajua wengi wa watanzania hawana akili. Sasa Wewe unataka ushahidi unaomtetea mtuhumiwa wakati ushahidi wa anayemtuhumu mtuhumiwa huna? So ujinga huo? Huyo anayedai kaibiwa mke amekupa ushahidi gani? Hilo gazeti ni lini lilimpa haki yake Malasusa ya kuhojiwa? Kwa nini gazeti linatumia maelezo ya upande mmoja? Tunajuaje kama ushahidi(kama upo) wa uzinzi wa Malasusa sio fabricated? Kwani kuna shida gani Huyo Mwenye Mume asiende mahakamani?????
Uzinzi wa MTU hauthibitishwi kwa Porojo za Mtandaoni...
Sasa hapa ndo umethibitisha mawazo yangu ya awali kuwa Wewe ni JINGA. Umejibu hoja ipi ya kwangu? Unatema povu Kwa maswali rahisi kama yale?husisumbue sana kupiga porojo na kuita watu wajinga husiowajua, yawezekana wewe ni mjinga Zaidi ya unaofikiria kuwa wajinga. Time will tell. Hakuna moto unaowashiwa shimoni ukaacha kufuka moshi. Let us wait.
Ndugu umeelewa vzr nilichoandika? Hebu soma tena kisha tuendelee na Stori...Time will tell. Hakuna mapana yasiyo na ncha. mtakimbia wote humu. Mi nimeanza kusikia habari ya huyo Askofu na tuhuma hizi tangu hajawa na hicho cheo mwaka 1995. Jua hakuna moto unaowashiwa shimoni ukaacha kufuka moshi juu. Let us wait.
Wacha bangi mkuu. Huyu ni M KKKtviongozi wa dini wa tanzania sijui wanawaza nini kwakweli? any way mambo ya mungu kazi kuelewa maana wamepewa uelewa wao tu
hasa hawa katoriki,
Mkuu achana na ishu zisizokuhusu. Komaa na ishu zako kaka. Unajua mambo ya watu sio ya kuyashobokea sana hadi yakakufanya uonekane ufahamu na uwezo wako kwenye kufikiri una dosari. Yani hapo unaweza kujikuta unakomaa na Malasusa wakati Mkeo anagongwa na washkaji kama kawa. Au uko busy na hii habari ya kutungwa wakati demu wako watu wanatafuna hadi tigo.Kama ungekuwa umefuatilia tangu likipoanza ungegundua kuwa mwenye mke ndio aliyegundua mahusiano na sio sisi.