Dk. Mahanga: Magufuli anadidimiza uchumi

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2015
Posts
14,242
Reaction score
34,917
MAKONGORO Mahanga, amesema sera ya kodi, fedha, uchumi na uwekezaji katika serikali ya awamu ya tano zina walakini mkubwa na kwamba ndiyo chanzo cha hali mbaya ya kiuchumi hapa nchini ikiwemo kuadimika kwa fedha mikono mwa wananchi.

Dk. Mahanga alikuwa Naibu Waziri Wizara ya Kazi na Ajira katika serikali ya awamu ya nne chini ya Rais Jakaya Kikwete na pia alikuwa Mbunge wa Jimbo la Segerea kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (2005-2015), kabla ya kuhamia Chadema mwaka Agosti mwaka huu.

Akizungumza na MwanaHALISI Online leo, Mahanga ambaye ni mtaalamu wa mambo ya fedha na uchumi amesema ukusanyaji wa kodi ni jambo jema, ila lazima lifanywe kwa kujali maslahi ya wawekezaji na wafanyabiashara ambao ndiyo walipa kodi na waajiri.

“Serikali inaangalia zaidi kukusanya mapato yake bila kujali sana mazingira wezeshi ya wafanyabiashara na wawekezaji ambao ndio walipa kodi. Kwa kifupi sera na taratibu za kodi na ukusanyaji wake unaua sekta binafsi ambayo ndiyo injini ya maendeleo,” amesema Dk. Mahanga.

Ameongeza kuwa “hata uamuzi wa Serikali kuzuia sekta binafsi kufanya biashara na Serikali ni uamuzi mbaya sana. Utaua sekta binafsi na kupoteza ajira nyingi sana za watanzania kwani Sekta binafsi wanaponyimwa kabisa fursa za kupata kandarasi za serikali, watakosa biashara, sasa kodi ya kutosha watalipaje?”

Dk. Mahanga amesema kwa maoni yake sera ya kodi, fedha, uchumi na uwekezaji zina walakini mkubwa na maamuzi ya kisiasa yasiyozingatia utashi wa kitaalamu ndiyo umeifikisha nchi katika hali mbaya ya uchumi na mzunguko wa fedha kwa wananchi kuwa mdogo.

Pia ameonya kuwa, maamuzi ya baadhi ya matumizi ya serikali kufanyiwa Ikulu badala ya bungeni ni kuvunja Katiba na misingi ya utawala bora.

“Ununuzi wa ndege ili kufufua shirika la ndege hapa nchini ni mzuri lakini hazikupaswa kununuliwa ndege nyingi mfululizo na bila kufuata vipaumbele vya maendeleo ya nchi,” amesema.
 
sio mahanga tu
downloadfile-5.jpeg

swissme
 
Mtaalam wa mambo ya fedha na uchumi anatakiwa atoe uchambuzi kuhusu sera za kodi na ukusanyaji kodi unavyoua uchumi. Tunaambiwa watu walikuwa hawalipi kodi huko siku za nyuma lakini serikali ya Awamu ya Tano ikaingia na kusimamia ulipaji kodi, leo tena wataalam wanasema ukusanyaji kodi unaua uchumi. Sisi wengine ambao si wataalam wa mambo hayo tunabaki tunashangaa tu tusijue la kusema. Nadhani kama watanzania hatujui tunataka nini: watu wasilipe kodi au walipe kodi. Kama wanaonewa katika kutozwa basi watozaji wawajibike kwa kuonea.
 
Kesho atapelekwa kuhojiwa
 
Hii nchi ya ajabu sana, kuna jamaa alitaka kufungua mkahawa wa chips ,wakati anaenda kuomba lesseni ya biashara, walitaka kumfanyia hesabu ya thamani ya vitu vilivyomo kwenye mkahawa kama.

Fridge
Majiko ya kupikia
Freezer
Meza na viti pamoja na kodi ya mlango.
Ubora wa mlango wa biashara

Baada ya hapo eti ndio wampigie hesabu kwa mwaka talipa kodi kiasi gani, baada ya kuona hivyo ameamua kuurudisha mlango na kuuza vifaa vyote.

Hivi mtu ndo kwanza anaaza biashara hata hajauza maji wacha chips unampigia mtu hesabu ya kulipa kodi ?

Wenzetu system zao,unapoanza biashara hulipi kodi mwaka mzima kwa wafanya biashara wadogo, baada ya mwaka ndio unapigiwa hesabu ili next year yaani mwaka wa pili ulipe kodi.

Lakin kwanza wanakupigia juu ya matumizi yako binafsi, kama kulipia nyumba yako unayo is hi, kula mavazi, na bills nyengine, pili gharama za uwendeshaji wa biashara yako, tatu faida yako, kama haitoshelezi kukukimu maisha yako, serikali ndio inakupa wewe pesa ili uweze kuishi na biashara yako iwepo kama ni ajira kwako.

Serikali yetu haioni furaha mwananchi wake kujiajiri ili ajikwamue na umasikini, zaidi ya ku kamua.

Nchi ya ajabu hii
 
Jamani mtaani hali sio nzuri kabisa. Sijui January itakuwaje?
 
Mmeziba masikio,simliambiwa mtashushwa muishi kama mashetani na mapepo
 
Mkuu,

Hio kitu inaitwa Income Tax on rogue, tax policy za kukopi toka UK na US, ambazo tumefail kuzielewa, ilitakiwa afungue mlango wake bila buguza, and then after up to a max of 23 months, he should have performed the first return ya IT, ambayo itaambatanisha, Income and Expenditure.

From there on, ndio itaidhinisha as to how much he should paid in advance based on the previous income tax, capital expenditure isiwe sababu ya kumkokotea mtu mapato yake, na tax ulimwenguni kote inategemea na net taxable income, yaani baada ya kuondoa capital expenditue kama ni sehemu ya capital allowances, in his case will be charged as depreciation, yaani kama amenunua cooker, milango na any sort of assets, should be charged on his Gross income over a period of 8 years or less, na pamoja kutoa operation expenses na Cost of sales, before paying tax.

na huko Ulaya mara nyingi, sana mtu kama muuza chips, na wengine wengi, ni self assessment, they have little Tax credits, when charged their tax liability by their respective authority kwa kwetu TRA, kama vile mtu ambaye ameajiriwa, ambaye anakatwa kodi na muajiriwa wake through PAYE, halafu kampuni inayohusika inafanya returns, hawa wanakua na defined Tax credits, which is straight foward.

kwa hilo TRA wanaabuse the system, na kama iko ivyo inabidi ibadilike, through time wataweza kujifunza as to how much in average muuza chips, au duka la nguo in average walipe kiasi gani based on their region they live in na location ya business wanazo operate. na mtu ukifile less than what it should be, the TRA should have a mechanism to issue revenue audit, ikiwa volunatarily au involuntarily, yaani ni wastage ya resources kwa upande wao, TRA kuwawinda the small fishes in a big pond.

nahisi sijakochosha.
 
Kumbe ndio maana nikienda kula chips mavumbi napewa maji ya kunawa, na vijiti, kumbe uma nao unaongeza gharama.
 
Makini mkuu

Kwa maana lazima kuwepo kiwango Maalum kwa kila Mtanzania cha mwaka ,ikiwa mtu huyo atakuwa less than hatoweza kulipa income tax . Na kwa wale self employment ndo hivyo hivyo, kwa sababu wao wana gharama zaidi kama ulivyosema, kwa vile anaanza business alikuwa aachiwe afanye business kwa miaka 2 ndioapigiwe hesabu halafu wa excluding hizo gharama zake zote ,ndio achajiwe income tax, naangaliwe kama imefikia kile kiwango cha work income. Kama ipo less inamaana serikali imuwache mtu huyo ajiimarishe.

Anacho weza kulipa mfanya biashara ni lesseni ya baraza la mji, sijui niite vipi, coucil tax.

Sijui nipo sahihi
 
Dr. hebu kuwa na subira, viwanda vinaongezeka na sooner tutakuwa na ratio ya kila watu watano kumiliki kiwanda.
 
Mtaalam wa mambo ya fedha na uchumi anatakiwa atoe uchambuzi kuhusu sera za kodi na ukusanyaji kodi unavyoua uchumi. Tunaambiwa watu walikuwa hawalipi kodi huko siku za nyuma lakini serikali ya Awamu ya Tano ikaingia na kusimamia ulipaji kodi, leo tena wataalam wanasema ukusanyaji kodi unaua uchumi. Sisi wengine ambao si wataalam wa mambo hayo tunabaki tunashangaa tu tusijue la kusema. Nadhani kama watanzania hatujui tunataka nini: watu wasilipe kodi au walipe kodi. Kama wanaonewa katika kutozwa basi watozaji wawajibike kwa kuonea.
Jpm anataka kuvuna asikopanda
 
Hakuna viwanda.....Akina Ben Saanane na Maxence Mello ndo Viwanda vyao

Hakuna haja ya kununua ndege nyingi kwa Cash wakati wanafunzi wamekosa mikopo, Maji ni adimu sana kama Morogoro/Dodoma (maeneo ya kura nyingi za CCM) na watu wanakunywa maji machafu kwenye dimbwi

---
Watanzania tunakosa umoja, kila kundi linakaa kulalamika lenyewe. Hata kutokea mahakamani kwa wingi leo tumeshindwa... Leo ilitakiwa iwe mafuriko ya watu mahakamani na hadi Sizonje apelekewe habari.

Nafikiri ni Kweli Mwenge ni uchawi na watanzania tumekuwa mazuzu.....it is Satan...
Viongozi wa dini wafanye maombi

Kuna masuala mengi yamepita kwa urahisi na ni ya kidhalimu.

-Mswada wa habari
-Mikopo ya wanafunzi
-FAO La Kujitoa
-Sheria ya mtandao
-Jamii forum Director (tumeshindwa kwenda mahakamani kwa wingi)
 
Wapi amese
Mtaalam wa mambo ya fedha na uchumi anatakiwa atoe uchambuzi kuhusu sera za kodi na ukusanyaji kodi unavyoua uchumi. Tunaambiwa watu walikuwa hawalipi kodi huko siku za nyuma lakini serikali ya Awamu ya Tano ikaingia na kusimamia ulipaji kodi, leo tena wataalam wanasema ukusanyaji kodi unaua uchumi. Sisi wengine ambao si wataalam wa mambo hayo tunabaki tunashangaa tu tusijue la kusema. Nadhani kama watanzania hatujui tunataka nini: watu wasilipe kodi au walipe kodi. Kama wanaonewa katika kutozwa basi watozaji wawajibike kwa kuonea.
Wapi amesema ukusanyaji kodi unaua uchumi?
 
Back
Top Bottom