Dk.Magufuli ahudhuria mazishi ya Fidel Odinga

Dk.Magufuli ahudhuria mazishi ya Fidel Odinga

Camalillo

Member
Joined
Oct 12, 2013
Posts
90
Reaction score
83
Dkt. Magufuli anahudhuria mazishi ya mtoto wa rafiki yake kipenzi na Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga aitwaye Fidel Odinga yanayofanyika huko Bondo, Kisumu, Kenya.

Dk.Magufuli aliguswa na msiba huo wa Fidel Odinga aliyekuwa rafiki mkubwa wa familia.

Aidha inataarifiwa kuwa Dk.Magufuli ataiwakilisha serikali ya Tanzania kuhudhulia msiba huo.



View attachment 217440
Dk.Magufuli akisalimiana na Fidel Odinga enzi za uhai wake pembeni ni Ida Odinga mama Mzazi

IMG-20150110-WA0000.jpg
Dk.Magufuli akiongonzwa na Mwenyeji wake Raila Odinga alipokuwa anawasili

IMG-20150110-WA0001.jpg
Dk.Magufuli akionyeshwa mwili wa Fidel Odinga

IMG-20150110-WA0004.jpg
Raila Odinga akifanya sara ya kuomba

IMG-20150110-WA0005.jpg
Dk.Magufuli akifanya sala ya kuomba

9.JPG
Morgan Richard Tsvangirai X-PM Zimbabwe

DSC_4398.JPG

1.JPG

4.JPG
Mjane wa Milton Obote

6.JPG
Kushoto Kalonzo Musokya aliyewahi kuwa makamu wa pili wa Rais Kenya​






Nitawajuza zaidi kadri taarifa nitakavyozipata.


RIP
Fidel
Castro Odinga

Source: Own
Source
 
Last edited by a moderator:
Wel done John Pombe"Kali" Magufuli; Rest in Peace Fidel Catro Odinga; Gone too early; Candle in the wind!!!!


Dkt.Magufuli anahudhulia mazishi ya mtoto wa raifiki yake kipenzi na Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga aitwaye Fidel Odinga yanayofanyika huko Bondo, Kisumu, Kenya.

Dk.Magufuli aliguswa na msiba huo wa Fidel Odinga aliyekuwa rafiki mkubwa wa familia.

Aidha inataarifiwa kuwa Dk.Magufuli ataiwakirisha serikali ya Tanzania kuhudhulia msiba huo.


View attachment 217440
Dk.Magufuli akisalimiana na Fidel Odinga enzi za uhai wake pembeni ni Ida Odinga mama Mzazi

Nitawajuza zaidi kadri taarifa nitakavyozipata.

RIP
Fidel Castro Odinga

Source: Own
Source
 
Lwams poem to departed husband.
“My love where do I even begin. Six
years ago I met my six-foot prince
charming. Your generous spirit will go a
long way…you melted my heart with
your kindness.
“The swiftness of your departure
remains shocking to me. But I cannot
question God. Till we meet again my
love, my husband,”
 
Anahudhulia=Anahudhulia 100%
Ataiwakirisha=Ataiwakilisha
 
Magufuli anapenda sana promo kila alipo na camera.

Kuna misiba mingapi na ajli za mabasi hajawahi kuhudhuria?

Watumishi wangapi wizaran kwake hajawahi kuwepo.?

Huu ni ufisadi wa aina yake anaufanya Kenya na Odinga family. achunguzwe.
 
Hivi kumbe Magufuli yupo karibu sana na hii familia ya kina Odinga.

RIP Fidel!
 
Nilijua tu JK aka "aliyepouliziwa perfume ya uprof na wachina" lazima ahudhurie au kuwakilishwa, though Magufuli ni rafiki wa Odinga.
 
Heshima mbele wakuu!

Ninaangalia ibada ya mazishi ya mwane Raila Odinga Fidel Castro Odinga kwa mbali namuona ndugu Jonh Pombe Magufuli amekaa pembeni mwa Morgan Changirai wa Zimbabwe!
Urafiki wenu ni nzuri.
 
Heshima mbele wakuu!

Ninaangalia ibada ya mazishi ya mwane Raila Odinga Fidel Castro Odinga kwa mbali namuona ndugu Jonh Pombe Magufuli amekaa pembeni mwa Morgan Changirai wa Zimbabwe!
Urafiki wenu ni nzuri.

atakua ameenda kwa niaba ya serikali
 
Namuona mzee Magufuri kaenda kumpa pole Rafiki yake Raila Odinga.Pembeni yake yupo upinzani mkuu wa Mugabe, be Chengarai, kushoto kwake yupo muwakilishi kutoka Uganda.

attachment.php
 
mkuu sangarara Mimi nafuatilia kwenye runinga kutoka kijijini cha songa mbele hapa wilaya ya rorya.
nahisi magufuli kaenda Kama Rafiki Wa familia sio kichama tena kakaa front seat na wafiwa ..kweli hawa jamaa wameshibana ..kwa mbaaali namuona wenje nae yupo kwenye msiba.
 
Back
Top Bottom