Dk Kitima aitabiria mabaya CCM mbele ya Wassira

oneblood; Nijuavyo mimi Dr.Kitima hana ugomvi wala chuki binafsi dhidi ya yeyote akiwemo Mhe.Tundu Lissu.Tarehe 16.03.2013 Kamanda Lissu alialikwa kutoa mhadhara wa uchumi na mikataba mbalimbali katika kuchangia maendeleo ya taifa hivyo kumwalika tena baada ya miezi miwili isingeleta mvuto sana ukizingatia kwamba mada zilikuwa zinaendana.Ninyi wenyewe mliona Mhe.Wassira alivyokuwa anajing'ata midomo lakini pia ilikuwa ni wiki moja tu baada ya Samwel Sitta kulikoroga na bila shaka sasa wanajua kwamba wakitembelea SAUT kitawakuta nini! Kilichotokea 2011, haukuwa mgogoro bali maelewano kwani Mhe.Lissu alizuiwa kuzungumza na wanachuo kwa kuwa haukuwa mhadhara but alitembelea tu na aliomba then kutokana na mvuto wake kuwa mkubwa sana ukijumlisha na mwamko wa wana-SAUT alikataliwa kwa kuwa haikuwepo kwenye ratiba na ndiyo maana aliandaliwa mhadhara mwingine march, 2013.A rose by any other name would smell the same, so get back to the topic!

Wewe umesoma maelezo Mh.Tundu Lissu? Kama Mh. Tundu Lissu asingelijibu chochote humu hilo unalosema lingekubalika, lakini utetezi wako hapo juu hauleti mantiki yoyote kwanini mazingra ya Mh. Tundu Lissu kukataliwa hayakuwa hata nukta moja na hicho unachokieleza. Jaribu tena tuone kama kuna kitu cha ziada.
 
Back
Top Bottom