Dk Kitima aitabiria mabaya CCM mbele ya Wassira

Dk Kitima aitabiria mabaya CCM mbele ya Wassira

Definition ya bavicha inapatikana kwenye mantiki iliyoko kwenye hilo bandiko hapo juu. Utakacho kipata kwenye hilo bandiko ndiyo bavicha UNLESS na wewe ni bavicha kwa maana kuwa, hutaelewa mantiki iliyotumika katika bandiko hilo.

CHADEMA YATOSHA, HII NI AJABU UYU MZEE WA KUJIPENDEKEZA MPAKA DR KATIMA ANAMUITA BAVICHA,
AH AH AH NIMEUPENDA HUU MUWEWESEKO WA MWANaDIWANI
 
Mbona imekwishang'oka tayari ? Kinachosubiriwa ni kubeba mizigo yao na kuondoka tu ! Nawashangaa sana vijana (hasa watoto wa masikini ) wanaoingia CCM leo , wakati muda wake umekwisha kabisa ! Msimuige Pius Msekwa ambaye utoto wake, ujana wake , hata Mke wake alimpata CCM ! ACHILIA mbali kiwanja na Nyumba ! Kama wewe siyo mtoto wa Kigogo au Mwizi yeyote wa ngazi ya juu huna haja ya kuipigania Ccm , hawa akina Le Mutuz mnajua kwanini wanatoka Mapovu kila siku (sina haja ya kufafanua ).
 
Kama ni kweli Dr. Kitima hakumkaribisha TL kwa sababu hajafanya lolote jimboni mwake, basi ni dhahili nchi yetu ina matatizo makubwa kuliko tuynavyodhani!

Kweli kabisa.
Kutoa mdahalo, maendeleo jimboni, chuo cha SAUT, na kupigiwa simu na usalama wa kiwete wa maendeleo na mwanambio wa safari kuna uhusiano gani?
Huyo naye ana zile dokta za kuchakachua tu na mpaka hapo kashachakachuliwa na MAFISADI-si lolote.
 
CCM ni panya kama alivyosema nasari baba mwizi mama mwizi na watoto wezi, inabidi kuaanda dawa ya panya nyingi sana wakati wa uchaguzi wowote
 
Hakuna mtu mjinga ,shetani,mwizi,zurumati kama kitima na SAUT na vyuo vyake vyote nimesoma SAUT namjua mjinga sana ila amebahatika kuelimika tu

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums
 
Hapo ndipo mimi napinga. Kwani kazi ya mbunge ni nini? Ninachofahamu kuwa kazi ya mbunge ni kuwakilisha wananchi wake katika bunge, kufikisha matatizo yao ili yatekelezwe na serikali iliyo na madaraka na uwezo wa kufanya hivyo. Kama mbunge atakuwa anafanya hivyo atakuwa anatimiza majukumu yake. Kama kero za wananchi hazitafutiwi ufumbuzi hapo ni serikali inalaumiwa. Nikimsikiliza Tundu Lisu anaongelea kero nyingi sana za wananchi hata kuliko wabunge wengine wengi. Kama hakuna kitu kilichofanyika jimboni mwake, wa kulaumiwa ni serikali yenye fungu la pesa na si mbunge.

Tatizo letu tunataka tuchague wafadhili na wala si wabunge
 
,pia dk Kitima alianza kwa kuuponda upinzani wa Tz huku akimtaja mnadhimu wa kambi rasmi ya upinzani na mbunge wa singida mashariki Tundu Lissu kwa kudai hajafanya jambo lolote jimboni mwake,na akitoboa siri kwamba hyo ndo sababu kubwa iliyomfanya asimruhusu kipindi flani asitoe mhadhara,.

Siamini kama Dr. Kitima aliyasema hayo kuhusu Tundu Lissu. kama kweli kasema hayo, nadhani amepotoka kwani atakuwa amezungumza kama mwanakijiji wa kawaida. Dr. Kitima asome katiba ya nchi ambayo imeainisha kazi za mbunge na kwa uchache ni kutunga sheria, kuisimamia serikali na kuiwajibisha. Sidhani katika hizo kazi za mbunge kama kuna eneo ambalo Tundu aliwahi kuwa mzembe hata mara moja.

Dr. Kitima aainishe ni aina gani ya maendeleo na kwamba Tundu Lissu angewaletea watu wa Singida kwa namna gani? Inawezekana kwa namna moja au nyingine anaweza akawa na kasoro lakini kwa vinawango vya kumrejea kama mbunge ambaye hafanyi chochote basi Dr. ktima analo lake jambo. Ufanisi wa mtu katika kutekeleza majukumu yake hupimwa kwa malengo yaliyowekwa kuendana na majukumu yake, hapo Dr. Kitiama alikuwa anarejea nini anaposema kuwa Mh. Tundu Lissu ameshindwa?

Dr. Kitima nakuambia kuwa ukigombea ubunge huko Singida huwezi kufikia hata 5% ya kazi alizofanya Tundu Lissu. Kama amemkosoa, tunakubali lakini sikubaliani na hoja za ukosoaji. Nakumbuka siku moja Tundu Lissu aliibana serikali bungeni siku moja, akiikosoa Halmashauri moja huko Singida kurejesha wizarani fedha za maendeleo ya elimu huku wananchi wakichangisha fedha kwa ajili ya maendeleo ya elimu. Nilivyoona Tundu Lissu alikuwa sahihi kwa sababu huwezi kufanya mchezo wa kitoto namna hiyo.
 
Hapo ndipo mimi napinga. Kwani kazi ya mbunge ni nini? Ninachofahamu kuwa kazi ya mbunge ni kuwakilisha wananchi wake katika bunge, kufikisha matatizo yao ili yatekelezwe na serikali iliyo na madaraka na uwezo wa kufanya hivyo. Kama mbunge atakuwa anafanya hivyo atakuwa anatimiza majukumu yake. Kama kero za wananchi hazitafutiwi ufumbuzi hapo ni serikali inalaumiwa. Nikimsikiliza Tundu Lisu anaongelea kero nyingi sana za wananchi hata kuliko wabunge wengine wengi. Kama hakuna kitu kilichofanyika jimboni mwake, wa kulaumiwa ni serikali yenye fungu la pesa na si mbunge.

Upo sahihi kabisa Dr. Kitima hapo kapotoka kabisa.Hajachambua mawazo yake kwani sioni namna yoyote anayoweza kutetea hoja yake kama msomi, ila kama mropokaji anaweza kusamehewa.
 
Ukweli utauma vipi kwa bandiko ambalo hata halieleweki kiuandishi achilia mbali kimantiki. Ukweli utaujua wewe kwa sababu fikra zako na mleta bandiko ziko sawa. Ndege huruka kwa makundi hata bavicha nao vivyo hivyo.

Yaan wew ndio mbwiga kweli kweli!
 
Bavicha ni janga la Taifa.

Hata mpangilio wa uandishi ni kizungumkuti achilia mbali kujenga hoja kimantiki.

Hiki ulichokiandika ndiyo nini?. Pay attention kwanza kwenye elimu ili uelimike.

Ungekuwa na elimu nzuri usingechemka katika posti nyingine za leo!!.. Kweli nyani haoni kundule!!!
 
Hakuna mtu mjinga ,shetani,mwizi,zurumati kama kitima na SAUT na vyuo vyake vyote nimesoma SAUT namjua mjinga sana ila amebahatika kuelimika tu

Sent from my BlackBerry 9700 using Jamii Forums

Wewe ni nouma aisee yani umesoma vyuo vya Saut vyote?? hakika unatisha
 
Bavicha ni janga la Taifa.

Hata mpangilio wa uandishi ni kizungumkuti achilia mbali kujenga hoja kimantiki.

Hiki ulichokiandika ndiyo nini?. Pay attention kwanza kwenye elimu ili uelimike.

Dawa ikimuingia mgonjwa lazima atalalamika tu,sasa sijui ndio unaelekea kupona ama kufa?
 
Huwafahamu hao nini!?? kila kitu CHADEMA, wao kila atakaeenda kinyume nao ni CHADEMA, Hukuona Nape alivyowatukana wananchi wa Tabora kuwa CHADEMA wanawashikisha ukuta kisa walimpinga jukwaani...!??

Rudia tena, Nape Nnauye alisemaje?
 
Last edited by a moderator:
POINT OF CORRECTION: Kamanda Tundu Lissu alitoa mhadhara kuhusiana na mikataba ya rasilimali asilia kama gesi na madini.Nakumbuka ilikuwa imeandaliwa na kitengo cha uchumi kwa kushirikiana na SAUTESA hivyo kudai Mhe.Lissu alizuiliwa ni upotoshaji mkubwa, ilikuwa ni March,2013 ndani ya ukumbi wa M13 na alipotoka kwenye mhadhara alitembelea ofisi ya CHADEMA-SAUT!
 
Back
Top Bottom